coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 2,919
- 1,968
haitawezekana kwa sababu hizi
-watanzania wengi ni mafisi[waoga]wa kutupwa
-wengi wetu ni waoga wa virungu na bunduki
-wengi tuna UMIMI ,utasikia[nikaandamane badala ya kutafuta fedha familia yangu ile au niumie mimi wale kuku wengine, mashuleni na vyuoni wengi huandamana kw kulazimishwa hasa kuchelea kipondo.]
-hatuna umoja kwenye maswala yahusuyo utaifa[ tumebaki kuwa wazungumzaji wazuri sana]
-intelijensia unit [usalama wa taifa] wametapakaa kila kona,yawezekana akawa mkeo au ndugu wa karibu,watu wa dizaini hii shule za boarding tuliwaita MAYUDA.
-hatuwazi ya kesho tukifanikiwa kupata leo.
-samahani kwa hii sentensi,ILA WENGI WETU NI KAMA WATOTO WA KIKE,TUKIPEWA AHADI NZURI ZA UONGO TWARIDHIKA NA KULALA PONO.
-Wamesha tugawa kwenye makundi ya umaskini, ukwasi na udini.kwa hiyo kuungana pamoja kama tunisia inakuwa ngumu kwani maskini yupo juani kila siku kutafuta mkate wake wa kila siku,mkwasi anaogopa maandamano kulinda mali zake na wadini kila siku kulumbana
LABDA VYAMA VYA UPINZANI VIANZE KAZI YA KUONDOA HAYO MATABAKA KWA KUPANDIKIZA MBEGU YA URAIA NA MAPINDUZI MTAA KWA MTAA
hapo mkubwa umenena