Tanzania has sharply raised the price of work permits, including for citizens of the EAC

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
313
Fees for Class A permits (for the self-employed) now range between US$2,000 and US$3,000, up from around US$2,000 on average previously. The hardest hit are foreign workers who fall in the A-1, A-2 or A-3 categories (prospecting and mining; largescale trade and businesses; lawyers, accountants and doctors), who will have to pay up to US$3,000-the highest rate for any type of permit in the EAC.

The average fee for Class B permits (for foreigners employed by a Tanzanian firm) has increased by 33% to around
US$2,000. Finally, Class C permit-holders (including students, researchers, volunteers, people attending court cases
and former residents) will now have to start paying US$200-US$500. The duration of permits will continue to depend
on the type of work and the total period of stay, but is usually around two years.

The fee revisions follow major increases in July 2011, under which the cost of Class A permits was raised by an
average of 25% and Class B permits by an average of 250%. The increases are likely to have a significant adverse
impact on businesses given the continued domestic shortage of skilled labour.

The increase in work-permit fees also comes two years after Tanzania signed the EAC Common Market Protocol,
which, among other things, sought to facilitate the free movement of labour within the customs union. Tanzania has
continued to put up barriers to this by making use of a clause in the protocol that allows member states to make rights of immigration, establishment and access to land subject to national laws. Uganda and Burundi similarly have yet to open up their labour markets to the rest of the EAC.
The implementation of the Common Market Protocol seemed to be heading in the right direction, with Rwanda and
Kenya abolishing their permit fees for EAC citizens in 2008 and 2010 respectively. However, in July 2012 Kenya
introduced a new restriction on immigrants in an effort to decrease youth unemployment; work permits will now only
be granted to foreigners (including EAC citizens) over the age of 35 and who earn more than US$24,000 a year.
Tanzania's latest move represents yet another move away from closer EAC integration and serves as a reminder that
the Common Market Protocol remains to be fully implemented.

Source: European Intelligence Unit Report(September 2012)
 
mbona bado iko chini hawa watu walitakiwa walipe fees kubwa ili kuwafanya waajiri wao waone umuhimu wa kutrain wazawa na kuokoa kiasi cha pesa lakini kwa ada wanayotoza bado itawafanya waajiri waendelee kuchukua wafanyakazi toka nje
 
Watu wote waliohusika katika kupandisha gharama kwa wafanyakazi wa kigeni wanapaswa kulaumiwa sana kwakuwa hawakuangalia hali halisi.Gharama za wageni wote wanaofanyakazi Tanzania bila kujali EA zilitakiwa kupanda hadi kufikia u$ 10,000/= hadi 20,000/= ili kulinda ajira za wazawa.

Mkataba wa EA haupaswi kuingilia mikakati yetu waTanznaia.
 
Nakuunga mkono. Gharama za sasa ziko chini sana. Mbona kwao tukienda kufanya kazi tunalipa pesa nyingi sana za vibali?
 
Watu wote waliohusika katika kupandisha gharama kwa wafanyakazi wa kigeni wanapaswa kulaumiwa sana kwakuwa hawakuangalia hali halisi.Gharama za wageni wote wanaofanyakazi Tanzania bila kujali EA zilitakiwa kupanda hadi kufikia u$ 10,000/= hadi 20,000/= ili kulinda ajira za wazawa.

Mkataba wa EA haupaswi kuingilia mikakati yetu waTanznaia.

Ukiangalia idadi ya wahindi na wachina wanaokuja hapa Tanzania kufanya kazi ambazo hata watanzania wanaweza kuzifanya unashindwa kujua ni nani anawaruhusu,hawa wa madini wanatakiwa kutozwa hata dola elfu 10,000, dola elfu 3 haziendani kabisa na wanayovuna hapa nyumbani. Bila shaka wanavuna sana. Lakini inabidi tuwekwe uwiano ili tuweze kuwavutia wale ambao hawataki kuja na tunataka waje, kuwazuia wataalamu hewa kutoka Kenya, India na China ambao hatutaki waje.
 
Hili ongezeko naliunga mkono na nimoja ya vitu vya kuipongeza serikali.Hii itapunguza speed wahindi kuleta wenzao hapa.

OMBI KWA WABUNGE;

Washauri ongezeko hili lipande mara mbili ya hili la sasa!!!!
 
Fees for Class A permits (for the self-employed) now range between US$2,000 and US$3,000, up from around US$2,000 on average previously. The hardest hit are foreign workers who fall in the A-1, A-2 or A-3 categories (prospecting and mining; largescale trade and businesses; lawyers, accountants and doctors), who will have to pay up to US$3,000-the highest rate for any type of permit in the EAC.

The average fee for Class B permits (for foreigners employed by a Tanzanian firm) has increased by 33% to around
US$2,000. Finally, Class C permit-holders (including students, researchers, volunteers, people attending court cases
and former residents) will now have to start paying US$200-US$500. The duration of permits will continue to depend
on the type of work and the total period of stay, but is usually around two years.

The fee revisions follow major increases in July 2011, under which the cost of Class A permits was raised by an
average of 25% and Class B permits by an average of 250%. The increases are likely to have a significant adverse
impact on businesses given the continued domestic shortage of skilled labour.

The increase in work-permit fees also comes two years after Tanzania signed the EAC Common Market Protocol,
which, among other things, sought to facilitate the free movement of labour within the customs union. Tanzania has
continued to put up barriers to this by making use of a clause in the protocol that allows member states to make rights of immigration, establishment and access to land subject to national laws. Uganda and Burundi similarly have yet to open up their labour markets to the rest of the EAC.
The implementation of the Common Market Protocol seemed to be heading in the right direction, with Rwanda and
Kenya abolishing their permit fees for EAC citizens in 2008 and 2010 respectively. However, in July 2012 Kenya
introduced a new restriction on immigrants in an effort to decrease youth unemployment; work permits will now only
be granted to foreigners (including EAC citizens) over the age of 35 and who earn more than US$24,000 a year.
Tanzania's latest move represents yet another move away from closer EAC integration and serves as a reminder that
the Common Market Protocol remains to be fully implemented.

Source: European Intelligence Unit Report(September 2012)
I have some mixed feelings as am employed here in Nairobi and I was not charged. My Kenya employment permit falls under gratis/free in class A
Tukifurushwa huku tunakuja kupigania hizo hizo chache!! Suala siyo kuzuia, suala ni kujenga uwezo wa wabongo ili nao watambae huku! Huwezi kujifungia katika kibuyu na ukadai utapata maendeleo!!
 
Kigali iko powa, welcome all to the Banana Republic. 100s of Tanzanians have joined hands in lifting up the Rwanda's economy.
 
i have some mixed feelings as am employed here in nairobi and i was not charged. My kenya employment permit falls under gratis/free in class a
tukifurushwa huku tunakuja kupigania hizo hizo chache!! Suala siyo kuzuia, suala ni kujenga uwezo wa wabongo ili nao watambae huku! Huwezi kujifungia katika kibuyu na ukadai utapata maendeleo!!

wewe endelea kubebeshwa box hapo tuachie tz yetu...kwahiyo unataka soote tuhame nchi tukatumikishwe utumwani?
 
Pamoja na kupandisha ada ya vibali hivyo, nimesikitishwa sana na serikali kushusha ada kwa wakulima wadogowadogo kutoka us$50 mpaka elfu 10 ya kitanzania. Hatua hii itafanya tanzania kuendelea kuwa dampo la landless kutoka nchini uganda,rwanda na burundi. Kwa watu mlioko mjini kero ya wageni kwenu ni ajira sie wa vijijini ni ardhi. Na tatizo la wageni masikini ni kubwa kuliko mnavofikiria, mikoa ya kagera na kigoma imejazana wageni hao kwa maelfu ambao ndio wapiga kura wazuri wa ccm
 
Nashauri hiyo 3000$ iwe mara 4 kwa mwaka yaani kila mwezi 1000$

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ivi iyo dola buku 3 ni kwa mwezi au kwa mwaka?
Nitafarijika kama itakuwa kwa mwezi maana iyo ni sawa na 312000tshs kama ni kwa mwaka huyu mtu kwa siku analipa kama 8500tshs
Apa twaibiwa
 
Back
Top Bottom