Tanzania inatisha!meru viwanja square meter sh 24000

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Leo ktk gazeti mwananchi nimeona tangazo la halmashauri ya arumeru kuuza viwanja maeneo ya tengeru square meter moja sh 24000.wananchi wakachukue fomu sh 10 000.Swali arusha mjini ilikua sh 8500 na majuzi ilala kinyerezi sh 10000 per sq.meter.inambna kiwanja cha 20m kwa 30m itakua sh 14.4 m jee ni wangapi tutamudu haswa mmeru anayetegemea kuuza maziwa,nyanya ndizi kwa sado? Naomba serikali iwe inatoa maamuzi kwa kufikiria kina major sarakikya wanaolipwa sh 50 000 kwa mwezi
 
SAHIHISHO.......NI GENERAL SARAKIKYA (alipandishwa baada ya kustaafu)
 
Back
Top Bottom