Tanzania Izaliwe Upya Kwa Njia ya Mapinduzi (Revolution)

Mr.Right

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
408
69
CCM haifai kuongoza nchi. Wanatakiwa watolewe madarakani na Wananchi kwa Maandamano ya Amani. Aljazeera inakuja-itasaidia ktk kutangaza habari za Maandamano Duniani. Miaka 50 ni mingi sana. Nataka kuona, kushuhudia CCM inaondoka Madarakani.

Maandamano ya Amani yanatakiwa. Tunisia wameweza, Egypt wameweza. Na sisi Tunaweza. Time is UP. CCM itoke Madarakani.

Power to The People.

thumbnail.aspx
 
Mr. Right, I'm sorry you must be wrong!. Unataka kuhamasisha maandamano ya kuipindua serikali ya CCM kupitia JF?!.

Fanya uchunguzi wako kwanza kuwajua wamiliki halisi wa JF ni kina nani?, ndipo utajua kuwa kamwe hauwezi kuuangusha mti kwa kukata tawi ulilolikalia, utaanguka wewe!.

CCM ni mti na jf ni tawi tuu la mti huo, huwezi kuukata kwa kulitegemea tawi ulilokalia, utaanguka wewe kwanza.

Tena unabahati kwa vile leo ni Jumamosi, mode wanachelewa kuamka ndio maana thread hii ipo mpaka saa hizi!.

Unaweza kujihesabu kuwa wewe ni mwana mapinduzi kwa kuhamasisha mapinduzi ila kwa wenyewe huu ni uchochezi!.
 
Back
Top Bottom