Tanzania kupokea wawekezaji matapeli kutoka nchi nyingine ni sawa?

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Wadau nimepata hii habari imenistua sana, kama kweli systems zetu zipo makini kuchunguza wawekezaji au wafanyabiashara mbali mbali ambao wanakuja kuwekeza kama ni kweli wapo Genuine. Hii kampuni wametapeli Sri lanka na mahakama imetoa warrant ya wamiliki wa co hiyo kukamatwa lakini katika kuchunguza imegundulika kuwa wafanyabiashara hawa wamehamia Tanzania na wamefungua kampuni na wanaendelea na biashara kama kawaida.
AUTOZONE TANZANIA COMPANY LTD
MARHUBI FREE POT ZONE (ZIPA)
ZANZIBA
TANZANIA
AUTOZONE TANZANIA
KINONDONI
B BUS STAND(SHOWROOM OFFICE)
DAR ES SALAAM
TANZANIA
Kwanini Tanzania inageuzwa kama pango la kujificha wahalifu kama hawa? kwanini hatuwi pro active katika issue za kufanya duedilligence kabla hatujakubali watu kama hawa?

Naomba kuwasilisha.

source:
Colombo Magistrate issues arrest warrant on wheeler dealing couple
 
Duh!Hii kali asante sana mkuu kwa Taarifa hao Jamaa wanashow room ya magari pale kinondoni na mara kwa mara wamekuwa wakivamiwa na kuibiwa magari na pesa Taslim kweli nimehamini Whats Goes around come arounds kumbe na wao wamewapiga wenzao ndo wakajakuwekeza hapa Bongo!Kweli mabata ushunguu!
 
hili si lakushangaza. sisi tumezidi kutokuwa makini mara nyingi mtu hafuatilii vitu vyote badala yake anaangalia tu asaini wapi basi anaanguka sahihi
 
Ukistaajau ya Mussa unaona ya firauni ukifuatilia vizuri unaweza kukuta Jina la hii kampuni TIC kama Investors..sasa kama huko kwao alidhulumu/tapeli wateja kwakuchukua pesa bila kuwapatia magari inashindikana nini hapa kwetu na ikishatokea ndo unakuta Govt wanaanza kubwabwaja.......
 
[h=1]Colombo Magistrate issues arrest warrant on wheeler dealing couple[/h]
An arrest warrant has been issued on a couple who had allegedly defrauded a car sale dealer to the tune of Rs. 10 million before leaving the country.
The Colombo Magistrates court issued the warrant on Inaam Hashim and his wife Fathima Bushra Hashim who themselves owned a company on High Level Road, Kirulapone involved in the import and sale of vehicles.
The CID was also probing complaints from at least four more people who had alleged that they too had been conned by the duo, police said.
The couple, who had been running their business since 2007, had reportedly swindled money after promising to import cars by obtaining an advance in cash from prospective buyers, mainly car sale dealers. They later issued cheques but there was no money in the banks
The couple are reportedly residing in Tanzania where they are operating a similar business, the Sunday Times learns.
 
Kuna sympathisers wa Alshabab wenye pasi za Ulaya nao wapo Tz sasa wanataka kufungua kampuni. Tuwe macho!
 
Kuna sympathisers wa Alshabab wenye pasi za Ulaya nao wapo Tz sasa wanataka kufungua kampuni. Tuwe macho!

wapo busy kupinga maandamano ya cdm kwa kisingizio cha alshabab lakini hawa wawekezaji wanaotuaharibia jina la nchi yetu kwakugeuza tanzania kama maficho yao wanawapotezea.
 
Back
Top Bottom