Tanzania Ina Nini cha Kujivunia?

siku utakayotoka nje ya mipaka ya Tanzania ndio utangundua ni privallage kuzaliwa mtanzania. Hayo mambo yote uliyoyataja ni siasa! Kuna nchi dunia hii hawana hata hiyo serikali corrupt, akiugua hata hiyo hospital isyo na uhakika haiko kweye ramani ya nchi yao! watu wanabaguliwa kwa makabila yao! We celebrate a tremendous harmony and tranquility. With indigency we prosper, we work, we build houses and we drive! Yes!!!!! there is corruption! our education system is in shambles! Yes we dont have reliable electricity..............these are material things i believe they will come to pass!
By the way wewe ni nani unayewalaumu wataalamu kuwa hawajagundua kitu! Wewe kwa mwaka mzima ulifanya nini! Maana being proud of your country starts with an individual! You are not ashemed of Tanzania, you are ashemed of yourself!
Acha kujipendekeza chapa kazi make your country proud!!!!!!!!!!!!!
 
"Be Proactive controlling a situation by causing something to happen rather than waiting to respond to it after it happens"
 
Back
Top Bottom