Bora umpe mifano rahisi ataelewa, maana huyu nonda-mpemba anaejifanya mtanganyika huwa simuelewi ktk post zake, naona kama mpayukaji anayeongozwa na hisia akidhani hapa ni mzalendo.com-Jukwa la kashfa na matusi dhidi ya watanganyika.
Mipangomingi at Work!
Mkuu.
Unapokuwa umeishiwa na hoja si lazima uchangie mada.
Naona unataka kuni-brand mimi badala ya kujibu hoja au kutoa hoja.
Ni vyema uende kwenye bunge la Makinda, huko ndio wana style ya mipasho.
Pale ambapo hunielewi katika michango yangu ni vizuri ukanitaka nitoe maelezo au ufafanuzi. Si lazima kuwa tukubaliane katika yale tunayojadiliana. And it is nothing personal.
Mimi sio mtu wa zidumu fikra za mwenyekiti, si mwanachama wa chama cha siasa, wala sina sifa unazotaka kunipachika.
Ninachangia mawazo yangu vile ninaona mambo na uelewa wangu ni wa shule za kata. Kama huelewi ninachochangia basi mkuu, nichukulie tu. Watu tunatofautiana uelewa, ufahamu.
Ushauri kwako mkuu, acha ku-brand watu, shughulika na hoja zao.
Pale ninaposema uongo. Call me out!
Ninapokosea , nisahihishe, hakuna anaejua kila kitu we learn along the way!
Ninapoleta hoja dhaifu, ipinge kwa hoja makini. Again, nothing personal!
Take it easy, Mipangomingi and lets engage in meaningful discussions and avoid taking things out of context but more important restrain from name calling, branding and rebranding!
Put a smile on your face .and my greetings to you.
Cheers!