Tanzania hakuna Sheria wala haki. wenye pesa ndio wenye haki.

Mshuwa1

Member
Apr 8, 2015
91
22
Abari zenu wana JF, nimekuja kwenu naomba msaada, maana nilikua nakesi namtu, kaniibia kiasi chapesa, nilifungua kesi polisi hadi maakamani tulisha kwenda zaidi ya 2, kwasasa kesi inakwenda mwezi watatu sasa. nilisha choka na maakama kila siku tuna pewa tareh, mpya yakurudi. nilikua naomba msaada kwayeyote ule ambae anaweza kua na njia nyingine tofauti na Maakama, anielekeze ili huyu mshitakiwa anipa pesa yangu. tukifaanikiwa hadi mshitakiwa akakubali kutoa pesa ambayo kaniibia niko tayari kutoa 10% ya pesa itakayo patikana, kwamaelezo zaidi ni PM. Asante
 
Back
Top Bottom