Tanzania inajifunza nini kufuatia kifo cha Osama - Google Earth/Map

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Teknoliojia inakuwa na na kila mtu ana teknology nyumbani.

Kifo cha Osama na matukio ya hivi karibuni yamefanya nijiulize maswali kuhusu kama wataalam wetu na serikali yetu unajua risk na kuchukua hatu juu ya mambo kadhaa.

  • Google map na google earth inatoa fursa kupata picha za satelite una huduma pia ha google earth pro inayota rich detail . Zaidi ya fursa hii ni changamoto kwani satelite za google zinaweza kupata image za sehemu zetu nyeti.....
Binafsi nadhani nchi zilizoendela zina mkataba na google kuwa baadhi ya geolocation point google map haichukui data zote. Mfano vituo vya nyuklia ikulu na vituo vya kijeshi.

Kama hawana mikataba basi lazima kwenye sehemu zao nyeti kuna vifaa muhimu vya kuzua satelite kuchukua taarifa.

  • Je, Tanzania wameingia mkataba na google na kuwapa detail ni point gani katika latitude na longitude google map haitakiwi kuchukua detail zaidi? Au zikichukuliwa zisiwe published?

  • Je, zaidi ya fursa wataalam wamefanya risk analysis inayokuwa presented na ni teknolojia kama google earth na goglemap kwenye vituo nyeti?
Nawasilisha
 
tumeshabikia tu, nadhani tecknolojia wakipanga budget ya kui-acquire wanachakachua na wakinunua wanachukua ile cheap!
 
Yah wakati hizi teknolojia za kisasa zinatoafursa nyingi amabzo watazania na seriali yetu haijazitumia vile vile hizi teknolojia zinapanua mwanya wa risk amabzo nadhani kwama wahusika wamelala wanaweza kudhani wamevaa nguo washavuliwa.

Juzi juzi nimesoma meya ya Ride jenairo Brazil ailibidi awasiliane na google sababu ramani iliyokuwepo ilkuwa inalionyesha eneo la uswazi zaidi kwa detail nyingi kuliko maeneo mengine. Meya akasema inaathir utalii. akagiza google kama ni deti basi waonyeshe za yale maeneo mazuri mazuri........

So kwa mfano huu mdogo unaona hatari na faida za hizi teknolojia. Sijui sisi wahusika wetu wanafahamu haya na ku act accordingly
 
Kwa kutumia picha za satellite, hakuna mahali ambapo hapawezi kuchukuliwa. Kinachoweza kutofautisha ni kiwango cha taarifa (Level of details), na eneo dogo kiasi gani linaruhusiwa kwa matumizi ya kiraia (Ground resolution). Kwa mfano, street view haziruhusiwi kwenye maeneo ya kijeshi na maeneo yote ambayo ni nyeti kiusalama.

Hata hivyo, Marekani ina mkataba wa kuchukua picha kwa matumizi ya kijeshi kwa kiwango cha 0.4m kwa eneo dogo kabisa ardhini. Pia kwa intelijensia za kijeshi Marekani tayari wana technolojia inayoweza kuchukua picha za satellite kwa kiwango kidogo zaidi cha 0.2m ardhini. Hii ina maana wanaweza kutrack kitu chochote chenye ukubwa unaolingana na usiozidi 0.2m ardhini.
 
Who was the courier who led US to Osama Bin Laden?

BBC News - Who was the courier who led US to Osama Bin Laden?
Ukisoma hii habari unaona failure ya intelligence service nyingine .

  • Mtu anatumia fake identity.
  • Huyo huyo mtu kwa kutumia fake identity ananunua ardhi eneo nyeti
Tanzania tuko wenye mchakato wa kupata Nationa ID. Pakistan wanayo hii lakini haikuweza kusaidia. Why?????? Tujifunze na wahusika waone haya. sio tu kuw aa nationa ID ambazo haziwezi kusaidia kufanya vrefication na validation itakapohitajika.

Too late wanagundua jina alilonadika na sehemu aliyosema kuzaliwa hakuna mtu kamahuyo wala ukoo huo haujulikani?

Funzo na changamoto kwa Tanzania. Wataepukaje loopholes kama hizi kwenye national Id project.
 
Hawawezi kuepuka.
Mpaka sasa habari za kiintelijensia zinaonyesha kuwa alqaeda wana-operate Tz.
Check hii hapa:
BBC News - Al-Qaeda around the world
 
kwa mtoa mada kumbuka google ni ya watu weupe i mean western sasa ukimwambia usichukue labda kinondoni kwenye ramani zako huoni yemwenyewe tayari ata hisi their is something hapo ndo mana wamwambia hivyo.so its better wapige kote without them knowing our important areas .after all ukiangalia picha za ggole earth za tz ni za 2000 they are not updated kila day na chek on that.haya ni maoni yangu tuuu jamani
 
Teknoliojia inakuwa na na kila mtu ana teknology nyumbani.

Kifo cha Osama na matukio ya hivi karibuni yamefanya nijiulize maswali kuhusu kama wataalam wetu na serikali yetu unajua risk na kuchukua hatu juu ya mambo kadhaa.

  • Google map na google earth inatoa fursa kupata picha za satelite una huduma pia ha google earth pro inayota rich detail . Zaidi ya fursa hii ni changamoto kwani satelite za google zinaweza kupata image za sehemu zetu nyeti.....
Binafsi nadhani nchi zilizoendela zina mkataba na google kuwa baadhi ya geolocation point google map haichukui data zote. Mfano vituo vya nyuklia ikulu na vituo vya kijeshi.

Kama hawana mikataba basi lazima kwenye sehemu zao nyeti kuna vifaa muhimu vya kuzua satelite kuchukua taarifa.

  • Je, Tanzania wameingia mkataba na google na kuwapa detail ni point gani katika latitude na longitude google map haitakiwi kuchukua detail zaidi? Au zikichukuliwa zisiwe published?

  • Je, zaidi ya fursa wataalam wamefanya risk analysis inayokuwa presented na ni teknolojia kama google earth na goglemap kwenye vituo nyeti?
Nawasilisha

Sisi tulie tu hawa wakubwa teknologia yao hasa ya kijeshi inatisha ,tumekwisha.uwezo wa kutrack with resolution 0.2 m wanao,GPS Guided smart bombs with accuracy of 13 m wanayo(mabomu yanajiongoza yenyewe hadi target kwa kutumia gps signals na co ordinates ya target)
Qoute/shakespeare(julius ceaser)/why man,he doth(read USA)bestride the narrow world like colossus and we petty men walk under his huge legs and peep about to find ourselves dishounarable graves.
 
Googlemap inaona popote inapotaka ndugu. Bahati mbaya pia ingawa hao google unawaona kama kampuni binafsi,setelite wanazotumia zote ni za na zinatawaliwa na Jeshi la Marekani. Binafsi kwa kutumia teknolojia hiyo nimeshaona kila sehemu ya hapa tz. Hata ukitaka kupaona kijiji walipozaliwa mababu zako na mti ambao huwa wanapumzika kivulini unaweza kuuona. Huwezi kuficha chochote. Cha muhimu kuwa raia mwema and don't mess around with technology!
 
Umenishtua sana na kunikumbusha jambo muhimu maana hata mimi nimekua mtumiaji mzuri sana wa Google earth na Map! kWA mfano, ukitaka kupata ramani ya mahali fulani unaouwezo wa kuizumu hio place kisha uka-print ukawa na hardcopy! je vp kuhusu vituo vyetu vya silaha? usalama wa taifa wapo kwa ajili ya kututafuta tuuu huku wakiacha mambo muhimu! Thanks nimependa Observation yako, hata ukicheki nguzo za umeme za Kijitonyama-ubungo kuna kipndi zilikuwepo kwenye google earth!!
 
kwa mtoa mada kumbuka google ni ya watu weupe i mean western sasa ukimwambia usichukue labda kinondoni kwenye ramani zako huoni yemwenyewe tayari ata hisi their is something hapo ndo mana wamwambia hivyo.so its better wapige kote without them knowing our important areas .after all ukiangalia picha za ggole earth za tz ni za 2000 they are not updated kila day na chek on that.haya ni maoni yangu tuuu jamani

Ok mm sio mtaalama lakini i was just curious kutaka kujua kama watendaji wetu wanajuateknolojia ya sasa inamuwezza kila mtu kuapata detail ya mambo mengi tofauti na miaka na nyuma.

NImenadika pale juu kuna meya wa jiji lla Rio de jenairo aliandika barua Google kulalamika sababu ramani ya jiji ilionyesha many details za uswazi na hikuonyesha many details za sehemu zinazopendeza.. Soma hapa http://www.bbc.co.uk/news/world-latin-america-13193503

Huyu ni meya wa rio de jenairo anayejua opportunities na threat za google earth........ U see waht I mean . Je sisi tunao watendaji wa aina ya meya kama huyu?

Not nessesarily iwe threat tu lakini zipo opportunities pia. But my assumption ni kuwa tumelala na tuko kisiasa zaidi.
 
Kuna vibao maeneo mengi vinavyosema usipige picha hapa. Lakini cha ajabu picha ya eneo hilo unaweza ipata vizuri tu kwenye googleearth,tena hata ukiitaka in 3D unaipata. Naungana na mtoa mada-Je viongozi wetu wanafahamu hayo na wanakabiliana nayo vipi kuyalinda au kuyatangaza maeneo yetu muhimu?
 
Google Earth ni Automatic as it is...hawa mabwana wameweza kuacess cehemu nyeti manual ilihali serikali ikiwa likizo...yes! Km wameweza kupenya Mwadui,Geita,Chunya,Mirerani na maeneo yote yenye rasilimali watashindwa vipi kugeuza nchi kichwa chini miguu juu!...tumeshachelewa!
 
Kweli hali ni mbaya kwa usalama wa nchi maskini, maana sasa tunaangalia mpaka parking ya magogoni
 
Teknoliojia inakuwa na na kila mtu ana teknology nyumbani.

Kifo cha Osama na matukio ya hivi karibuni yamefanya nijiulize maswali kuhusu kama wataalam wetu na serikali yetu unajua risk na kuchukua hatu juu ya mambo kadhaa.

  • Google map na google earth inatoa fursa kupata picha za satelite una huduma pia ha google earth pro inayota rich detail . Zaidi ya fursa hii ni changamoto kwani satelite za google zinaweza kupata image za sehemu zetu nyeti.....
Binafsi nadhani nchi zilizoendela zina mkataba na google kuwa baadhi ya geolocation point google map haichukui data zote. Mfano vituo vya nyuklia ikulu na vituo vya kijeshi.

Kama hawana mikataba basi lazima kwenye sehemu zao nyeti kuna vifaa muhimu vya kuzua satelite kuchukua taarifa.

  • Je, Tanzania wameingia mkataba na google na kuwapa detail ni point gani katika latitude na longitude google map haitakiwi kuchukua detail zaidi? Au zikichukuliwa zisiwe published?

  • Je, zaidi ya fursa wataalam wamefanya risk analysis inayokuwa presented na ni teknolojia kama google earth na goglemap kwenye vituo nyeti?
Nawasilisha

Kweli hii kitu ni mbaya sana mkuu. Leo nimeangalia mpaka nyumbani live. Hadi nyumba iliyojengwa juzi inaonekana.
 
Back
Top Bottom