TANZANIA IMEKWISHA ''SPIKA ndio huyo, Waziri Mkuu ndio Huyo, Mahakama ndio hiyo, Rais nae je?''

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Watanzania Tunahitaji Kufanya MAOMBI makubwa sana Kumwomba MUNGU Aikomboe Nchi yetu, kwa kweli naona Tanzania Imekwisha.

Nikitazama Bunge natamani kulia, Nikiangalia Mahakama Siasa zimezidi katika maamuzi e.g. Mfano unaambiwa Ushahidi Takukuru Hakuna so Fisadi yuko Huru, Mh. Raisi wetu naye kufanya maamuzi magumu anashindwa, sielewi labda haoni matatizo ya Nchi au hayajui kabisa... yaani Tanzania Imekwisha.
 
Tatizo ni mfumo dume na katiba iliyo mbovu...2jarbu kuwapa elimu ya kuchangia au kutoa maoni katka uundwaji wa katiba mpya labda itasaidia!
 
Tupe ushauri tufenyeje ?
Tuhamie Kenya, Somalia, Sudan. Libya au ?
Au tubaki hapahapa palipokwisha ?
 
Tupe ushauri tufenyeje ?Tuhamie Kenya, Somalia, Sudan. Libya au ?Au tubaki hapahapa palipokwisha ?
Mie nadhani tuhamie sudan kusini coz ndo wanaanza... itakuwa vyema ukianza nao upya kujenga nchi..... TZ wehumtupu!!!
 
Nilipokuambia wakati ule (2010) tumia kura yako vizuri, uliniona ****. Sasa yamekufika, unakuja hapa kutulilia. Jifunze saa, Siku nyingine usiwe una dharau wakubwa zako.
 
Tanzania haijakwisha, tupo wazalendo tutaikomboa nchi yetu, kama wewe umekata tamaa hama nchi.
 
UKILITHIBITI genge la mkweree basi nchi itakombolewa!! Hili linawezekana wananchi wakiamua hata kesho!!
 
Watanzania Tunahitaji Kufanya MAOMBI makubwa sana Kumwomba MUNGU Aikomboe Nchi yetu, kwa kweli naona Tanzania Imekwisha.

Nikitazama Bunge natamani kulia, Nikiangalia Mahakama Siasa zimezidi katika maamuzi e.g. Mfano unaambiwa Ushahidi Takukuru Hakuna so Fisadi yuko Huru, Mh. Raisi wetu naye kufanya maamuzi magumu anashindwa, sielewi labda haoni matatizo ya Nchi au hayajui kabisa... yaani Tanzania Imekwisha.

Tunaombea Wezi, wanaofumaniwa na wake za watu wenye mapepo. Hayo mengine ni uamuzi wetu tu
 
Tupe ushauri tufenyeje ?
Tuhamie Kenya, Somalia, Sudan. Libya au ?
Au tubaki hapahapa palipokwisha ?

Da wewe unaonaje?, hakuna haja ya kuhama Utajiri wote huu wa Maliasili na Mazingira MUNGU Aliyotuumbia na Kutupa Tumwachie nani?
 
Tatizo ni "udhaifu" wa katiba uliozaa: urais, bunge, mahakama dhaifu.
Kwa haya hakuna maombi yanayohitajika, ni akili tuliyojaliwa na mwenyezi Mungu kutatua matatizo haya.
 
Back
Top Bottom