Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni suala muhimu kuzingatiwa.Nani anapanga Kenya iende kule na Uganda huku.Uhuru tuliopigania uko wapi.haya majukumu anatoa nani??????? kila siku sisi ni wakupeewa majukumu tuu.... agrhhghrh
Hii itamtoa Ndomba like Shimbo kifweza
Chezea Watutsi wewe wajanja sana acha sie tufikiri kuwa ni sifa kumbe wanatusoma then waje kutuchakaza.Nani asiejua kuwa Rwanda ndo inayoivuruga Congo? Kwa nini wasimkamate Kagame ili suala hili liishe tu.Rais wangu Kikwete juzi alienda Uganda eti kujadili suala la vita vya DRC yamkini atakua alienda na agenda mbali mbali.Kufika pale uwanja wa Entebe naona ziliyeyuka maana Mseveni na Kagame wanajua wanachokifanya kule DRC
Rwanda na Burundi they can never defeat us.nakuambia siku Tanzania inavamiwa na nchi yoyote jirani mimi nitajitolea kufa na sitakufa mwenye nitakufa with many lives in my hands. I love my country to death. Nyinyi mnaoponda ni wajinga wakubwa na kwasababu hujui lolote kuhusu Tanzania na harakati zake nje na ndani juu ya uhuru wa mtanznai. Leo hii inakaa kitako imejinenepea kupiga ulozi.
Kuna ngoma mbichi inatusubiri hapo Lake Nyasa na nilazima tuicheze wenyewe against wamalawi na mabwana zao. Sijui strategists katika medani ya kiusalama na kimkakati wamezingatia hilo. Tuna vikosi Darfur na tutakuwa na vikosi DRC. Adui akiingilia kusini tumekwisha achilia mbali ukanda wa bahari - Al-Shabaab na vibaraka wao. Just for noting.
Rwanda na Burundi they can never defeat us.nakuambia siku Tanzania inavamiwa na nchi yoyote jirani mimi nitajitolea kufa na sitakufa mwenye nitakufa with many lives in my hands. I love my country to death. Nyinyi mnaoponda ni wajinga wakubwa na kwasababu hujui lolote kuhusu Tanzania na harakati zake nje na ndani juu ya uhuru wa mtanznai. Leo hii inakaa kitako imejinenepea kupiga ulozi.
Kwa nchi za jirani ni Kenya tu ndo inaweza kutubabaisha na hii ni kwasababu wana strong air force ukilinganisha na ya kwetu wana vifaa vingi vya kisasa na Military expenditure yao kwa kununua vifaa ni mara kumi ya kwetu ni last year tu ndo uganda ilizipita nchi zote za E.A kwenye millitary expenditure otherwise hatupaswi kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa nchi yetu kijeshi tumezungukwa na wanyonge wenzetu