Tanzania kuna hackers

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
wadau nlikuwa naomba nulize kama tanzania kuna hackers i mean expert hackers sio amateurs aka copy n paste from google kama vile jamaa aliye hack tcu which was quite easy PLEASF I NEED FEEDBACK NA EVIDENCE
 
What do you mean specifically? Kama huyo aliweza kuwahack TCU kwann unamwita amature au kwakuwa hakudelete kila kitu? Whats uir measure in determining uir so called "expert hackers"?
 
hey naongelea experienced hackers kama hackers kama wale waturuki walioweza kuhack many many websites including microsoft umenipata au
 
Sina hakika kama wapo kwani watz wengi niwatu wa ethics hawawezi jihusisha na shughuli hiyo. Ila kinacho nishangaza nikampuni au mashirika ya kitanzania kuchukua wataalam wa it ulaya pale mambo yanapo korofisha mfano tanesco na tra nini sababu je niufinyu wa weled wa wataalam wetu au ni kutoaminika kwao hapa nchini.
 
Mimi ni hacker lakini due to nature of the Industry I serving as IT consultant ni mwiko kuhack kwa aina yeyote ile.So alienzisha uzi huu awe makini asije akawa kama yule alianzisha uzi wa Makomandoo wa Tanzania. Kwa kifupi Tanzania ina wataalamu wa fani zote waliobobea hapa Dunia. Unajua kuwa yupo Mtanzania DR. Ambaye ndie aliesaidia katika kugundua kuwa kuna aina zaidi ya Moja ya Virus wa HIV?
Kuna Mtaalam wa Maswala ya Kodi Mtanzania ambaye Vitabu vyake Vinatumika mpaka USA kufundishia watu wa kodi?Watanzania tujisamini na kujiamini
 
Mimi ni hacker lakini due to nature of the Industry I serving as IT consultant ni mwiko kuhack kwa aina yeyote ile.So alienzisha uzi huu awe makini asije akawa kama yule alianzisha uzi wa Makomandoo wa Tanzania. Kwa kifupi Tanzania ina wataalamu wa fani zote waliobobea hapa Dunia. Unajua kuwa yupo Mtanzania DR. Ambaye ndie aliesaidia katika kugundua kuwa kuna aina zaidi ya Moja ya Virus wa HIV?
Kuna Mtaalam wa Maswala ya Kodi Mtanzania ambaye Vitabu vyake Vinatumika mpaka USA kufundishia watu wa kodi?Watanzania tujisamini na kujiamini[/QUOTE

hakuna ww sio hacker kwanza kabla hujajitangazia ww kua ni hucker make sure unajua programming
 
Belive me wapo, i knw them, they r awesome, as for me, just abit, sio amateur wala guru wa hacking... i`ve had my moments
 
hivi kwanza ni taifa gani linaloongoza kuwa na hackers wengi humu duniani?

then, ili u hack, lazima uwe ama ujue nini?
 
Kama Mtanzania Unajiona Wewe ni Hacker,
jitahid ufanyie ndan ya nchi bas.
.
Izrael hackers waka wachokoza waarabu.
.
Israel+Cyberattacks+by+anonghost1.jpg

.
Websites kama 500 hv za Izrael zika teketezwa,
na jamaa wana angalia website muhimu tu.
.
Tar 4/12/2013 jamaa wataanza za wa Angola kisa ni the news of Islamic banned, websites zao muhimu zitaanza kuteketezwa,
.
Wamarekani nao walifuatia baada ya Israel
.
images

.
Wamarekan wakatulia tu,
.
Sasa kama wewe n hacker usije ukatunyima raha wengne,
 
mambo ya kuhack kama mtu mmoja siku hizi yamepitwa na wakati.

hawa anon wa middle east ni wa iran na israel wametia aibu kum asssasin kiongozi wao.

same china wanawahack marekani na ikagundulika ni chuo kizima kilikua kinafanya kazi hio.

ina maana mfano tanzania tuna ugomvi na nchi fulani basi maprofessor wa ud, udom na vyuo vikubwa na wanafunzi wao wakali wanakaa pamoja wanafanya hizi ishu kama somo vile. na kwa style hii hawawezi shindwa na watu individual.

hata hapa africa tukiwa na umoja huu basi pia kundi la kutisha linaweza kutengenezwa
 
mambo ya kuhack kama mtu mmoja siku hizi yamepitwa na wakati.

hawa anon wa middle east ni wa iran na israel wametia aibu kum asssasin kiongozi

Mpaka sasa "Mauritania Attacker" the anonghost leader, hajawa arrested, na hata israel bado hawajiamin, mana hata wakimkamata bas Vikund ving sana vitaungana kumshambulia israel, pamoja na USA.
Na juz juz Russia katumiwa warning na hawa hawa anonghost baada ya kuwakamata Washukiwa 30 kwa matukio ya hacking.
.
Ujanja wote wa FBI na CIA documents zao waka zi leak, zina patikana HAPA
.
Na nyingine hiz HAPA
.
Yani Izrael akileta mbwembwe tu wataanza kuziteketeza Websites na Forums zao,
.
Hawa anonghost ameongezeka jamaa mwingne anajiita http://megafab.net/
.
Vikundi vya hacking vpo vingi na vinazid kuongezeka,
Kuna jamaa wanajiita #Red Hackers hawa mpaka wamesimamia uchaguz wa Turkey
.
Vita vya Hacking kat ya vikund na Nchi, Vikund havipati hasara ila Nchi,
Hata kama Tanzania tutajikusanya, hasara itakuwa kwenye websites za watu tu sio za Nchi, Na Tz vi webs vyetu vichache.
 
wadau nlikuwa naomba nulize kama tanzania kuna hackers i mean expert hackers sio amateurs aka copy n paste from google kama vile jamaa aliye hack tcu which was quite easy PLEASF I NEED FEEDBACK NA EVIDENCE

Una tenda nini?
 
Hamna hackers Africa kama wapo hawafiki 5 na Hakers siyo yule mtu anayetumia program kufanya haking....usiangalie movies ukaona mtu ana type harakaa ukaona ndo hakers wanavyofanya. Haking ni ngumu balaa kwa mimi haking ni kipaji na hardworking. I know what am talking because i once wanted to be one and nilibahatika kukutama na amature hacker from India but still hajiamini....
 
ungesema tu shida yako mkuu. kuna kazi au unataka kujua tu?
 
Hamna hackers Africa kama wapo hawafiki 5 na Hakers siyo yule mtu anayetumia program kufanya haking....usiangalie movies ukaona mtu ana type harakaa ukaona ndo hakers wanavyofanya. Haking ni ngumu balaa kwa mimi haking ni kipaji na hardworking. I know what am talking because i once wanted to be one and nilibahatika kukutama na amature hacker from India but still hajiamini....

kaka Afrika ma hackers wapo Nigeria na Misri,
Misri nao hackers wake wanapata support kutoka kwa Islamic hackers.
.
Cyber Army Nigerian hackers
.
from-nigeria.png

.
Egypt Team hackers (misri)
.
images

.
Afrika hackers wapo
 
Back
Top Bottom