Tanzania International University

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kiparaakp, Apr 13, 2013.

 1. Kiparaakp

  Kiparaakp JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2013
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa kwa umma kutoka TCU juu ya chuo cha TIU(TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY ) kilichopa kimara mwisho Tunapenda kuwajulisha kuwa chuo hiki hakina ithibati ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) inayokiruhusu kudahili wanafunzi katika kozi yeyote.
   

  Attached Files:

 2. Tembele

  Tembele JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2013
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Chuo cha Nape.
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,438
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Tcu walikieuhusu wakatoa na chwti, sasa wamegeuka na kukifungia kwa kusema hakijakidhi "mahitaji" mhh
   

Share This Page