Tanzania imetumia zaidi ya bil 5 kununua mitambo ya kuingilia matangazo ya tv, radio na simu

Huu ni uongo hakuna kitu kama hicho kwa tv zipi zinazoweza kuleta madhara tv na redio zenyewe zinashika dar salaam tu zipo kiduchu ni upuuzi kutunga huu uongo wakitangaza tu ujinga deffender za polisi zinatosha kuwatuliza kwenye simu ndo daaah siku nyiingi mitambo ipooo zinadakwa na hakuna mjanja anayetumia simu kupiga hizo dili

Boss,mikoani inatumika satellite dish,receiver. Kwa sh laki 3 hivi. na mikoani watu wameamka sana wanajua kuchuja pumba vile vile,mradi uwape nafasi ya kufanya hivyo. Ndicho kilichomhukumu Tido Mhando. Usisome thread na kutoa maoni yako. Wakati mwingine soma ya wenzako ujue pa kuanZIA!
 
Wakuu naendelea na zoezi la ukusanyaji wa data za mambo huu na muda si mrefu nitarusha picha zake na mafundi wa kichina wanaoufunga
 
Huo mtambo una uwezo wa kufuta maandishi ya magazeti yaliyokwishachapishwa? Wakizima mitambo ya radio na tv magazeti yataandika.
 
Kwa jambo hili kwanza tumechelewa sana kufunga hii mitambo.. Nchi makini lazima inakuwa na hii kwa ajili ya kuregulate mitambo yote iliyoko nchini kwake.....

Kwa HIli JK hongera sana..........
 
Nadhani hiyo mitambo imeshaanza kazi. Nimepita Arusha, Mara na Mwanza wiki hii ni TBC na channel za burudani tu ndio zinaonekana. Nadhani hii nchi inarudi kwenye zile zama giza tena.
Watchout!
 
Kwa jambo hili kwanza tumechelewa sana kufunga hii mitambo.. Nchi makini lazima inakuwa na hii kwa ajili ya kuregulate mitambo yote iliyoko nchini kwake.....

Kwa HIli JK hongera sana..........
mkuu nchi zipi zilizo makin zinazotumia huo mtambo. China, Urusi na Venezuella?
 
Huo mtambo una uwezo wa kufuta maandishi ya magazeti yaliyokwishachapishwa? Wakizima mitambo ya radio na tv magazeti yataandika.

watanzania wachache sana ndio wanauwezo wa kupata magazeti, vijijini wengi ni tv na radio tu , magazeti ni ngumu kufika
 
Boss,mikoani inatumika satellite dish,receiver. Kwa sh laki 3 hivi. na mikoani watu wameamka sana wanajua kuchuja pumba vile vile,mradi uwape nafasi ya kufanya hivyo. Ndicho kilichomhukumu Tido Mhando. Usisome thread na kutoa maoni yako. Wakati mwingine soma ya wenzako ujue pa kuanZIA!

We kiazi kweli eti wanafunga kwa laki 3 wapi huko umepita ukaona kila nyumba ina dish acha kutukana watu wana shida na matatizo lukuki ni wangapi wameweza nunua dish then asilimia kubwa ya maeneo ya mikoani hawana umeme hayo madish wewe ndo umewafungia saa nyingine utumie akili na si makalio yako kufikiri nyambafffff!!!!
 
Walisema hata tukila majani watanunua ndege mbovu ya Rais...........sembese hili?
Nawatakia Maandalizi ya sherehe ya 50 years of dependence
 
mkuu nchi zipi zilizo makin zinazotumia huo mtambo. China, Urusi na Venezuella?

National security agency(NSA) ya america inanasa na kumonitor any call madein amerika na wana capacity ya kutrace any call made arround the world na kutake measure kama usalama wa usa unatishiwa.
Kuhusu mitambo ya electronic jamming kila jeshi makini dunian linavo.just do your homework and search
 
Hiii kitu kwa kweli ni nzuri lkn kwa nch kama ya tz haina haja sanaaa.2ngekamilisha mambo ya msingi kwanza hawaon kama life litaendelea hv hiyo mitambo itakuwa kama toy.
Hivyo vi2 wanavyotaka kuvizuia vinaweza vikawa havifanyi kaz kabisaaa.Kama nch huwa inafika time kuna mikoa wiki nzima umeme hamna huo mtambo utafanya kaz gan sasa wakati automatic wa2 watakuwa hawa angalii tv,sikiliz radio,piga cm??

Haya yoote ni maandalizi ya uchaguzi 2015.Wamesoma alama za nyakati, wapinzan wamekaba kila kona wameamua kuonyesha udikteta wao sasa.

Hiyo mitambo haina faida yoyote kwa wananch wa tz zaidi ya walanch wachache wa magamba.

Na huo ndiyo unawezekana ndiyo ukawa mpigo(ufisadi) wa mwisho mwisho wa jk.

Kunawa2 nawaona humu wanatetea lkn baada ya mda itakapo kuja julikana kuwa hii mitambo inaufisadi ndan yake ndiyo 2tajifanya 2nastuka na kuanza kulaan.

MKAPA ===>rada

JK===> (r.mond na ........)
ukiwa kingoz tz raha kwel unafanya utakalo na hakuna wakuku uliza.
 
mtambo huo unauwezo wa kung'amua IP address na simu kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya Jamii.
 
Katika nchi masikini kama tanzania taifa letu limenunua mitambo ya kuingilia matangazo ya radio,television na simu na pia yenye uwezo wa kukata matangazo yake wakati wowote pale wanapoona hayana maslahi na watawala na taifa .

Mitambo hiyo iliyowasili hivi karibuni inatarajiwa kufungwa katika kikosi cha anga cha jeshi la ulinzi (JWTZ) kilichopo karibu na uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere . nadhani mtambo huu ukikamilika kufungwa utakuwa ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa habari na mawasiliano katika taifa letu

Moja ya vionjo vilivyomo katika waraka wa wazi kwa jk?au ni official doc?
 
Back
Top Bottom