Tanzania Itakuwa Huru Barrick Ikiondoka na CCM Kung'olewa

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Hali halisi North Mara, yaani uchafu unaofanywa na barrick ni Sababu tosha serikali dhalimu ya CCM na mafisadi wake kung'olewa madarakani. Nguvu ya umma ndio dawa pekee ya kulikomboa taifa letu. Watoto wa mafisadi kama January wanaliona Tanzania kama shamba la baba yao. Uvumilivu wetu unafika ukingoni, CCM lazima iondoke pamoja na Rarrick
 
Ndiyo maana CCM walitumia nguvu kubwa sana kutaka kushinda jimbo la Tarime . Barrick hawakuwapenda kabisa Chadema maana wali side na wananchi . Mbunge wa Tarime sasa umemsikia ? Kimya baada ya mauaji alikuja Dar kapewa maelekezo yuko kimyaa hata Bungeni hakuuliza kitu wakati wameuawa wananchi na wapiga kura wake .Shame on you guys
 
Back
Top Bottom