Tanzania iliingiaje UN?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Tanzania iliingiaje kwenye shirikisho la umoja wa taifa,je ulikuwa ni uamuzi wa nyerere au ni uamuzi wa serikali ulioridhiwa na bunge?
 
Maamuzi yoyote yaliyotolewa wakati wa Nyerere yalikuwa ni yake peke yake, siku hizo ilikuwa hakuna demokrasia wala alikuwa hashauriki mpaka akawahi kupewa jina "Haambiliki".

Tanzania sijui, najuwa kuwa Tanganyika ilikuwa chini ya Umoja wa Mataifa mpaka tunapopewa madaraka.
 
faiza foxy kuwa muwazi,ina maana watanzania(au watanganyika) tuliingizwa UN bila ridhaa yetu?hii ina maana gani kisheria?
 
marekani hakuingia UN hivihivi sanate iliridhia,je sisi ilikuaje?kama tulifanya makosa tueleze hapa ili tujifunze.
 
kwa nini JK asituingize OIC kiaina kama tulivyoingia UN?
 
marekani hakuingia UN hivihivi sanate iliridhia,je sisi ilikuaje?kama tulifanya makosa tueleze hapa ili tujifunze.
Katiba za nchi nyingi duniani zinampa nguvu rais, either personally au through his ministers and other Executive appointees kuingia mikataba ya kimataifa bila kuhusisha bunge.

Siyo lazima kila kitu kihusishe bunge, that's just too bureacratic sometimes, na wabunge wenyewe vilaza kama hawa wa viti maalum humu mitandaoni wanatia kinyaa, bora hata wasihusishwe.
 
katiba yetu ilimpa nyerere uwezo huo wa kujiingiza UN bila kushirikisha bunge?
 
bado sijapata jibu la kuridhisha.great thinkers mko wapi?
 
Kwa njia yoyote kuingia UN ilikua ni kitu muhimu no matter how that happens. Inawezekana hakukua na utaratibu huo wa bunge kwa Tanzania wakati huo au kama ulikuwepo basi inawezekana kwa sababu ya mfumo wa chama kimoja ilikua sio rahisi kua na upinzani wa nguvu.

Kwa hali yoyote UN ndio tumeshaingia kama tunaona ilikua ni makosa basi la muhimu kwa sasa ni kujadili vipi tutatoka.
 
kwa mfumo huohuo wa chama kimoja je bunge lishirikishwa au yalikuwa ni maamuzi ya mtu mmoja?tunapoel
 
faiza foxy kuwa muwazi,ina maana watanzania(au watanganyika) tuliingizwa UN bila ridhaa yetu?hii ina maana gani kisheria?

Jingalao, hizi sheria ni sasa ndio kwanza tunaona zinaanza kufatwa, enzi za Nyerere kuna mtu anathubutu kuuliza? Usinchekeshe. Azimio La Arusha alimshauri nani? Muunganina Zanzibar alimshauri nani? Vijiji vya ujamaa alimshauri nani? kuwa na ubalozi wa Vatikan alimshauri nani? kutaifisha wengine akawalipa wengine asiwalipe alimshauri nani? Jamni mbona tunataka kuleta malumbano ya vitu ambavyo viko wazi kabisa.
 
kwa mfumo huohuo wa chama kimoja je bunge lishirikishwa au yalikuwa ni maamuzi ya mtu mmoja?tunapoel
Bunge halikushirikiswa....
Au mkuu kuna jibu unalotaka ujibiwe ili u confirm wazo fulani?
Nani aliyesema lazima kila maamuzi ya serikali yapitishwe na bunge?
 
hivi OIC na EAC hazikujadiliwa bungeni?
 
Back
Top Bottom