Tanzania irahisishe umiliki wa silaha

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,598
8,738
Kumekuwa na hali ya kuvamiwa kwa biashara tofauti na haijulikani hivi vurugu zitaenda mpaka lini. Serikali imeshidwa kulinda watu na familia zao na tunaona kila siku watu wanaweza kwenda na kutekeleza sehemu binafsi bila mashaka.

Hapa Texas ninapoishi huwezi kufanya hivyo maana watu wanaruhusiwa kuwa na silaha na kama mtu amekuvamia na wewe uka shoot kwa kuangalia familia yako hakuna kesi.

Imefikia wakati wa Tanzania kurahisisha umiliki wa silaha kwani watu wakijua una silaha inabidi wajiulize mara mbili kabla hawajaja. Demokrasia sio free
 
zamani watu walikuwa na magobore babu zetu siku hizi hatuna kitu ni lazima tujue ile Tanzania ya zamani ya kufanya mambo yako bila kujali haipo tena!
 
Back
Top Bottom