Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Hakuna uchaguzi Libya kwa miaka 40 na ushee.
Ametangaza vita vya makombora dhidi ya raia wa Linda wasio kubaliana naye kisiasa.
Mkuu inawezekana unachoongea ni ukweli. Lakini unajua Saudia Arabia ilifanya uchaguzi lini? Unajua uchaguzi wa Kuwait ulifanyika lini? pamoja na kuwa nchi hizo ni Kingdoms kama Ungereza na Uholanzi mbona wao hawafanyi uchaguzi? kwanini tusiwalaani? Saudia mpaka leo kuna utumwa na watu kukatwa vichwa, mbona wao bado ni watu wa maana kuliko Gadafi?
Unakumbuka 1994 Marakeni ilivyopeleka vifaru LA dihi ya raia wake?
Point ni kuwa unaweza kuona kuwa kuna ajenda nyingine hapoa zaidi ya udhalimu, madhalimu wako wengi tu, si Gadafi peke yake.