Tanzania is a jewish name!

mtafute Faziafoxy yeye ana knowlegde ya both
arabic language na islamic knowledge aje athibitishe hapa

kwa kuwasaidia tu hata Daresalaam yenyewe sio Daresalaam
usahihi ni DAR AS SALAAM..na sio DAR ES SALAAM....

kwa hiyo kama Brunei wanaiita DAR US SALAAM.....jiulize hapo

vipi wao iwe pepo sisi iwe bandari.....

haya majina ukifuatiulia utashangaaa mfano jerusalem ni jerusalem au ni JER US SALAAM?????
Which is which?

Kwa kukusaidia kwenye imani yako, kati ya pepo hizo saba, moja tu ya daraja la juu-Firdaws, ndio pekee iliyoanishwa kwa jina lake. Hayo majina mengine yanamaanisha pepo, hayamaanishi a pertciular pepo.

Tanabahi:
1. Pepo imetajwa kwa zaidi ya majina 9 kwenye Quran
2. Dar (Dur) kwa Kiarabu ina maana ya eneo/ nyumba/ .....
 
hujaelewa nini tango............. tanzania imekua derived from jewish names simple as that!

yani unavyojielewa wewe isiwe kama vile kila mtu anakuelewa. Hizo jewish names ni zipi, zina maana gani, n.k. Tanzania ina maana gani kiyahudi? Pia kuna nyuzi humu zina historia ya jina la Tanzania na wala Nyerere hajaweka ushawishi wake hapo.
 
Acha kupotosha watu historia inakucheka,kama hujui uliza,Tanzania ni jina lililopatikana kutokana na shindano la kubuni jina la nchi ambalo lilitolewa na serikali na ndipo mtanzania mwenye asili ya kiasia aitwae mohammed igbar dar mtoto wa daktari maarufu wa mjini morogoro enzi hizo docta iqbar dar alishinda shindano hilo na serikali ikamzawadia pesa taslim shilingi mia mbili pamoja na ngao ambayo ilitolewa na idrisa abdul wakil kwa niaba ya serikali enzi hizo,kanuni ambayo alitumia kupata jina hili ni kuchanganya maneno toka tanganyika/zanzibar kwa sasa mtanzania huyo anaishi uingereza.dar essalaam imetokana na neno dar us salaam=nyumba ya amani.usiwapotoe watu na u-pro jewish wako.
 
Nijuavyo mimi ni;
Tan - Represent Tanganyika
Zan - Represent Zanzibar
ia - Represent founder/creator of of the name Tanzania
 
Kwa kukusaidia kwenye imani yako, kati ya pepo hizo saba, moja tu ya daraja la juu-Firdaws, ndio pekee iliyoanishwa kwa jina lake. Hayo majina mengine yanamaanisha pepo, hayamaanishi a pertciular pepo.

Tanabahi:
1. Pepo imetajwa kwa zaidi ya majina 9 kwenye Quran
2. Dar (Dur) kwa Kiarabu ina maana ya eneo/ nyumba/ .....

sasa umeona hapo mwenyewe kama dar(dur) ina maana ya eneo/nyumba
sasa bandari umeitoa wapi????

kwani bandari kiarabu inaitwaje?????????

naona umejijibu hapo

na hiyo firdaus ndio pepo maarufu inayotajwa na nyingine ni Dar as salaam....

mimi nimewahi kusoma kitabu chenye orodha ya pepo hizo zamani
ya kwanza Firdaus....na ya pili Dar as salaam.......
 
Kumbe tunazungumzia mambo ya kumbukumbu za zamani!!
Tupe andiko kuwa pepo ya daraja la pili ni Darul as Salaam, sio hadithi za kumbukumbu ya Kitabu kimoja ambacho hakina hata jina
 
Kumbe tunazungumzia mambo ya kumbukumbu za zamani!!
Tupe andiko kuwa pepo ya daraja la pili ni Darul as Salaam, sio hadithi za kumbukumbu ya Kitabu kimoja ambacho hakina hata jina

tatizo lako unabadili mada kila post
turejee kwenye Daresalaam ni bandari salama.....sawa??????
 
yes,watu weengi hawajui
kwa sababu sio sio kila kilichopo kwenye uislam ni kiarabu
mfano unaweza kujua kuongea kiarabu lakini usielewe hata neno moja la qur aaan....

so ndo hivyo
actually kiarabu neno bandari ni bandaar...so kama ni bandari salama
ingeitwa hivyo hivyo bandaar salaam......
Brunei nafikiri wana mji unaitwa Bandaar salaam.....
Na yenyewe (Brunei) ni hivyo hivyo........... Darul salaam ! Na 99.9 ya raia ni Waislaam !
 
Ina maana majina haya ya Uingereza, Ujerumani na Ufaransa yakitamkwa kwa ki ebrania , basi majina hayo yana rhyme kama vile unavyotaja majina haya;Tanzania, Mauritania ama Tripolitania.

Hilo halina maana kwamba the later is hebrew.

Ni kweli uelewa wetu una tofauti.

Again, i stand to be corrected.
 
wadau nataka tujadili hili jina tanzania asili yake, kwa vigezo kadhaa binafsi nimekuja gundua kumbe neno tanzania lina asili ya kiyahudi mfano halisi ni pale waziri wa serikali ya israle alipotumia tanzania kutukebehi na kutukashifu,

In an interview with Israel Radio’s Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant. “Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya],” said Barak, noting places "whose names rhyme with England in Hebrew."

je mwalimu alifanya hivi makusidi kuleta jina la kiyahudi liwe jina la nchi yetu au hakujua ilikua purerly coincidence, does it mean kila tunaposema tunaipenda tanzania indirect tunasema tunaipenda israel?
Hapo mkuu nakwambia ni Great Thinkers, hili wewe umetoka nalo wapi?????? Kama ni hivyo sijui ngoja wenyewe waje tuelimishwe!!!!!!!!

wadau nataka tujadili hili jina tanzania asili yake, kwa vigezo kadhaa binafsi nimekuja gundua kumbe neno tanzania lina asili ya kiyahudi mfano halisi ni pale waziri wa serikali ya israle alipotumia tanzania kutukebehi na kutukashifu,

In an interview with Israel Radio’s Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant. “Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya],” said Barak, noting places "whose names rhyme with England in Hebrew."

je mwalimu alifanya hivi makusidi kuleta jina la kiyahudi liwe jina la nchi yetu au hakujua ilikua purerly coincidence, does it mean kila tunaposema tunaipenda tanzania indirect tunasema tunaipenda israel?
Are these countries ending with ania Jewish named like:-
Countries that end in 'ania' are Albania, Lithuania, Mauritania, Romania!!!!

Hivi unajua Israel rhymes with sahel ambayo ndio mzizi wa neno swahili? kwa hiyo kiswahili ni kiyahudi?
 
Back
Top Bottom