Tanzania is one of the most cyber-attacked countries in the world

Nahamasisha vijana walioko vyuoni wajiunge na kuunda team za network security. Binafsi nitajitolea kuwapa guidance. Criteria-be good at using Computing devices or optimizing computer use. Kuna jamaa aliwahi kusoma UDSM Computer Science anaitwa Athuman miaka ya 2003-2006 namtafuta. Huyu jamaa angepata guidance angeweza kuwa Top Hacker in Africa. Now I need guys like him coz sio kila mtu anaweza kudevelop interest na kuvumilia hussles za hacking.
Mkuu upo serious
 
Hey guys, no one has seen October! which year are you talking about.
the report fail to describe wich year has research taken, but all in all that is reality, we have a poor security in concern
 
Wakati ufike serikali yetu iwekeze sana kwenye hii nyanja vinginivyo hali itakuja kua mbaya sana. .....kuna baadhi ya waajili ukiwaambia peleka baadhi ya vijana wako wa ICT wakafanye security professional courses wanaona kama watawatajirisha vile lakini madhara yake ni makubwa sana. .....We need to seriously invest on ICT security
 
Nilivyokuwa nafanya kazi Tanzania nilishawahi kuwa attacked na Waturuki waka deface website yangu, hii ilitokana na udhaifu wa IIS.

Nika patch IIS, eventually nikahamia Apache.

Ila naweza kuelewa kwa nini Tanzania inaweza kuwa katika list hii.

Security is an afterthought. Hata Ikulu mpaka utawala wa Kiwete walikuwa wanatumia email za Yahoo na Gmail.

See Google Groups
 
Back
Top Bottom