Tanzania inatia huruma!

mapanga3

JF-Expert Member
May 1, 2012
665
633
Bila shaka hakuna asiyetambua jinsi mambo yanavyokwenda ndani ya nchi hii, taarifa za migomo ya madactari ya mara kwa mara, migomo ya waalimu, malalamiko ya ugumu wa maisha kwa wananchi, ufisada wa hali ya juu, dhuluma, matendo ya kinyama wanayowafanyiwa wananchi wanaojaribu kutetea haki zao mfano Dr. Ulimboka, mapambano ya askari na raia wa tegeta haya yote na mangine mengi yanatoa tafsiri tofauti lakini swali langu kwenu wana jf, kuna haja ya kuwa na serikali ya namna hii au bora nchi ijiongoze yenyewe bila kuwa na kiongozi? Maana hapa naona serikali yetu n zaidi ya DHAIFU!
 
Chunga kauli yako, utakuja kukamatwa na wahuni kisha upigwe kama Dr. Ulimboka kwa kusema ukweli. Hii nchi inabidi uwe unavuta bangi au kubwia unga ili uishi hapa. Rais yupo lakini kama hayupo. Yaani viongozi wa nchi hii wanavyotaka ni kuwa sisi wananchi tuwe wapole ili tuibiwe na kunyanyaswa ukisema unapigwa na wahuni kushikishwa adabu. Kwa nini jeshi lisichukue hii nchi?
 
unategemea hatatia huruma kama inaongozwa na rais dhaifu...
 
Back
Top Bottom