Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,211
- 1,360
ardhi kumetokea nini??? Nimekosa newz leo jamani, nipo safarini, na hicho ni chuo changu cha zamani, nakuombeni mnijuze
wengine hatukuona hayo tujuzeKwa nilivyoona kwenye news usiku huu, ya chuo cha aridhi na huko songea na majibu ya Chiligati. CCM its over and over.
Kwa nilivyoona kwenye news usiku huu, ya chuo cha aridhi na huko songea na majibu ya Chiligati. CCM its over and over.
wengine hatukuona hayo tujuze
Tujulishe mkubwa kimetokea nini huko ardhi?
Tujulishe mkubwa kimetokea nini huko ardhi?
Kikwete atafika 2015, na padri kamwe hatotuongoza sisi watanzania.
dada yangu nancy, upeo wako wa kufikiri ni finyu sana, ama kama sivyo uniambie ulikua unatania kwa kuandika maneno kama haya hapa.