Tanzania hii ukiwa na akili timamu utakufa siku si zako

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
[h=6]tanganyika nchi yangu nzuri wamekugeuza shamba la bibi nilikuwa chunya wiki jana wageni wanajibebea dhahabu kama zao bila usimamizi wowote.....wachina waliokuwa wanatengeneza barabara wameondoka na zana zao kwenda malawi baada ya serikali kushindwa kuwalipa aibu!!!!![/h]mwaka jana waliongopa kutengeneza barabara mwaka huu kila kona wakandarasi wanaondoka na vifaa vyao kwa kushindwa kulipwa na serikali yetu ya kisanii

tembeleeni chunya na nyinyi muone vioja vya serikali yenu ya kisanii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom