Tanzania jameni...

i am against the project cause of ecological consequences but i don't buy it ati kenya cares!? since when? go to Masai Mara to see the land grabing within the park! or go to Lamu and hear the new Port disastrous report on on marine environment or the the blockade on animal corridor within Nairobi National Park

We tired of this man. It's always this and that against us, despite those arguments of yours in red, Maasai Mara is at the TOP position in AFRICA (2010 top destinations) . See, no need of that, take care of your own before it takes care of itself.
 
Ukishajiuliza hayo maswala then iwe nini? Argument yako ni nini? Je umeelewa nilichoandika au umekurupuka?

Nimeelewa ulichoandika ndio maana nikatoa mfano wa vijimwasli ya kujiuliza ili kufanya peronal uchambuzi yakinifu za umuhimu na faida za huo mradi. sijakurupuka kabisa tueleweshane kwa hoja zenye uzito.

Achana naye huyo haelewi analo liongea ndo waliyvo Wakenya wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau
hahaha Jaribu basi kutoa japo hoja hata nyepesi nyepesi.
Mimi sio Mkenya ni mtanzania .kwa kuwa unajua matatizo ya wakenya sasa labda ueleze sisi watanzania tatizo letu ni nini?

  • Nimeuliza swali dogo tu kuna traffic ya mizigo tani ngapi na abiria wangapi wanafanya movement kati ya arusha na mara. Tufanye assumption tuweke na abiria wanaopitia kunya na kushuka arusha na Moshi. Just make a realistic assummtion
Resource including Finance are always scarce. Hili ndio tatizo letu watanzania hatujui kufanya PRIORITY.
 
Nimeelewa ulichoandika ndio maana nikatoa mfano wa vijimwasli ya kujiuliza ili kufanya peronal uchambuzi yakinifu za umuhimu na faida za huo mradi. sijakurupuka kabisa tueleweshane kwa hoja zenye uzito.

hahaha Jaribu basi kutoa japo hoja hata nyepesi nyepesi.
Mimi sio Mkenya ni mtanzania .kwa kuwa unajua matatizo ya wakenya sasa labda ueleze sisi watanzania tatizo letu ni nini?

  • Nimeuliza swali dogo tu kuna traffic ya mizigo tani ngapi na abiria wangapi wanafanya movement kati ya arusha na mara. Tufanye assumption tuweke na abiria wanaopitia kunya na kushuka arusha na Moshi. Just make a realistic assummtion

Resource including Finance are always scarce. Hili ndio tatizo letu watanzania hatujui kufanya PRIORITY.

Kama tungekuwa tuaangalia vitu kama hivyo ulivyotaja hapo juu kabla hutajenga barabara, basi tungekuwa nazo chache sana. Watu hawatumii sana hii barabara kwa sababu ni mbaya, ila ikijengwa matumizi yake yataongezeka sana!!
 
Unachosema ni sawa ila mfano huu mdogo nimetoa kujibu jamaa aliyenijibu kwa jabza. Nilichosema mwazoni

Aisee ebu jiulize maswali haya simple

  1. kuna abiria wangapi au mizgo tani ngapi kwa sasa inamove kupitia njia hiyo ? je mikoa ya Mara na Arusha inategemeana?
  2. Kuna faida gani bidhaa gani , ecnomic activity gani zina umuhimu wa huu mradi?
  3. Je hivi nini maaana ya neno Hifadhi. au eneo la hifadhi
Sidhani kama hapa suala ni la kenya. Hata kama tuna excess financial resounces za kufund ujenzi wa barabara wich is not true , barabara ya Arusha- mara haiwezi na haitakiwi kuwa among top 3 Priority road projects. Unless it is just political kuenzi mkoa wa mwalimu.

NB
Tanzania project threatens Kenya’s Seventh Wonder!!!!! - their side of a coin
"Tanzania Road project threatens its own 2nd Wonder!!!!!
"-
Our side of a coin

kwa jiografia ya haraka haraka niliyonayo kichwani sidhani kama hii barabra inatakiwa kupewa umuhimu kuliko kuunganisha mkoa wa Kigoma na Tanzania.

Hoja yangu imejikita zaidi kwenye dukuduku la POOR PRIORITiSATION ya decison makers. otherwise i wish bara bara zote tanzania ziwe za rami.
 
Nimeelewa ulichoandika ndio maana nikatoa mfano wa vijimwasli ya kujiuliza ili kufanya peronal uchambuzi yakinifu za umuhimu na faida za huo mradi. sijakurupuka kabisa tueleweshane kwa hoja zenye uzito.

Hili ndio tatizo letu watanzania hatujui kufanya PRIORITY.

Mkuu ndoto za mchana mbaya sana bado hata huelewi nilichoandika. Vipi tukupeleke ngumbaru tena?
 
Sasa ngumbaru , ndoto za mchana zinahusiana na tiitle ya thread. lakini nimeshakuelewa mkuu ndo maana tuko hapa. Hatuko hapa kwa ajili ya kukubaliana tu. Tuko hapa pia kukubali kutofautiana kwa hoja
 
nawashangaa ndugu zetu humu ndani mnaotaka barabara hii ijengwe, ni upumbavu mkubwa kujenga barabara kwenye korido za mapitio ya wanyama hali itakayosababisha muingiliano wa kiasilia kwa nyumbu kupotea kabisa na hii ni hatari kubwa mbele yetu kwani tusipokuwa makini kukataa ujenzi huu we will no longer have SERENGETI ana NGORONGORO, acheni siasa katika mambo ya kitaalamu na katika jambo hili hakika historia itatuhukumu, angalieni mikumi wanyama wanavyokufa kwa kugongwa na magari na ile ni hifadhi ndogo tu.
 
Nakubali kwamba Barabara itaingilia ecolojia ya mbuga, ila natambua na kuheshimu uamuzi wa serikali kuunganisha mikoa kwa lami, ninachoshauri kama ni lazma sana ipite kwenye hiyo migratory route basi wajenge tunnel maana ni only 52kms! Kitu kipite underground wanya waendelee na route yao bila kuingiliwa.

Kwa kuwa hayo maeneo ni world heritage basi world ichangie vijesenti kuweka tunnel kama tatizo mshiko!

Naomba kuwasilisha!
:banplease:
 
Nimeelewa ulichoandika ndio maana nikatoa mfano wa vijimwasli ya kujiuliza ili kufanya peronal uchambuzi yakinifu za umuhimu na faida za huo mradi. sijakurupuka kabisa tueleweshane kwa hoja zenye uzito.

hahaha Jaribu basi kutoa japo hoja hata nyepesi nyepesi.
Mimi sio Mkenya ni mtanzania .kwa kuwa unajua matatizo ya wakenya sasa labda ueleze sisi watanzania tatizo letu ni nini?

  • [*]Nimeuliza swali dogo tu kuna traffic ya mizigo tani ngapi na abiria wangapi wanafanya movement kati ya arusha na mara. Tufanye assumption tuweke na abiria wanaopitia kunya na kushuka arusha na Moshi. Just make a realistic assummtion
Resource including Finance are always scarce. Hili ndio tatizo letu watanzania hatujui kufanya PRIORITY.
Ili kuwepo na mizigo ya kutosha na abiria wa kutosha lazima barabara imara inayopitika wakati wote iwepo. Ninaunga mkono project iendelee kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania. Masai Mara iliyoungana na Serengeti mbona ina barabara kibao za lami na hoteli kwa wingi sana? Hoteli zilizoko Masai Mara ni nyingi kuliko hoteli za Arusha yote pamoja na mbuga nyingi tulizonazo ukanda huo. Ifike wakati tuangalie maendeleo ya watu wetu na kuweka philosophy za uongo zisizo na utafiti wa kutosha pembeni. Tunahitaji maendeleo ya kweli na lazima tujenge miundo mbinu! Faida za kuwa na mradi huo wa barabara ni kubwa zaidi kuliko argument zinazotolewa. Ukiangalia wanaopiga tarumbeta sana ni KTC kupitia kwa Mkurugenzi wake mzungu!! na Wazungu wengine kuanza kumuunga mkono!! Wakenya walitupinga kuuza pembe za ndovu sasa wao wamesmuggle 750kg za pembe za ndovu kupitia ndege yao ya KQ na zimekamatwa Thailand!!! Imangine!!! wanatupinga ili waendelee kufanya magendo!!!
 
nawashangaa ndugu zetu humu ndani mnaotaka barabara hii ijengwe, ni upumbavu mkubwa kujenga barabara kwenye korido za mapitio ya wanyama hali itakayosababisha muingiliano wa kiasilia kwa nyumbu kupotea kabisa na hii ni hatari kubwa mbele yetu kwani tusipokuwa makini kukataa ujenzi huu we will no longer have SERENGETI ana NGORONGORO, acheni siasa katika mambo ya kitaalamu na katika jambo hili hakika historia itatuhukumu, angalieni mikumi wanyama wanavyokufa kwa kugongwa na magari na ile ni hifadhi ndogo tu.
Mungu ametupa wanya tuwatawale na siyo wao kututawala!!!! Haiwezekana ikawa wanyama wanapewa priority kuliko wanadamu. Ukitaka kujua kuwa barabara wala haitakuwa na tatizo nenda upande wa Kenya mbona Masai Mara imejengwa sana tu na bado hao wanyama wanamigrate kwenda huko? Wakenya wakitaka wajenge ukuta kama wa 1977 na ambao pia wanyama walivunja na kuvuka kuja Tanzania ijapokuwa laki kadhaa walikufa!!!!
Barabara ijengwe na pia barabara imekuwapo lakini ni ya vumbi, sasa tunataka ya lami!!! Mbona mbuga za wenzetu zina barabara ya lami na bado wanyama wapo na zinapokea watalii wengi hata kuliko Tanzania? Naamini miundo mbinu ikiwa nzuri tutakuwa na watalii wengi zaidi na fedha nyingi zaidi. People are always afraid of change but change is inevitable you either be part of it or you will be carried by change!!!
 
hiyo bara bara itajengwa.......huo ndio uamuzi wa serikali na umeshapita, let them debate but we decide.sasa wao walalamike wapetition......whatever, serikali imefanya Environmental Impact Assessment na kufikia uamuzi kulingana na mazingira husika.
 
Mungu ametupa wanya tuwatawale na siyo wao kututawala!!!! Haiwezekana ikawa wanyama wanapewa priority kuliko wanadamu. Ukitaka kujua kuwa barabara wala haitakuwa na tatizo nenda upande wa Kenya mbona Masai Mara imejengwa sana tu na bado hao wanyama wanamigrate kwenda huko? Wakenya wakitaka wajenge ukuta kama wa 1977 na ambao pia wanyama walivunja na kuvuka kuja Tanzania ijapokuwa laki kadhaa walikufa!!!!
Barabara ijengwe na pia barabara imekuwapo lakini ni ya vumbi, sasa tunataka ya lami!!! Mbona mbuga za wenzetu zina barabara ya lami na bado wanyama wapo na zinapokea watalii wengi hata kuliko Tanzania? Naamini miundo mbinu ikiwa nzuri tutakuwa na watalii wengi zaidi na fedha nyingi zaidi. People are always afraid of change but change is inevitable you either be part of it or you will be carried by change!!!

Hapo pekundu pamenikumbusha mbali sana....
 
Baseless argument. Myopic people hata hawajaona ramani tayari wanakurupuka ohhh 7th wonder iko hatarini blah blah za kila siku. Anayetaka barabara isijengwe alipe gharama ya kuweka underground train kuunganisha usafiri wa uhakika kwenye miji/vijiji husika. Usipende tu … …. kila kitu kina gharama, kama Kenya wanaona kuna hasara walipie hiyo gharama.

Naam!

Haya ni masuala ya maendeleo ya nchi yetu, na naamini ya Afrika Mashariki kwa ujumla. Kama kuna mtu anataka tuache kujenga barabara, basi Tanzania ifidiwe kwa kukosa maendeleo yatakayoletwa na barabara hiyo. Vivyo hivyo suala la uuzaji wa meno ya tembo, matumizi ya maji ya mto Nile n.k. Tuweke hoja mezani na kuangalia cha kufanya. WaTZ wanayafahamu maslahi yao yaliko, hawahitaji somo (kumbuka Odinga na suala la meno ya tembo) toka kwa wakenya au mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom