Tanzania has most trade barriers in EAC- report!!!

Tanzanian stubborn addle headedness about everything and anything EA is not about mwananchi,its about protecting the status qou, the very status qou that has plunged mtanzania into ufukara wa tupwa.
 
Mzalendo look, unaonekana una nia njema sana ya kutaka nchi zetu za Africa Mashariki kushirikiana - siyo kwamba nasema mambo haya kuku-bluff ni kweli huko-commited kikweli kweli, na mtu akikuangalia usoni hawezi kuwa na chembe ya shaka hata kidogo.

Nataka niwe frank nawe katika swala hili zima, Watanzania tulio wengi hatutaki mbuni zinazo tumiwa na (Kenya) ku-instigate nchi nyingine za Africa Mashariki kushinikiza TANZANIA kuingia kwenye mikataba hisiyo na kichwa wala miguu - tunataka tujilidhishe kwamba kila kipengele cha mkataba hakitakula kwetu, hatuwezi kukubali kufa mara mbili kama MKAA.

Tunataka tujipange sawa sawa hata ikituchukua light years - time is on our side, lakini wenzetu naona kama hili la Tanzania kusua sua linawakera sana! Kwa nini? Nakuheshimu sana Mzalendo kwa maoni na ushauri wako mzuri, tatizo linakuja pale sisi Watanzania tunapojua kwamba ni Wakenya wachache wenye nia njema na Taifa letu kama wewe, Wakenya wengi wana an hidden agenda, I am sorry kusema hilo.

Kuna mtu humu analalama kuhusu idadi ya road blocks katika barabara zetu vile vile na weighbridges! Mimi kwa macho yangu niliwahi kushuhudia jinsi ya JUGGERNAUTS kutoka Kenya zilivyo kuwa zinatuharibia barabara zetu kimaksudi – wana overload ma tera yao wanatuharibia barabara zetu zilizogharimu Taifa multimillion kuzijenga (mtu unaona waziwazi kwamba watu hawa wana inbuilt sadism), sasa ni binadamu gani mwenye akili timamu atakubali kishirikiana na majirani ambao wana nia ya kuhujumu TAIFA letu left, right and the center! Hakuna.

Kitu kingine Kenya ina mamlaka gani ya kupangia Tanzania idadi ya mizani na road blocks na nini cha kufanya katika utunzaji wa barabara zetu!! Kama mnatuoana kikwazo katika hilo basi pitisheni mizigo yenu Uganda kwenda Rwanda,Burundi, DRC na Zambia katika hilo Tanzania aiwezi kukosa usingizi kwa kukosa revenue za kupitisha magari yenu kwenye barabara zetu. Turijaribu kupunguza road blocks eti ku-kufurahisha majirani zetu, nini kilikuja tokea baadae MUNGIKI wakapata a field day ya kuvamia mabenki yetu kujeruhi na kuua raia wasio na hatia! Who needs such kind of TURMOIL in our COUNTRY.
 
some comments can make you go to sleep, unachokea katikati.(structure the content to be atleast attractive)
 
Mzalendo look, unaonekana una nia njema sana ya kutaka nchi zetu za Africa Mashariki kushirikiana - siyo kwamba nasema mambo haya kuku-bluff ni kweli huko-commited kikweli kweli, na mtu akikuangalia usoni hawezi kuwa na chembe ya shaka hata kidogo.

Nataka niwe frank nawe katika swala hili zima, Watanzania tulio wengi hatutaki mbuni zinazo tumiwa na (Kenya) ku-instigate nchi nyingine za Africa Mashariki kushinikiza TANZANIA kuingia kwenye mikataba hisiyo na kichwa wala miguu - tunataka tujilidhishe kwamba kila kipengele cha mkataba hakitakula kwetu, hatuwezi kukubali kufa mara mbili kama MKAA.

Tunataka tujipange sawa sawa hata ikituchukua light years - time is on our side, lakini wenzetu naona kama hili la Tanzania kusuha suha linawakera sana! Kwa nini? Nakuheshimu sana Mzalendo kwa maoni na ushauri wako mzuri, tatizo linakuja pale sisi Watanzania tunapojua kwamba ni Wakenya wachache wenye nia njema na Taifa letu kama wewe, Wakenya wengi wana an hidden agenda, I am sorry kusema hilo.

Kuna mtu humu analalama kuhusu idadi ya road blocks katika barabara zetu vile vile na weighbridges! Mimi kwa macho yangu niliwahi kushuhudia jinsi ya JUGGERNAUTS kutoka Kenya zilivyo kuwa zinatuharibia barabara zetu kimaksudi – wana overload ma tera yao wanatuharibia barabara zetu zilizogharimu Taifa multimillion kuzijenga (mtu unaona waziwazi kwamba watu hawa wana inbuilt sadism), sasa ni binadamu gani mwenye akili timamu atakubali kishirikiana na majirani ambao wana nia ya kuhujumu TAIFA letu left, right and the center! Hakuna.

Kitu kingine Kenya ina mamlaka gani ya kupangia Tanzania idadi ya mizani na road blocks na nini cha kufanya katika utunzaji wa barabara zetu!! Kama mnatuoana kikwazo katika hilo basi pitisheni mizigo yenu Uganda kwenda Rwanda,Burundi, DRC na Zambia katika hilo Tanzania aiwezi kukosa usingizi kwa kukosa revenue za kupitisha magari yenu kwenye barabara zetu. Turijaribu kupunguza road blocks eti ku-kufurahisha majirani zetu, nini kilikuja tokea baadae MUNGIKI wakapata a field day ya kuvamia mabenki yetu kujeruhi na kuua raia wasio na hatia! Who needs such kind of TURMOIL in our COUNTRY.

Look @ Bukyagandi,

Unaposema kuwa majirani yaani sisi tunataka kuwahujumu, nilashasema tanzania has all the rights reserved kufagia uchafu, yaani clean the society of Mungiki menace, na wengi wa polisi nchini tanzania wana professionalism ya kubainisha watu wenye dhamira mbaya na wale wenye nia ya kukaa kwa utulivu katika jamii. Hatushinikizi watanzania kwa nguvu waitikie mwito lakini tunaona dhuluma kwanza ikitekelezwa na polisi wakishirikiana na idara ya uhamiaji kuchukua paspoti za wakenya, na hili ndilo tatizo kubwa.

Ninastajabishwa mpaka sasa munalalamika kuhusu juggernauts za kenya kuingia Tanzania na Nchini kenya kuna juggernauts za Tanzania zinapitia mombasa road thika road na sehemu zingineo. Baada ya kizazi kupita na kupata uhuru kutoka kwa mkoloni bado munashindwa kujenga miundo msingi ambayo sasa imekuwa sio jambo la starehe. Ni kiungo muhimu katika kuimudu na kupanua sekta za uchumu. Nikupe mfano kama nchi ya Uchina walivyoimarika kiuchumi si kwa sababu ya madini au vitu kama hivi, bali ni kwasababu walichukua muda na kuboresha miundo misingi yao huku uuzaji wa bidhaa zao zikipanuka.

Unaposema Tanzania hamuko tayari, unazungumza kwa niaba ya watu asilimia ngapi? Tukifanya opinion polls wakati huu, ni watu wangapi watakuunga mkono? Idadi ya watanzania walio na bisashara nchini kenya ni tungu nzima tunavyowahesabu hapa, na wakenya waliomo hapo tanzania wandhulumiwa. Hii hidden Agenda inamaana gani? jaribu kufafanua please!!
 
TANZANIA imetajwa kuoongoza kwa urasimu na ukiritimba kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), hususan nyanja za usafirishaji na huduma, ripoti imeeleza.

Kaw mujibu wa ripoti hiyo iliyozinduliwa juzi, dereva wa lori anasimamishwa mara mbili ya askari wa usalama barabarani, mara tatu kwenye vituo vya kupimia uzito wa magari na mara nne Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Ripoti hiyo iliyozinduliwa na Katibu wa EAC, Richard Sezibera, inaeleza kuwa baada ya Tanzania zimefuata nchi za Kenya, Uganda na Burundi.

Inafafanua kwamba ukiritimbawa utendaji katika bandari, vizuizi vya barabarani visivyo vya lazima na masuala ya utawala, ni miongoni mwa vikwanzo katika uendeshaji biashara kwa ufanisi kwa kanda ya EAC.

Vituo vingi vya kupima uzito wa magari katika kanda za Kaskazini na Kati, taarifa hiyo imeeleza, hufanya biashara zisifike kwenye maeneo husika kwa wakati.

Baadhi ya maeneo yanayoathiriwa na hali hiyo ni Burundi, Rwanda na Uganda zikiwa na vituo 36 kati ya Mombasa na Kigali, vituo 30 kati ya Dar es Salaam na mpaka wa Rusumu nchini Rwanda. Uganda nayo ina vituo tisa kati ya Malaba na Gatuna.

Nchi za Rwanda na Burundi ndizo zinazotambulika EAC kwamba zinafanya kila linaloweza kuondoa vizuizini vyote vya barabarani kuliko nchi nyingine wananchama za Kenya, Uganda na Tanzania.

Ripoti hiyo inaeleza kwamba taratibu ndefu za kupata kibali cha kufanyakazi miongoni mwa nchi wanachama wa EAC, hususan Tanzania pia ni changamoto.

Mambo mengine yaliyoripotiwa ni ukosefu wa maeneo ya kuegesha magari mpakani, rushwa kwa kanda za Kaskazini na Kati na pia kuzuiwa kwa magari kusafiri zaidi ya saa 12:00 jioni nchini Tanzania.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda wa Rwanda, Emmanuel Hategeka, alisema hivi karibuni mjini Kigali kwamba yapo majadiliano yanaendelea kuhakikisha vikwazo vyote vya biashara vinaondolewa.

Tanzania imekubali kuondoa ushuru wa dola 200 za Marekani zinazotozwa kwa malori toka Kenya na pia kuondoa malipo ya viza kwa wafanyabiashara kutoka Kenya.

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Unaposema Tanzania hamuko tayari, unazungumza kwa niaba ya watu asilimia ngapi? Tukifanya opinion polls wakati huu, ni watu wangapi watakuunga mkono? Idadi ya watanzania walio na bisashara nchini kenya ni tungu nzima tunavyowahesabu hapa, na wakenya waliomo hapo tanzania wandhulumiwa. Hii hidden Agenda inamaana gani? jaribu kufafanua please!!

Ni wengi sana Mzalendo, wengi sana. Ndio sababu ni muhimu wakubwa wakaachana na 'fast-track' badala yake waanze na 'confidence measure.
 
Ni wengi sana Mzalendo, wengi sana. Ndio sababu ni muhimu wakubwa wakaachana na 'fast-track' badala yake waanze na 'confidence measure.

Umeshasoma swali moyo aliuliza hapo awali? Kuna wakenya walishaweka kambi kabla ya EAC na wanafanya Biashara zao tanzania. Hivi na wao munawadhulumu? Tunashutumiwa kwa madai ya inbuilt sadism. Nani ana Sadism kati yetu na ninyi unasikia kenya ndio tuko na idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania ya roadbloacks na hizo weighbridges kenya mengine hayafanyi, yako tu pale kama zana zilizohifadhiwa. Munazungumzia wale walio na wadhifa uongozini au wale wafanya biashara??
 
Look @ Bukyagandi,

Unaposema kuwa majirani yaani sisi tunataka kuwahujumu, nilashasema tanzania has all the rights reserved kufagia uchafu, yaani clean the society of Mungiki menace, na wengi wa polisi nchini tanzania wana professionalism ya kubainisha watu wenye dhamira mbaya na wale wenye nia ya kukaa kwa utulivu katika jamii. Hatushinikizi watanzania kwa nguvu waitikie mwito lakini tunaona dhuluma kwanza ikitekelezwa na polisi wakishirikiana na idara ya uhamiaji kuchukua paspoti za wakenya, na hili ndilo tatizo kubwa.

Ninastajabishwa mpaka sasa munalalamika kuhusu juggernauts za kenya kuingia Tanzania na Nchini kenya kuna juggernauts za Tanzania zinapitia mombasa road thika road na sehemu zingineo. Baada ya kizazi kupita na kupata uhuru kutoka kwa mkoloni bado munashindwa kujenga miundo msingi ambayo sasa imekuwa sio jambo la starehe. Ni kiungo muhimu katika kuimudu na kupanua sekta za uchumu. Nikupe mfano kama nchi ya Uchina walivyoimarika kiuchumi si kwa sababu ya madini au vitu kama hivi, bali ni kwasababu walichukua muda na kuboresha miundo misingi yao huku uuzaji wa bidhaa zao zikipanuka.

Unaposema Tanzania hamuko tayari, unazungumza kwa niaba ya watu asilimia ngapi? Tukifanya opinion polls wakati huu, ni watu wangapi watakuunga mkono? Idadi ya watanzania walio na bisashara nchini kenya ni tungu nzima tunavyowahesabu hapa, na wakenya waliomo hapo tanzania wandhulumiwa. Hii hidden Agenda inamaana gani? jaribu kufafanua please!!

Splendid indeed Mzalendo452 - ntakujibu baadae.
 
Umeshasoma swali moyo aliuliza hapo awali? Kuna wakenya walishaweka kambi kabla ya EAC na wanafanya Biashara zao tanzania. Hivi na wao munawadhulumu? Tunashutumiwa kwa madai ya inbuilt sadism. Nani ana Sadism kati yetu na ninyi unasikia kenya ndio tuko na idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania ya roadbloacks na hizo weighbridges kenya mengine hayafanyi, yako tu pale kama zana zilizohifadhiwa. Munazungumzia wale walio na wadhifa uongozini au wale wafanya biashara??

Mzalendo labda sikujieleza vizuri, kutumia kwangu term ya "inbuilt sadism" nilikuwa namaanisha wafanya biashara wenye magari ya mizigo na madereva wao wanao overload matera yao na kutuharibia barabara zetu, labda nirudie kusema sina tatizo na Majority ya Wakenya. Kama neno hilo lime eleweka vibaya I am sorry MZALENDO.
 
Umeshasoma swali moyo aliuliza hapo awali? Kuna wakenya walishaweka kambi kabla ya EAC na wanafanya Biashara zao tanzania. Hivi na wao munawadhulumu? Tunashutumiwa kwa madai ya inbuilt sadism. Nani ana Sadism kati yetu na ninyi unasikia kenya ndio tuko na idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania ya roadbloacks na hizo weighbridges kenya mengine hayafanyi, yako tu pale kama zana zilizohifadhiwa. Munazungumzia wale walio na wadhifa uongozini au wale wafanya biashara??

Yes Mzalendo, naona labda sikueleweka vizuri kuhusu matumizi yangu ya term "inbuilt sadism"! Mimi nilikuwa nazungumzia wafanya biashara na madereva wa magari ya matera kutoka Kenya basi, binafsi sina tatizo lolote na majority ya Raia wa Kenya, nataka hilo lieleweke wazi.

Labda niulize swali, hivi jirani yako akifanya kimakusudi mambo ya kukuaribia mali zako ulizotumia gharama kubwa kuzijenga, anaendelea ku ply barabara zetu huku wakijua wame-overload matera yao, wanaendelea tu na safari zao bila kujali chochote. Sasa mtu anaye furahia kuhujumu barabara za jirani zake utamuita jina gani?

Kama kwenye post yangu BAADHI ya wasomaji walikuwa awakuni elewa vizuri, au walikuwa wametafusili kivingine - ufafanuzi nimekwisha utoa kwamba nilikuwa nazungumzia wafanya biashara wa matera na madereva wao. Nataka kumalizia kwa kusema kwamba kama kuna mtu ameona alikuwa-offended na comment zangu basi I am sorry especially kwa MZALENDO na Wakenya WOTE wanao itakia mema TANZANIA.
 
Watanzania wanapenda starehe na maisha rahisi..bora mtu awe na chakula,mavazi na makao tosha!.sasa tunapowaeleza umuhimu wa kuboresha mazingara ya biashara nchini mwao ni kama kumpigia mbuzi gita! ni watanzania wachache tu ambao wameerevuka na hawataki kuwaongoza wenzao wawe sawa.
 
Moyo,

..but Kenya is the second biggest foreign investor in Tanzania after Britain.

..if u think Rwanda is more important to Kenya than Tanzania tell us how much Kenyan investments r in Rwanda compared to Tanzania.

..Rwanda does not share a border with Kenya, while Tanzania does. Rwanda has a population of about 1 mil, while Tanzania has 35+ mil.

..I think u r being dishonest when u dismiss Tanzania and her importance to the EAC, because facts on the ground do not support your claims.

..Umeuliza swali zuri sana: How did Kenya invest in Tanzania pre-EAC?? Let me add: how is Kenya currently investing in Tanzania?

..U have correctly stated that Tanzania is the leading producer of raw materials in SADC, and the number one consumer of products from other SADC countries. I think the same can be said btn Tanzania and Kenya. Now, where does the nonsense that Tanzania does not trade with Kenya, or any other east african country, come from??

..Moyo, u probably just dont want to follow procedures, lakini kuna sheria zinazoruhusu foreigners kupata ardhi Tanzania. There r also provisions on how to bring in foreign workers to Tanzania. Inawezekana hau-qualify hence ur complains.

..U have branded Tanzanians as stupid, enemies of development, and practitioners of witchcraft etc etc. I don't know if u have ever considered how ppl on the receiving end of ur msg would feel. If that doesnt concern u, then dont complain when folks equate that to arrogance.

NB:

Kenya and the rest have to understand us on the following points:

..Tanzania kuna tatizo la unemployment, kwa hiyo serikali lazima iweke-restriction ktk suala la ajira.

..The doors r still open to highly qualified Kenyans,Rwandese,Ugandans, to come and work in Tanzania.

..Ardhi and it access is a stabilizing factor ukizingatia hali ya uchumi wa Tanzania and tatizo la un-employement.

..Matatizo ya ardhi ya Kenya,Rwanda,..yasihamishiwe huku Tanzania. Sisi tuna matatizo mengi zaidi ya ku-deal nayo.

..Natural resources za Tanzania ziwafaidishe wa-Tanzania kwanza, majirani wanaweza kukaribishwa but it has to be on out terms.

..The status quo of Tanzania being the producer of raw material and the biggest consumer of finished products in EA must end. We must make sure we do everything in our power to reverse that trend.

Thanks for this kind of reply and i like your thinking,first of all Rwanda has a population of around 10M people not 1M as you had stated.Now back to the point..what i meant was that Tanzania is in a more and better position to trade with more countries than any other East African country.You are the only country that borders every EAC country and this should give you an advantage for trade with access to many markets and at a low cost since transport costs would be manageable.Had you done this,you would be the first ones to ease trade based on the experience you would have achieved and the current problems we have would be a thing of the past.
Its true that Tanzania is a major trading partner..in fact you overtook Uganda, but comparing you with Rwanda..the later has come to appreciate the importance of integration and the benefits if importing talents from other countries..and the capital they come along with it..they treat others with more respect..unlike you,you consider us as enemies and rivals when we should be there to build and learn from each other... don't you think if we would utiise the time we use abusing and calling each other names,in a more productive course like sharing ideas on how we can better ourselves and our countries, we would be in a more better position since our destinies are intertwined! like the EAC Motto of "one people one destiny"..its good to point out and appreciate our weaknesses but we should not forget to acknowledge our strength both individually and collectively.
I love Tanzania and Tanzanians coz i do business in your country and i am trying to incorporate my firm in your country and i know the challenges am facing especially the attitude problem...corruption is at its peak and its very open....
After all has been said and done what remains as a fact is how much cash do you have as an individual...how have you exploited the opportunities that comes your way ,for your own benefit and others....we can talk and talk but it will amount to nothing if one is still poor.
Transforming your country from a producer of raw materials to an exporter of added value products requires skilled labor and determination.. that's where we Kenyans come in...since this is a goal that you cant achieve alone you need others and we are the best partners in this area..but our presence in Tanzania brings out the hell out of you....
Tanzanians must wake up and be a proactive ,you have the resources and ability to make Tanzania the greatest country on the continent but you misdirect your energy to other things that cannot benefit you individually and your country
 
Watanzania wanapenda starehe na maisha rahisi..bora mtu awe na chakula,mavazi na makao tosha!.sasa tunapowaeleza umuhimu wa kuboresha mazingara ya biashara nchini mwao ni kama kumpigia mbuzi gita! ni watanzania wachache tu ambao wameerevuka na hawataki kuwaongoza wenzao wawe sawa.

Ni watu wa nchi gani ambao hawatafuti hivyo vitu vitatu hapo kwenye red?
Na kwa nini Kenya (walau baadhi ya wakenya/vyombo vya habari) vinatumia muda mwingi sana kujadili/kulalamika kuhusu Tanzania?
 
Nyang'aus watalia sana rais wa Tanzania ajae atawakomesha then ndipo watakapofahamu where we stand.
 
Nyang'aus watalia sana rais wa Tanzania ajae atawakomesha then ndipo watakapofahamu where we stand.

Ndugu wakati mwingine mambo haya yanakifu sana, lakini nimeona humu kuna baadhi ya Wakenya wana mawazo mazuri sana-chukulia mtu kama Mzalendo452 na MOYO; actually post ya mwisho ya Bwana MOYO mengi aliyozungumza yana manufaa kwa TANZANIA na majilani zetu, chukulia comment hii na hapa namnukuu: "Tanzania is in a more and better position to trade with more countries than any other East African country.You are the only country that borders every EAC country and this should give you an advantage for trade with access to many markets and at a low cost since transport costs would be manageable.Had you done this,you would be the first ones to ease trade based on the experience you would have achieved and the current problems we have would be a thing of the past." nakubaliana naye kwa angalizo lake hilo.

Labda niseme tujaribu ku-tone down our rhetoric, tuelimishane, tushauliane na kutafuta a way forward lakini hilo likishindikana, basi tu-agree to disagree without offending anyone.
 
Look @ Bukyagandi,

Unaposema kuwa majirani yaani sisi tunataka kuwahujumu, nilashasema tanzania has all the rights reserved kufagia uchafu, yaani clean the society of Mungiki menace, na wengi wa polisi nchini tanzania wana professionalism ya kubainisha watu wenye dhamira mbaya na wale wenye nia ya kukaa kwa utulivu katika jamii. Hatushinikizi watanzania kwa nguvu waitikie mwito lakini tunaona dhuluma kwanza ikitekelezwa na polisi wakishirikiana na idara ya uhamiaji kuchukua paspoti za wakenya, na hili ndilo tatizo kubwa.

Ninastajabishwa mpaka sasa munalalamika kuhusu juggernauts za kenya kuingia Tanzania na Nchini kenya kuna juggernauts za Tanzania zinapitia mombasa road thika road na sehemu zingineo. Baada ya kizazi kupita na kupata uhuru kutoka kwa mkoloni bado munashindwa kujenga miundo msingi ambayo sasa imekuwa sio jambo la starehe. Ni kiungo muhimu katika kuimudu na kupanua sekta za uchumu. Nikupe mfano kama nchi ya Uchina walivyoimarika kiuchumi si kwa sababu ya madini au vitu kama hivi, bali ni kwasababu walichukua muda na kuboresha miundo misingi yao huku uuzaji wa bidhaa zao zikipanuka.

Unaposema Tanzania hamuko tayari, unazungumza kwa niaba ya watu asilimia ngapi? Tukifanya opinion polls wakati huu, ni watu wangapi watakuunga mkono? Idadi ya watanzania walio na bisashara nchini kenya ni tungu nzima tunavyowahesabu hapa, na wakenya waliomo hapo tanzania wandhulumiwa. Hii hidden Agenda inamaana gani? jaribu kufafanua please!!

Mzalendo452,

..labda tukubaliane tu kwamba polisi wa TZ pamoja na KY wananyanyasa wananchi.

..majuzi kulikuwa na malalamiko ya wafanyabiashara wa TZ kwamba wanasumbuliwa wanapofika KY, including kunyanganywa mali zao.

..Min incharge of East Africa amependekeza kufunguliwa kwa masoko na vituo vya biashara upande wa TZ ili wafanyabiashara toka KY wafate bidhaa TZ.

..kwa upande wa barabara nadhani[if i am not mistaken] East Africa nzima ina standard moja kuhusu kiwango cha uzito[axle load limit] wa magari ya mizigo. I read somewhere kwamba Kenya ndiyo iliyokuwa na kiwango cha chini kabisa 48MT, wakati Tanzania,Uganda,na Rwanda, wakiwa na axle load kubwa zaidi. sasa baada ya hapo nchi za EA zimeamua ku-harmonize axle load limit.

..sidhani kama tunatakiwa turuhusu watu wa-exceed axle load limit. tukifanya hivyo itakuwa ni hasara[road repairs] tupu and bad for everybody in the long run.

..tatizo lingine ni unemployment numbers r very high in Tanzania. zinapokuja kampuni za nje wananchi wanategemea watapata kazi huko. sasa kama kampuni za Kenya, for whatever reasons, zitaendelea ku-reject applicants toka Tanzania basi wananchi wataendelea kulalamika.

..mimi sina tatizo na highly experienced and specialized Kenyans kuja kufanya kazi Tanzania, lakini kuna kazi nyingine kwa kweli ni lazima, lazima, zishikwe na wa-Tanzania.

..WAKENYA waje wafungue makampuni huku kwetu na kujipatia FAIDA, lakini na watoto wetu wa KITANZANIA nao wapate kuajiriwa huko na kujipatia KIPATO na UJUZI. Hiyo ndiyo East African community ambayo ningependa kuiona. Badala ya kuwa negative with one another, hebu tuangalie how we can get there.

NB:

..is it about time we harmonize the educational system in East Africa?? Kwangu mimi naona project kama hiyo ni more meaningful kuliko the discussions about a monetary union. East Africa should not just be about exchanging goods, but also "trading" knowledge and expertise.

..what is Tanzania doing to transform herself frm being the biggest producer of raw materials, to being the manufacturing base of East Africa??

..Is Kenya looking at that as a threat or an opportunity? In that transformation, is Tanzania viewing Kenya as an adversary or a partner?

Ndugu wakati mwingine mambo haya yanakifu sana, lakini nimeona humu kuna baadhi ya Wakenya wana mawazo mazuri sana-chukulia mtu kama Mzalendo452 na MOYO; actually post ya mwisho ya Bwana MOYO mengi aliyozungumza yana manufaa kwa TANZANIA na majilani zetu, chukulia comment hii na hapa namnukuu: "Tanzania is in a more and better position to trade with more countries than any other East African country.You are the only country that borders every EAC country and this should give you an advantage for trade with access to many markets and at a low cost since transport costs would be manageable.Had you done this,you would be the first ones to ease trade based on the experience you would have achieved and the current problems we have would be a thing of the past." nakubaliana naye kwa angalizo lake hilo.

Labda niseme tujaribu ku-tone down our rhetoric, tuelimishane, tushauliane na kutafuta a way forward lakini hilo likishindikana, basi tu-agree to disagree without offending anyone.

Nakubaliana na wewe kuhusu direction ya debate, lakini ukisoma kuanzia mwanzo utaona jinsi hii debate ilivyoanza. Mambo ya kuheshimiana yamekuja mbeleni sana, it took almost 3 days to get this debate into what it is now. And so for Mzalendo, Moyo na Liver (to some extent) ndio wanaonekana ku-tone down. Na hata moyo kwenye post yake NO 110 anaonekana ku-suggest kwamba ni watanzania wachache tu ndio warevu and worse hao werevu wachache hawataki kuwaongoza wenzio!

Bila kupaza sauti naomba tu niseme, watanzania (kwa mamilioni) tunajua matatizo yetu na tunajua dawa (solutions) ya hayo matatizo. Na solutions hizo haziko Kenya, wala Uganda, au Burundi. Solutions zimo humu humu ndani ya mipaka ya Tanzania. Ndio maana EAC sio no 1 kwenye agenda ya watanzania kwa sababu sio solutions, walau kwa sasa.

Kwa akili ya kawaida huwezi kuacha milango na madirisha wazi kwenye sehemu yenye mbu (mosquitos) kwa sababu tu unataka kupata hewa nzuri! Kufanya hivyo, ni kweli unaweza kupata upepo mwanana lakini kwa hakika mbu na wadudu wa kila aina wanaweza kupiga kambi ndani ya nyumba. Kumbe kwa usalama ulitakiwa uweke nyaya madirishani, na kutumia chandarua (mosquito net) ili kupunguza uwezekano wa kupatwa na malaria.

Umaskini tunaopigiwa kelele na wakenya hapa jamvini haukusabibishwa na biashara hafifu na nchi jirani i.e. Kenya, Uganda etc. Na hakuna mtu anaweza kusema categorically Kenya inaweza kugeuza Tanzania na kuifanya ikawa 'developed nation' Hakuna. Ingekuwa ni kweli kama Kenya yenyewe inangekuwa nayo ni developed nation. Lakini kwa kushirikiana nchi hizi mbili zinaweza kupiga hatua kuelekea huko kwenye developed nationa. But you can not do that when your fundamentals are upside down.Tanzania tuko kwenye mchakato wa kusafisha/kujenga nyumba itayotuweka salama. Hata Kenya watafaidi kwenda kwa jirani ambaye na mazingira mazuri bila ya hofu ya kung'atwa na mbu usiku.

Tukielewana kwenye mambo ya msingi naamini tutaweza kushikiriana kwa karibu zaidi. Lakini gia ya 'kusaidia maskini' is not the way to go.
 
Mawazo mazuri yatatoka kwa Nyang'au ambao ni wadhulumaji? Ati nao sasa wana mawazo mazuri katika kuwahadaa walipa kodi wa Tanzania? Mbona hatuwaoni wakiwa mstari wa mbele kule kwenye IGAD? Huu umatonya ambao wanataka kutuletea hautakubalika kamwe na wasidhani wanachovuna sasa kitaendelea.
 
Back
Top Bottom