Tanzania ya Watanganyika ipo hoi kwa kila kitu,Mfumko wa bei unazidi kupaa kama vile hatuna wasomi waliobobea masuala ya UCHUMI? wapi Pr.Lipumba,Pr.Ndullu,Pr.Safari
,Dr.Kitine,Dr.Bilal,Pr.Luhanga
,Dr.Bana? Wanaharakati wanaweza kupindua NCHI lakini si Kujenga UCHUMI endelevu wala tusiwategemee wanasiasa wa chama chochote kwamba watabadilisha nchi hii ya magumashi.Mawaziri wanaumwa lakini bado wapo
kazini tu bila kujali miradi na programme za maendeleo nazo zinakufa.Mkuu wa nchi,macho yetu yapo kwako uliomba dhamana hii kwa nguvu zote sasa zamu yako kuonyesha Watanzania UNAWEZA kwa vitendo siyo DIPLOMASIA za kuwafariji wananchi.JARIBU kusimama peke yako bila msaada wa washauri wako tuone TANZANIA MPYA inazaliwa sasa.PIA nawapongeza kwa hatua za kuzuia wabunge wa CCM wasigombee vyeo ndani ya CHAMA.......? Mh.Lukuvi tunataka ripoti ya madawa ya kulevya au ndiyo kusema hakuna wakumnyoshea kidole ?
:embarassed2::embarassed2::lol::lol::alien: