Tanzania: Huge Gas Deposits Found

Hii iwe ni changamoto kwa wahandisi wetu, has mechanical engeners, kubuni mitambo inayotumia gas ili kurahisisha na kusaidia kubadilisha kilimo vijijini. Wakulima wahamasishwe kuondoka kwenye kilimo cha jembe la mkono na badaya yake watumie mashine.
 
wazanzibar mtatukoma na mafuta yenu ya kujipaka kwenye kikombe!

Ha ha haaaa!!! te te te Mkuu umenivunja mbavu, hayo mafuta ya zanzibar ni seif sherrif hamad peke yake anayejua yalipo!!!!! Anyway ni strategy nzuri ya kuwafanya waendelee kufaidi raslimali za tanganyika
 
Kuna shamba la eka 100 si mbali sana na kisiju mjini, kila eka mwaka juzi ilikuwa 50,000 sasa hivi wanataka kila eka 500,000 na ukichelewa vitafika millioni. Na hapo si mbali na refinery mpya, sema hao watu wa refinery wanapataka sana hapo. Nenda tu wahi, usingoje kutafutiwa.

Sema zikianza harakati za uchimbaji, inabidi upawachie, sasa ikiwa serikali itawacha haya makampuni yapatane na wenye mashamba itakuwa swafi sana, ila wakiingilia na "compensation" zao za Kiserikali, sana sana utarudisha gharama na utapewa sehemu nyingine, ambayo si mbaya pia bado utakuwa umefaidika.

Yule mwarabu aliyekuja kwa gear ya kununua kisiju/mpafu mpaka maeneo ya boza kusini ni tapeli sana.Kawadanganya Waswahili kwamba anataka kujenga sijui nini pale Kisiju,kumbe hakuna kitu mpaka jioni hii.

Haya kuna mwingine kasema anataka kujenga chuo kikubwa sana pale mkuranga (w) njia hiyo hiyo ya kwenda Kisiju,miaka inakatika. Wanatuharibia bei za mashamba. Sasa Mtz gani kima cha chini atamudu bei hizi za laki tano kwa eka?
 
Yaleyale hakuna jipya apo kama makampuni yatayopewa ni BP,STATOIL,SHELL,TOTAL historia inaonesha haya makamouni ya UK,US, CANADA,FRANCE yanamafungamano na serikali zao moja kwa moja so watatupangia BEI watakavyo na always wamekua wakiwaonga wanasiasa wachache ili wapate hizo tenda....UGANDA wameanza kuwariplace na makampuni ya CHINA ata IRAK nao wamefanya hivyohivyo kwa kuterminate nao mikataba na kuwaleta makampuni ya RUSSIA...So tujifunze km LIBYA waliweza kwa kupata faida kubwa mpaka serikali ikawa inawahudumia wananchi wake ilikua bila ya haya makampuni ya wakoloni....imagine migodi mingi wamepewa hawa hawa ni nini tunapata mpaka tukitaka kupandisha kodi mpaka tuwabembeleleze uku mafuta yanyoingizwa kwa ajiri ya migodi ina exemption of tax jiulize ni kwanini? by the way tuna GAS tunayozalisha lakini kunachanges zozote za maisha? so our government must turn to CHINA,RUSSIA and other lovely countries ambapo contracts zitakua ni WIN-WIN situation.....ata tugundue mafuta zaidi ya SAUD ARABIA km tutawakumbatia hawa hakuna jipya zaidi ya migogoro tu km NIGERIA jiulize kwanini NIGERIA inautajiri mkubwa wa mafuta lakini mbona ni umaskini na migogoro kila leo na makampuni yalioko pale ni yaLe yale.....so we should wake up km tunahitaji uchumi wetu upae rather than making foreign economies.....
 
Aaah, ni Watanzania tena hilo wala usiwe na shaka. Sema wana sifa yao nyingine ambayo Kisiju itabidi mikono waishiwe, huko hawafungi tairi la shingo, huko wanakata mikono. mara ya mwisho aliyekatwa mkono ni mchagga mwaka 1972. Mpaka leo watu Kisiju wanalala bila kufunga milango, hakuna mwizi huko.

sasa bora muarabu? aliyefundisha kupanda minazi?
 
Tanzania has 'huge deposits' of everything....But..eer..eer.. Legislators wapo busy kudai nyongeza ya posho na kuuliza uhalali wa JF!!!
Kweli cha mjinga huliwa na
Ndugu tuna wabunge wachache wenye upeo wa kuweza kujadili hayo, hakina hao watakao jadili hazina yetu? Ni "prof"Miti mirefu au Getruda lwakatale? Ktk hili tunahitaji wenye uwezo zaid ya bwana asifiwe!
 
Yatubidi kutotegema mgao tu wa gesi itakayokuwa inasafirishwa. Wadau wa shughuli hiii ni wengi.Ni kawaida ya makampuni makubwa kutoa kandarasi kwa makampuni au vikundi mbali mbali kufanya kazi kwa niaba ya hayo makampuni makubwa,hivyo inahitaji kuhusisha makampuni yetu ya wazalendo kuchangamkia contract au tender mbali mbali.
Inabidi kuimalisha viwanda vyetu vya saruji na chuma kwani matumizi yake ni makubwa kujenga platforms na mabomba.
Vyakula na vinywaji ni bora vikazalishwa na watanzania kuinua vipato vya watanzania badala ya kuagiza hivyo vitu Kenya au Afrika ya kusini na kwingineko.Nguvu kazi ya kutumia asili mia kubwa ya watanzania ni muhimu kwani vipato ni vikubwa mno na muda wa kazi ni karibu nusu kulinganisha na maofisini au viwandani kwa maana hufanya kazi kwa muda wa mwezi mmoja na kupata likizo ya mwezi mmoja ni kawaida.Lakini kabla ya hilo yatubidi kutayarisha nguvu kazi hizo kupata mafunzo maalum ya muda mfupi na muda mrefu kwenye vyuo vyetu vikuu,vya kati na VETA.
Yatubidi kuelekezeni kwenye Elimu au tekinologia ya mafuta na gas vinginevyo itachukua muda mrefu wananchi na serikali kupata faida yake,lakini miaka zaidi ya 10 tutaliwa tu,na hayo makampuni makubwa,hasa ajira kwa kisingizio au ukweli wa SAFETY ISSUES. Gas platfom COPOC/MUDA offshre THAILAND 133547_184864021526538_100000088230088_678148_2568831_o.jpg
 
Hivi dhahabu, almasi na hata Tanzanite ambao tunayo sisi tu vimetufikisha wapi so far? Sioni watawala wetu wanaweza kufanya nini cha tofauti kwenye gas! Zaidi tutaanza kusikia mikataba inasainiwa US, UK au kwengineko.
 
Hiyo au hayo si kwa faida ya Mtanzania bali wachache tu ,tuliambiwa kuna Uranium ,hadi leo kimya yamezuka ya gesi ,hivi gesi ya Mtwara ndio inajulikana leo na kutangaziwa ??? Au ndio wizi unataka kuanza ?
 
FaizaFoxy, Unasema wachagga hawajui kupanda Minazi, unataka Waarabu waje kuchukua hizo Ardhi?
 
Hivi dhahabu, almasi na hata Tanzanite ambao tunayo sisi tu vimetufikisha wapi so far? Sioni watawala wetu wanaweza kufanya nini cha tofauti kwenye gas! Zaidi tutaanza kusikia mikataba inasainiwa US, UK au kwengineko.

Walishaanza kuuziana siku nyingi nenda kwenye website ya Ophir na utaona haya

Blocks 1, 3 and 4 offshore Tanzania cover a 20,853km2 area of the Mafia Deep Offshore Basin and northern portion of the Ruvuma Basin, located in water depths ranging from approximately 100m to greater than 3,000m.
[h=3]Interest[/h] On 28 October 2005, the Group was awarded a 100% interest in Block 1, offshore Tanzania. The Government of the United Republic of Tanzania has back-in rights of 12% exercisable at any time.

In 2006, the Group acquired a 100% interest in Blocks 3 and 4 which commenced on 19 June 2006. The Government has a back-in right of 15% in these two blocks.


On 26 May 2010 the Company announced that BG International Limited had entered into a farm in agreement whereby, subject to the satisfaction of certain earning obligations, it would earn a 60% interest in each of the PSCs.

On 29 March 2011, the Group entered into a farm in agreement with Ras Al Khaimah Gas Tanzania Limited (“RAKgas Tanzania”) for the transfer of a 70 per cent. participating interest and operatorship of a PSA relating to the East Pande Block, onshore/offshore basin.

Completion of the farm out remains subject to the satisfaction (or waiver by the Group) of certain conditions precedent.
 
Wote walio sign mkataba Guest House ni malaya Wassenge wazoefu waliozoea kujiuza kwa bei poa.
Nahisi walisaini mkataba huku wakiwa wamekalia mpini wa mzungu.
Si unajua tena wazungu walivyo Mabasha wazuri??
Mkuu Madela wa Madilu, hiyo lugha uliyotumia ndio kuonyesha hasira?.
 
Hii iwe ni changamoto kwa wahandisi wetu, has mechanical engeners, kubuni mitambo inayotumia gas ili kurahisisha na kusaidia kubadilisha kilimo vijijini. Wakulima wahamasishwe kuondoka kwenye kilimo cha jembe la mkono na badaya yake watumie mashine.
Hivi kweli Tanzania ina hao watu wanaoitwa 'mechanical engineers'? labda 'Historical engineers'!
 
wazanzibar mtatukoma na mafuta yenu ya kujipaka kwenye kikombe!

Mtegemea cha ndugu hufa masikini ,nashangazwa sana na Ndugu wa kitanganyika wanapo sheherekea kitu ambacho kinawanufaisha walioko madarakani ,huku maisha yake anaesheherekea anaishi katika chuma mfano wa Ghala ya mizigo mama baba watoto viatu masufuria ukumbi kila kitu ni humo humo halafu unamkuta mtu kama huyo anajinasibu eti sisi tuna zahabu tuna gas kwa faida ya nani basi ?kula yake mtu inamshinda sasa kuna faida gani ya kujinasibu na hayo ?ujinasibu na kitu kinachokupatia tija ndani yake au tija yake ni hiyo ya kuona wengine wanaisha maisha mazuri huku yako yakiwa hata Mbwa wa Ulaya au marekani anamaisha mazuri kuliko binadamu wa Tanzania
 
J.K. Nyerere was good to US he did not be-friend Chinese and Russians to come and Mine our Natural Wealth... He kept it a secret he new one day his grand-kinds will enjoy it with brains, like what they did to CUBA, ETHIOPIA etc...

Look @ it now we all grownup we know who's fisadi's and if some foreigners are stealing we know and we can talk no one plaster us, gunned us, or police us to our bedrooms who's talking... look we are free to talk at least and we know what to do about our Natural Wealth even if we don't have the Money ... we create Enemies we create check lists of who's supposed to be there; we love to hate our local successful people but we love to kiss and embrace the foreigners who came here to take our wealth and go...

We as Tanganyika's we should be proud as we are blessed ...
 
Aaah, ni Watanzania tena hilo wala usiwe na shaka. Sema wana sifa yao nyingine ambayo Kisiju itabidi mikono waishiwe, huko hawafungi tairi la shingo, huko wanakata mikono. mara ya mwisho aliyekatwa mkono ni mchagga mwaka 1972. Mpaka leo watu Kisiju wanalala bila kufunga milango, hakuna mwizi huko.

Bi Faiza hivi huko Kisiju mmeshaanza kutumia sharia hata kabla hamjapata hiyo mahakama ya Kadhi.

Mbona mkiipata mahakama ya Kadhi tutawakoma! Anyway tutajenga hospitali nyingi
ili kutibu hizo amputation za Sharia, Wakiristo bwana!?
 
Back
Top Bottom