Hili ni bonge la dongo kwa hiyo serikali ya Tanganyika. Nimeipenda sana.Hivyo mnataka kutwambia tukaitawale zanzibar sio kisa oil!!!! What a bunch of loosers and pathetic nincamputs!!!!! Dhahabu na gesi, uranium na almasi mumewapa wazungu sasa mnataka mkawaonee wazanzibar Tanzania haitakalika mshkaji!!!
Hiki kitakua KIJUKUU na Mwalimu,,Lakini kwa taarifa yako haya babu yako alikua na ndoto hizo hizo na alishindwa mpaka kajiondokeanasema TZ ikiendelea kulala kama argentina basi itafika siku tutaambiwa kuwa ZNZ siyo ya kwetu.
waingereza wameanza kuchimba mafuta falklands wakati argentina wakiwa wamelala.
mfano mzuri ni china wamewapush waingereza out of hongkong na wame declare dalai lama kama ni separatist.
wakati umefika wa serikali kumdeclare kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye anataka kuvunja muungano separatist.
nasema tena tanganyika eneo lake ni kubwa sana na pia eneo la bahari ni kubwa sana kwa hiyo ni haki kuwa maji ya bahari yote na ardhi ya znz ni yetu.
Huo unaitwa uchimvi.kama vipi tuoe mademu wa kipemba wote tuwalete bara.tutakuwa tumemaliza kila kitu.
mr froast upo?