Tanzania kutoa ripoti yao kuhusu Jopo la Wataalamu wa UN juu ya Congo

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
  • Serikali kupitia Mahiga itakabidhi hiyo report ktk usalama
  • Mahiga awataka baada ya kuwapatia report hiyo UN waisambaze sambamba na ya kwao.Mahiga jtatu ataitetea report hiyo.
  • atawataka hicho kikundi cha wahuni kilicoandika report kwa namba ya simu kiombe radhi
 
Am I supposed to see something in here??Wahuni,wepi hao?Endeleeni na viroja vyenu wakati wenzenu wanaweka hoja.
 
Tusubiri hoja ziumane, hapo naamini kama ni mpambano, utabiri ni mgumu mno!
Nasubiri kuona miujiza haka kanchi kakiombwa msamaha na umoja wa mataifa sambamba na kuwa loose na kuruhusu wajanja kufanya biashara ya silaha kupitia ardhi yake.

MAAJABU YA DUNIA HAYAJATOSHA PENGINE YALIKUWA YANASUBIRI HILI!
 
Am I supposed to see something in here??Wahuni,wepi hao?Endeleeni na viroja vyenu wakati wenzenu wanaweka hoja.

Sasa hoja zinakabidhiwa jtatu ,na tunawataka UN waisambaze hiyo report sambamba na kwao.
 
Ni Mahiga, si Mahinga.

MkamaP,

Naona una tatizo la wengi wetu huku Sikonge. Ukiona Mukama unafikiri Mkama. By the way mbona kimya? Sikuoni kwenye Intervoip siku nyingi. Au umejiweka INVISIBLE kwenye hiyo programs???

Ngoja tuone wanavyojitahidi kujiosha. Hadi mwakani watarushiwa sana madongo ya ndani na nje.
 
Teh teh teh
ni kweli Mukama na Mkama linachanganya. intervoip nimeachana nayo saizi nina High Definition.
 
Am I supposed to see something in here??Wahuni,wepi hao?Endeleeni na viroja vyenu wakati wenzenu wanaweka hoja.
ooh yeah, tumewazoea kuwa against Tanzania, u just want bad things to happen agaisnt our beloved country, so that u have soumething to come out of u'r bad mouth.
Mnachotaka mabaya yaandikwe ndo mshangilie, what if wanakuja na point za kueleweka, Ni ony Viroja tukiwa tukijitetea, ila UN hata wakija na utumbo ni HOJA..i'm starting to be sick of u big traiters.
 
kosa lipo moja, kupiga kelele.
UN, walipo fanya kazi yao hawakua na mbwembwe , kelele wala papara. walikaa chini wakacompile ushahidi wao, wakauweka wazi kisha wakaipa dunia ili isome na ijue hali ya mabo yalivyo hobelahobela hapa barani Afrika, wakoloni weusi wanavyonyonya damu ya weusi wenzao.
badala ya kua na papala tungetulia tuijibu hiyo report kwa ufasaha na uangalifu, na kama kuna kosa tuombe radhi dunia.
kwasababu tangu report hiyo itolewe hakuna kikao cha Cabinet kilichokaa, na mheshimiwa yuko mapumziko Carribean ooh sorry kikazi, sijui kama amerudi.
 
nyie ngojeni tu watu waje kuumbuliwa! Wamejaribu kina Ahmedinajad na wakaambiwa hadi mtaa ilipo facility yao ya Uranium enrichment!
 
  • Serikali kupitia Mahiga itakabidhi hiyo report ktk usalama
  • Mahiga awataka baada ya kuwapatia report hiyo UN waisambaze sambamba na ya kwao.Mahiga jtatu ataitetea report hiyo.
  • atawataka hicho kikundi cha wahuni kilicoandika report kwa namba ya simu kiombe radhi
MkamaP,
1. Tanzania itakuwa ni Nchi ya kwanza duniani kuitukana UN kama wahuni, infact Nchi nyingine ambayo imewhai kuitishia UN ni North Korea (Banana republic nyingine kama Tanzania).
2. Nchi zote wajanja, wenye nguvu, hata wanyonge huenda kwa ki-diplomasia na kukanusha shutuma, siyo such un-diplomatic. Tanzania ingejifunza "what Lobbying" is. Kuna member wa UN Securirt council ambao unaweza ukawasiliana nao ukaomba wakusaidie. Siyo kubwabwaja matusi.

3. Katibu Mkuu wa UN ni Mkorea, anayefuatia ni Mtanzania. Hivi Membe alifanya mawasiliano kwanza na kupata mawazo kutoka kwa huyo Mtanzania? Au representative kule Umoja wa Mataifa.

This country is taken by thugs!!
 
Hatuwezi bembeleza malicious ya UN. Fact zitatolewa jtatu ktk baraza la usalama na tukiwapiga chini tutaka watuombe msamaha.
 
Nasi tukipigwa chini tuombe msamaha. Sawa?

Uhakika, kama serikali inajuwa wazi haijafanya biashara hiyo hakuna sababu ya kupigwa chini, pale hakuna debate ila facts na facts za namba za simu hazikubariki maana hata Membe kasema anamawasiliano na ya simu na hao waasi si ya kibiashara bali ya kiupatanishi.

Tunataka watuoneshe hizo silaha
 
nyie ngojeni tu watu waje kuumbuliwa! Wamejaribu kina Ahmedinajad na wakaambiwa hadi mtaa ilipo facility yao ya Uranium enrichment!

Serikali ya Tanzania haihusiki na biashara ya silaha. Wewe pia ni mmoja waliojaribu kuihusisha sana serikali na biashara ya silaha kwa Waasi. Kwanini huwezi kuwa mkweli na kujua tofauti kati ya uhalifu wa mtu mwenye asili ya nchi/taifa fulani na Serikali ya nchi fulani?
 
Uhakika, kama serikali inajuwa wazi haijafanya biashara hiyo hakuna sababu ya kupigwa chini, pale hakuna debate ila facts na facts za namba za simu hazikubariki maana hata Membe kasema anamawasiliano na ya simu na hao waasi si ya kibiashara bali ya kiupatanishi.

Tunataka watuoneshe hizo silaha

Sasa, kama ripoti haijatoka rasmi toka UN, huoni kuwa kuna uwezekano serikali yetu itakuwa inajibu kingine na ripoti inasema vingine? Itakuwaje ripoti mbili (za serikali na UN) zitoke wakati mmoja na hiyo ya serikali iwe inajibu ripoti ya UN?
 
Back
Top Bottom