Tanzania kuna ombwe la uongozi

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
Viongozi wetu:


  1. Ni wajivuni na kila mmoja anajali maslahi binafsi;
  2. Hawana upendo wala heshima kwa wananchi ambao ndiyo waliyowaweka madarakani;
  3. Wanapenda kuombwa na kuambudiwa badala ya kujituma kuwatumikia wananchi na kusikiliza kero zao;
  4. Wanaogopana na hivyo kushindwa kukaa pamoja na kushauriana namna bora ya kuwatumikia wananchi; na
  5. Wanalindana na hivyo kushindwa kukosoana ili kuficha madhambi yao.

Wananchi tunatakiwa kuyatambua haya ili tusiendelee kujiweka kitanzi kwa kuchagua viongozi wanafiki na wabovu!
 
Back
Top Bottom