Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
Hajajibu swali la msingi juu ya gazeti la kulikoni maana kwanini imefungiwa
Inawezekana ni kweli kwamba vyombo vyetu vya habari vima uhuru mkubwa kuliko nchi yoyote ile katika Afrika ya Mashariki. Je, uhuru huo umeleta mabadiliko gani katika kulinda maslahi ya nchi? Kwa maoni yangu haujaleta mabadiliko yoyote yale maana nchi inazidi kufisadiwa na mapapa wa ufosadi na Wawekezaji katika nyanja mbali mbali ikiwemo madini ambapo tunaambulia 3% tu ya mapato yote yatokanayo na dhahabu yetu.
Hivi ukiwa umezungukwa na Idi Amin, Bokasa na Mobutu na wewe ukawa ni Mugabe utajisifia kuwa nchi yako ina highest form of un-dictatorial tendencies in Southern Africa?
you can.. if you are truly convinced that yours (whatever that is) is better than the others! Ni sawa sawa na mtu aliyeruka shimo lenye upana wa mita 10 lakini aliruka hadi mita 9 akatumbukia na mwingine akaruka mita moja tu akatumbukia. Yule wa mita moja anaweza kusema aliruka kidogo zaidi kuliko yule wa mita 9.. na atakuwa amesema kweli... lakini yule wa mita tisa anaweza kujitapa kuwa yeye alikaribia zaidi kuvuka kuliko huyo wa mita moja na kimsingi hata alichelewa kutumbukia zaidi kuliko yule wa kwanza; naye atakuwa amesema kweli.
kwanza mmemuita pimbi,
halafu mkamuita mende,
badala ya kujibu hoja mnamtukana,
so much for great thinkers...
mimi nafikiri hoja ipo wazi kuwa
pamoja na matatizo ya kulifungia gazeti la kulikoni
na kumwagiwa tindikali kwa Kubenea..
Tanzania bado ndio nchi iliyo juu zaidi
kwa uhuru wa habari around east and central africa.
kama kuna mtu anabisha,amwage hoja na sio matusi.
-
tatizo ni letu wananchi tukiongozwa na waandishi wetu na media nzima ya bongo ambayo imeoza! Kuanzia wananchi mpaka our media priority zetu ziko backwards!
Respect.
FMEs!