Tanzania ina watu milioni 43, Zanzibar hawazidi milioni 5 kwa nini tugawane kwa kulingana?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,185
307
Mojawapo ya mambo yaliyonichefua kwenye muswada wa katiba ni pamoja na Part III hasa section 5 na 6. S.6 inasema kuwa wajumbe wa tume watatoka pande zote za muungano kwa idadi sawa (yaani kama wajumbe ni kumi basi Zanzibar watoke 5 na Bara watoke 5), ukienda mbele zaidi unaona kuwa maamuzi ya watu wa Bara yanaamuliwa na Wazanzibari.
Bunge letu lina wabunge takribani 360, kati ya hao zaidi ya 75 wanatoka Zanzibar (kama asilimia 20 hivi) sasa hili suala la katiba kwa nini tusitumie uwiano wa wabunge au hata uwiano wa watu, je kwa nini serikali yetu inabembeleza sana huu muungano?

Nadhani inabidi hii ipingwe kwa nguvu zote na wabunge wa bara maana huku si kuimarisha muungano bali kuendekeza upendeleo ambao nisingependa kuutaja hapa
 
Hao watu wa Zanzibar wamefikafikaje milioni tano ? Ninachojua mara ya mwisho walikuwa hawafikii hata theluthi ya hapo !
 
hapo mkuu naona umegusa chanzo kikubwa cha matatizo ya siasa za Tanzania. Tunalazimisha sana muungano na Zanzibar (sijui sababu za kihistoria, siasa nk nk nk) lakini ni kweli hizi sababu hazipo kwa nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia, Malawi na Mozambique!!??? ...au hata Comoro, Seychelles, Madagascar, Reunion? HUU MFUMO WA SASA UNATUKWAMISHIA KATIKA MAENDELEO YA KUFIKIRI. Tumeona mfano Hamad Rashid na CUF walivyo divert mjadala wa ufisadi mpaka udini wakati hili lilikuwa ni tatizo la msingi.
 
Inashangaza sana kuona jinsi serikali ya Muungano inavyoipendelea Zanzibar.. umeme hawana mgao na bado hawalipi ankara, nafasi za kazi kwenye serikali ya muungano kwa masuala ya muungano tuko pasu pasu, wao wanaweza kununua ardhi bara lakini wa bara hawezi kununua ardhi Zanzibar, wa bara hawezi kupiga kura Zanzibar (si raia) lakini wa Zanzibar kupiga kura Tanzania sawa kabisa.... na bado tume muhimu kama hizi za msitakabali wa nchi yetu tumewapa upendeleo usiokuwa wa kawaida
 
nilikuwa nasubiri hii post kwa hamu kweli. haya ndo madhara ya watu kucopy na kupaste hii sehemu nimejaribu kuisoma kwa makini inajichanganya wajumeb hawatakiwi wawe zaidi ya 30 then wanatakiwa watoke sawa bara na visiwani na pia kuwepo na mgawanyiko sawa kulingana na maeneo ya kijiographia hapa ndo shida inatokea pia.
 
acheni kutumia tumbo katika kufikiri, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni zalio la Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika. na zilipoungana nchi hizi mbili zilikuwa huru na kama nchi hatuangalii idadi ya watu katika kuungana

na katiba ya mwanzo ya mwaka 77 pia iliundwa kwa idadi sawa ambayo kamati yake iliongozwa na Marehemu Thabit Kombo(kama sijakosoa kuhusu Mwenyekiti au katibu) mbona huko hakujapigiwa kelele iweje leo kurejea tu mfumo ambao tumetumia iwe zogo?

mnataka kusema kwa vile Tanganyika kubwa mara nyingi kuliko Rwanda au Burundi, kwenye EAC watanganyika wapewe wajumbe zaidi au wataporeview katiba ya EAC watanganyika wawe na wawakilishi wengi kwa kuwa wao wana eneo kubwa na wana watu wengi?

jamani tuacheni kupenda dhuluma na kufikiri zanzibar ni kama Mbagala ati kwa kuwa wana eneo dogo na watu kidogo (maana watu ingekuwa ni hoja UN wangewapa CHINA viti zaidi ya kimoja)
 
Ishu siyo ukubwa wa eneo la nchi, tatizo hapa ni vipaumbele walivyonavyo wazanzibar ukilinganisha na tulivyonavyo watanganyika....hapa watanganyika tunaonewa na hatutambuliki and tanzania is not one country, it's two nations asee tanganyika na zanzibar ambapo watanganyika wamesahauliwa.
 
Si vema kuwaambia wachangia hoja kuwa wanatumia "tumbo kufikiri", hayo ni matusi kabisa na sidhani kama ni utu na inaonyesha wewe hujalelewa na values nzuri...sidhani kama kujibu hoja mpaka utukane, kwani ukitumia lugha proper hutasikilizwa? The fact that you start with insults doesn't show you use your head...and you are shaming yourself. Plus this issue is a very critical issue, huwezi kulinganisha na UN wala EAC...We are talking about justice within the union...in the use of our resources. Equitable distribution of governance and resources. How can you ignore such carnal issues? My friend, next time be civil...
 
Ishu siyo ukubwa wa eneo la nchi, tatizo hapa ni vipaumbele walivyonavyo wazanzibar ukilinganisha na tulivyonavyo watanganyika....hapa watanganyika tunaonewa na hatutambuliki and tanzania is not one country, it's two nations asee tanganyika na zanzibar ambapo watanganyika wamesahauliwa.

watanganyika wamejisahau wenyewe, maana wao ndio mainjinia wa muungano, na wao wenyewe kwa ujanja wao wakajisahau kistrategic kwa hio sio kweli wamejisahau, ila walitaka wafanye hivyo mtakavyo nyny muwe wengi kwa madai mna vipao mbele vingi na sisi tukubali kisha mtugeuze wageni kwenye nyumba tulioijenga kwa pamoja.

suluhisho ni serikali tatu, wazanzibar kama walivyofanya na serikali yao wamekaa na kupitia katiba yao na vipaumbele vyao peke yao na kwa muundo huo wamepata picha ya kujua kwenye katiba ya muuungano lipi na lipi libakie kwenye katiba ya muungano na lipi lirudi kwao, kama watanganyika wangekuwa ni watu wa haki wangekuwa na tanganyika yao, wakakaaa peke yao wakaangalia vipao mbele vyao na wakajua tunaenda kwenye katiba ya muungano ni lipi la muhimu kubakia kwenye katiba ya Jamhuri na lipi Libaki tanganyika

ila suluhisho waTanganyika ni wajanja na ujanja mwingi mwisho kiza
 
acheni kutumia tumbo katika kufikiri, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni zalio la Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika. na zilipoungana nchi hizi mbili zilikuwa huru na kama nchi hatuangalii idadi ya watu katika kuungana

na katiba ya mwanzo ya mwaka 77 pia iliundwa kwa idadi sawa ambayo kamati yake iliongozwa na Marehemu Thabit Kombo(kama sijakosoa kuhusu Mwenyekiti au katibu) mbona huko hakujapigiwa kelele iweje leo kurejea tu mfumo ambao tumetumia iwe zogo?

mnataka kusema kwa vile Tanganyika kubwa mara nyingi kuliko Rwanda au Burundi, kwenye EAC watanganyika wapewe wajumbe zaidi au wataporeview katiba ya EAC watanganyika wawe na wawakilishi wengi kwa kuwa wao wana eneo kubwa na wana watu wengi?

jamani tuacheni kupenda dhuluma na kufikiri zanzibar ni kama Mbagala ati kwa kuwa wana eneo dogo na watu kidogo (maana watu ingekuwa ni hoja UN wangewapa CHINA viti zaidi ya kimoja)

Kama ni kufikiri kwa tumbo basi Zenj ndo walianza kulia lia sana na masuala ya kutofaidika kimaslahi na muungano.
Kimsingi CUF na CCM Zenj umoja walionao ni jinsi ya kufaidika katika muungano katika shamba la bibi, Tanzania bara.
Ni wazi kuwa tuna wabeba sana hawa jamaa ambao kimsingi ni wavivu wa kupindukia.
Halafu mbona wanalilia sana nafasi za ajira huko bara wakati huko Zenj hawataki watu wa bara.
Wana msingi wa changu changu, chako chetu.
Tushauchoka muungano wa kunyonyana huu.
 
acheni kutumia tumbo katika kufikiri, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni zalio la Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika. na zilipoungana nchi hizi mbili zilikuwa huru na kama nchi hatuangalii idadi ya watu katika kuungana

na katiba ya mwanzo ya mwaka 77 pia iliundwa kwa idadi sawa ambayo kamati yake iliongozwa na Marehemu Thabit Kombo(kama sijakosoa kuhusu Mwenyekiti au katibu) mbona huko hakujapigiwa kelele iweje leo kurejea tu mfumo ambao tumetumia iwe zogo?

mnataka kusema kwa vile Tanganyika kubwa mara nyingi kuliko Rwanda au Burundi, kwenye EAC watanganyika wapewe wajumbe zaidi au wataporeview katiba ya EAC watanganyika wawe na wawakilishi wengi kwa kuwa wao wana eneo kubwa na wana watu wengi?

jamani tuacheni kupenda dhuluma na kufikiri zanzibar ni kama Mbagala ati kwa kuwa wana eneo dogo na watu kidogo (maana watu ingekuwa ni hoja UN wangewapa CHINA viti zaidi ya kimoja)
hapa ndipo tunasema kuna tatizo, ukweli uko wazi kuwa hao wakaazi 900,000 (sijui 1m....) zaidi ya nusu yao wako/wanaishi bara lakini it does not work the same kwa wabara (nisiseme Watanganyika kuchochea!) na hicho unachosema basi bara pia iwe na wajumbe katika bunge la WAWAKILISHI kuyapa nguvu madai yako! Ukisema mazao ya katiba ya 77 ndio huo utata wenyewe na kuendelee nayo inamaanisha kuendelea kupiga hatua nyuma badala ya mbele! just be considerate in your arguments
 
Kama si kufikiri kwa tumbo basi Zenj ndo walianza kulia lia sana na masuala ya muungano.
Ni azi kuwa tuna wabeba sana hawa jamaa ambao kimsingi ni wavivu wa kupindukia.Halafu mbona wanalilia nafasi za ajira huko bara wakati huko Zenj hawataki watu wa bara.
Wana msingi wa chanu changu, chako chetu.
Tushauchoka muungano wa kunyonyana huu.

kama mmechoka amueni basi nn kifate, si kulalamika tu. wavivu wazanzibar halafu wanaomba kazi na mnawapa, sasa logic inaonyesha ni watendaji wazuri na ndio mkawaajiri. kuhusu kuwa wazanzibar wa changu ni changu hili halina ukweli, wazanzibari wamevumilia mengi, wameporwa vyao vingi na wakavumilia

kwenye rasili mali kama madini watanganyika wanasema za muungano baada kusikia fununu za zanzibar kuwa kuna mafuta, wakati miaka yote dhahabu, almasi na nyengine ndugu zetu wakila peke yao, nani changu changu ? Michezo si jambo la muungano watanganyika wanajiwakilisha ktk mambo kimataifa kwa mwamvuli wa Muungano na wazanzibar wametulia kimya.

kwenye mambo ya kimataifa kwa muda mrefu watanganyika waniwakilisha jamhuri ya muungano kwa wingi kuliko hata wazanzibar na wako kimya wakisema tu wataonekana wabaya.

kiamzoea muungano huu mmoja ana haki zaidi juu ya mwengine na huyu muonewa akisema anaonekana mbaya.
 
Usiwe na wasi wasi mkuu, kwamba tumeshawachoka hilo ni dhahiri, sasa hivi ni wakati wa kuhamasishana ili wabara wafahamu kinaga ubaga jinsi tunavyochukuliwa kama mazezeta.
Muda ukifika mtu hafukuzwi , ataondoka mwenyewe kurudi kwao.
 
Tunaibiwa! Muungano kama maana yake ni kumnufaisha mmoja zaidi kuliko mwingine basi bora ufe. Kwani tutapoteza nini???
 
Mojawapo ya mambo yaliyonichefua kwenye muswada wa katiba ni pamoja na Part III hasa section 5 na 6. S.6 inasema kuwa wajumbe wa tume watatoka pande zote za muungano kwa idadi sawa (yaani kama wajumbe ni kumi basi Zanzibar watoke 5 na Bara watoke 5), ukienda mbele zaidi unaona kuwa maamuzi ya watu wa Bara yanaamuliwa na Wazanzibari.
Bunge letu lina wabunge takribani 360, kati ya hao zaidi ya 75 wanatoka Zanzibar (kama asilimia 20 hivi) sasa hili suala la katiba kwa nini tusitumie uwiano wa wabunge au hata uwiano wa watu, je kwa nini serikali yetu inabembeleza sana huu muungano?

Nadhani inabidi hii ipingwe kwa nguvu zote na wabunge wa bara maana huku si kuimarisha muungano bali kuendekeza upendeleo ambao nisingependa kuutaja hapa

Mkuu,
Sisi tunakuwa ni watu wa ajabu katika ufahamu. Muungano ni kitu gani?
Tembelea hapa pengine utapanua ufahamu wa vipi vyombo vya pamoja vinavyoundwa na vinavyofanya kazi zake.
Composition of the Assembly

The membership of EALA currently stands at 52, with nine Elected Members from each of the five EAC Partner States and seven Ex-officio Members. Members are indirectly elected, being voted into their positions by their respective National Assemblies, though not from the ranks of those Assemblies. The Treaty for the Establishment of the East African Community requires that the Members should represent the diversity of views present in their own National Assemblies, and also that their selection meets certain criteria for gender balance.

Tuache porojo! Tufanye uadilifu.
 
Usiwe na wasi wasi mkuu, kwamba tumeshawachoka hilo ni dhahiri, sasa hivi ni wakati wa kuhamasishana ili wabara wafahamu kinaga ubaga jinsi tunavyochukuliwa kama mazezeta.
Muda ukifika mtu hafukuzwi , ataondoka mwenyewe kurudi kwao.
Mkuu.
Mimi napinga matumizi ya jina hilo.
Tutumie watanganyika. Kweli tumechakachuliwa kama mazezeta kiasi ambacho tunaogopa kutumia Tanganyika na watanganyika. Nani katuchakachua?

Kwani nani waliungana? sio watanganyika na wazanzibari? Tanganyika na Zanzibar?
Sasa hili Tanzania bara au wabara limetoka wapi?
Kwa nini tunakubali kuchakachuliwa? Au ndio tumekuwa mazezeta?

Mkuu Lole nitaangalia michango yako, ukishindwa kutumia Tanganyika na Watanganyika nitajua kuwa "uzezeta" umeukubali.
Tuelimishe Watanganyika wenzetu wajielewe.
 
hapa ndipo tunasema kuna tatizo, ukweli uko wazi kuwa hao wakaazi 900,000 (sijui 1m....) zaidi ya nusu yao wako/wanaishi bara lakini it does not work the same kwa wabara (nisiseme Watanganyika kuchochea!) na hicho unachosema basi bara pia iwe na wajumbe katika bunge la WAWAKILISHI kuyapa nguvu madai yako! Ukisema mazao ya katiba ya 77 ndio huo utata wenyewe na kuendelee nayo inamaanisha kuendelea kupiga hatua nyuma badala ya mbele! just be considerate in your arguments
Likindo.
Tunachohitaji ni bunge la Tanganyika.
Muungano uwe na bunge dogo tu..EAC model.
Na wazenj waendelee na baraza lao la wawakilishi.
Kama tunataka uadilifu, haki na usawa hii issue ya Muungano wala si issue ya kutuumiza vichwa.. Lakini CCM na "Viongozi" wetu wa Tanganyika ndio wanatengeneza madudu haya ya Muungano. Mwisho wake watatuletea janga la vifo au vita. Kejeli na matusi tayari, chuki inajengeka...bado nini? vita na vifo.
 
Usiwe na wasi wasi mkuu, kwamba tumeshawachoka hilo ni dhahiri, sasa hivi ni wakati wa kuhamasishana ili wabara wafahamu kinaga ubaga jinsi tunavyochukuliwa kama mazezeta.
Muda ukifika mtu hafukuzwi , ataondoka mwenyewe kurudi kwao.

Hapo kwenye Red nakuomba usahihishe, sisi ni Watanganyika. na ni laana kuliuwa jina la lanchi aliyowapa mungu. mbona wao hawakuliuwa jina la nchi yao? Haya ndio madhara ya kutumia makalio kufikiri badala ya ubongo, jionee mwenyewe.

View attachment 26551
 
Mkuu.
Mimi napinga matumizi ya jina hilo.
Tutumie watanganyika. Kweli tumechakachuliwa kama mazezeta kiasi ambacho tunaogopa kutumia Tanganyika na watanganyika. Nani katuchakachua?

Kwani nani waliungana? sio watanganyika na wazanzibari? Tanganyika na Zanzibar?
Sasa hili Tanzania bara au wabara limetoka wapi?
Kwa nini tunakubali kuchakachuliwa? Au ndio tumekuwa mazezeta?

Mkuu Lole nitaangalia michango yako, ukishindwa kutumia Tanganyika na Watanganyika nitajua kuwa "uzezeta" umeukubali.
Tuelimishe Watanganyika wenzetu wajielewe.
Astakafirulahi!!!
Nakubaliana mkuu!!
Kimsingi hapendwi Mzenji hapa na longo longo ya muungano wa kuwabeba.
 
Zanzibar ina watu milioni moja na nusu sio milioni 5 acha uongo bwana mdogo unashusha uzito wa taarifa yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom