Tanzania inazama baharini au ndiyo Mwisho wa dunia??????

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Tanzania ya Watanganyika ipo hoi kwa kila kitu,Mfumko wa bei unazidi kupaa kama vile hatuna wasomi waliobobea masuala ya UCHUMI? wapi Pr.Lipumba,Pr.Ndullu,Pr.Safari,Dr.Kitine,Dr.Bilal,Pr.Luhanga,Dr.Bana? Wanaharakati wanaweza kupindua NCHI lakini si Kujenga UCHUMI endelevu wala tusiwategemee wanasiasa wa chama chochote kwamba watabadilisha nchi hii ya magumashi.Mawaziri wanaumwa lakini bado wapo kazini tu bila kujali miradi na programme za maendeleo nazo zinakufa.Mkuu wa nchi,macho yetu yapo kwako uliomba dhamana hii kwa nguvu zote sasa zamu yako kuonyesha Watanzania UNAWEZA kwa vitendo siyo DIPLOMASIA za kuwafariji wananchi.JARIBU kusimama peke yako bila msaada wa washauri wako tuone TANZANIA MPYA inazaliwa sasa.PIA nawapongeza kwa hatua za kuzuia wabunge wa CCM wasigombee vyeo ndani ya CHAMA.......? Mh.Lukuvi tunataka ripoti ya madawa ya kulevya au ndiyo kusema hakuna wakumnyoshea kidole ?

 
Hivi kumbe waziri hata akiugua miaka 3 bado atakuwa na wadhifa wake?
 
ahhaaaa nchi hii bwana. Mbunge kachaguliwa mwaka mmoja umeisha bila kuapishwa lakini bado anaitwa mbunge. Nchi haina sheria za kuweka ukomo wa kutofanya kazi yako basi umepoteza. Nilitegemea waziri akiugua baada ya muda fulani basi tuweke mwingine hata kama atakuja pona baadae.
 
Mkuu wa nchi must be deaf. He does not listen to the peoples cries. He is ambivalent because he never slepts hungry. You cry a lot. Let him be.
A HUNGRY MAN IS AN ANGRY MAN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom