Tanzania kufilisika Novemba 2015?

mchakachuaji

Member
Aug 12, 2010
58
7
hali ya kiuchumi ya Nchi yetu ya tanzania baada ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga ipo taabani na sababu kubwa ikiwa matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi huo; licha ya bajeti kupita hakuna ajira, gharama za maisha zimekuwa kubwa, wafanyakazi hawalipwi kwa wakati, hospitali hazina madawa, n.k. Hali hii inanifanya niamini kuwa kama kutakuwa na matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi mkuu wa October 2015 basi Novemba 2015 nchi itafilisika rasmi, sio mbali sana! naomba kuwasilisha
 
Kufilisika haifilisiki ila ila tutabeba mahela mengi kama zimbabwe tukienda kwenye manunuzi
 
Mbona umeongelea mbali sana 2015?

We cha kufanya kwa sasa usiombee jambo lolote baya litokee na kusababisha jimbo lingine liwe vacant...tukiingia kwenye uchaguzi mdogo mwingine tayari petroli na sukari vinafika Tshs 4000/=
 
Nchi maskini kama Tanzania inafilisika vipi? Masikini hafilisiki.

Mkuu Nchi simasikini sema wewe ndo masikini wa wawazo pamoja na hao mafisadi walio ifikisha nchi hapa msilazimishe watu tupigwe bani kwa umbumbumbu wenu wa kuhesabu siyafu
 
hali ya kiuchumi ya Nchi yetu ya tanzania baada ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga ipo taabani na sababu kubwa ikiwa matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi huo; licha ya bajeti kupita hakuna ajira, gharama za maisha zimekuwa kubwa, wafanyakazi hawalipwi kwa wakati, hospitali hazina madawa, n.k. Hali hii inanifanya niamini kuwa kama kutakuwa na matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi mkuu wa October 2015 basi Novemba 2015 nchi itafilisika rasmi, sio mbali sana! naomba kuwasilisha

Takwimu ziko wapi kuthibitisha hizi hoja au ni hisia tu?
 
hali ya kiuchumi ya Nchi yetu ya tanzania baada ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga ipo taabani na sababu kubwa ikiwa matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi huo; licha ya bajeti kupita hakuna ajira, gharama za maisha zimekuwa kubwa, wafanyakazi hawalipwi kwa wakati, hospitali hazina madawa, n.k. Hali hii inanifanya niamini kuwa kama kutakuwa na matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi mkuu wa October 2015 basi Novemba 2015 nchi itafilisika rasmi, sio mbali sana! naomba kuwasilisha

Una predict November 2015, mbali kote huko? Kutokana na serikali kuwa bankrupt,
inafikiria kutanganza min budget mwezi January 2012, ambapo kodi ya bidhaa mbalimbali
zitapindishwa kati ya 5%-10% ili kufidia nakishi ya serikali kutokana na mdororo wa kiuchumi,
kushuka kwa thamani ya shilingi, kufindia pengo la pesa kutoka kwa wahisani ambao wamegoma
kutoa kama walivyoahidi (Uingereza tayari imeshakata 32% ya misaada iliyoahidi kutoa kwenye budget
ya 2011/12). Na kama hatutaridhia kuruhusu ndoa za jinsia moja (eti haki za mashoga). Nchi za UE
zikiongozwa na UK zitatukatia misaad ya kimaendeleo.

Zitto aliwaambia angalau wakiondoa matumizi yasiyo ya lazima kama kufuta seatting allowance kwa
wafanyakazi waandamizi wa serikali wataokoa > Tshs bilioni 7, Lakini serikali ya magamba wakiongozwa na
Mkulo na Sitta wakambeza. sasa ndiyo tunaletewa tena min budget! Ngoja tukome Watanzania haya yote
tunajitakia wenyewe!

Leo 1/11 ni wafanyakazi tu wachache wa serikali wamepokea mishahara yao. Sijui bado wananegotiate kukopa NSSF
au PPF maana mishahara ya mwezi May 2011, walikopa NSSF.
 
2015 mbali sana labda kama huna data. tunavyoongea kuna shirika moja la uma SU halijalipa watumishi wake mshahara na serikali imuwa ikichota sana akiba ya fedha za shirika hilo ilihali wafanyakazi wake hawajaongezewa mshahara mwaka wa tano sasa
 
Hi hatari. Tuliambiwa kuwa ziara za nje za mara kwa mara za mkuu wa nyumba zingetusaidia kutuinua kiuchumi. Hivi zimetusaidiaje?
Una predict November 2015, mbali kote huko? Kutokana na serikali kuwa bankrupt,
inafikiria kutanganza min budget mwezi January 2012, ambapo kodi ya bidhaa mbalimbali
zitapindishwa kati ya 5%-10% ili kufidia nakishi ya serikali kutokana na mdororo wa kiuchumi,
kushuka kwa thamani ya shilingi, kufindia pengo la pesa kutoka kwa wahisani ambao wamegoma
kutoa kama walivyoahidi (Uingereza tayari imeshakata 32% ya misaada iliyoahidi kutoa kwenye budget
ya 2011/12). Na kama hatutaridhia kuruhusu ndoa za jinsia moja (eti haki za mashoga). Nchi za UE
zikiongozwa na UK zitatukatia misaad ya kimaendeleo.

Zitto aliwaambia angalau wakiondoa matumizi yasiyo ya lazima kama kufuta seatting allowance kwa
wafanyakazi waandamizi wa serikali wataokoa > Tshs bilioni 7, Lakini serikali ya magamba wakiongozwa na
Mkulo na Sitta wakambeza. sasa ndiyo tunaletewa tena min budget! Ngoja tukome Watanzania haya yote
tunajitakia wenyewe!

Leo 1/11 ni wafanyakazi tu wachache wa serikali wamepokea mishahara yao. Sijui bado wananegotiate kukopa NSSF
au PPF maana mishahara ya mwezi May 2011, walikopa NSSF.
 
Ziara za mkulu zimesaidia sana na hasa ziara ya Australia kwani sasa nchi yetu itakuwa mshirika wa karibu wa UK mara baada ya kutimisha sharti moja dogo sana nalo ni: kukubali kwa dhati kabisa mambo ya sodoma na gomora yafanyike Tanzania bila kificho.TUTATHUBUTU, TUTAWEZA NA TUTASONGA MBELE NA SODOMA NA GOMORA ili mradi mshiko unapatikana
 
Tusubiri tuone. Mi nimeshaanza kuchimbia pesa zangu kwenye kahandaki kadogo zisije zikapokwa huko benki
 
Tunapoelekea...!duh! Waliopo mashirika ya umma bado hawajalipwa mishahara, bei za vyakula ndo kwanza zinapanda maradufu huku bei ya madafu ikizidi kuporomoka! Tukifika hiyo 2015, basi tupige magoti na kumshukuru Mungu!
 
Back
Top Bottom