Tanzania hakuna amani tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........

Hakuna Amani tena!!

Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
 
Amani iko wapi kama unakuwa mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe!!! Hakuna viongozi wa kusikiliza shida za wananchi, ni mabomu tu.
 
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........

Hakuna Amani tena!!

Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!

Kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu imtoke maskioni ndo ataskia.
 
mwisho wa mwaka utasikia jeshi limetumia bilion 26 kutuliza ghasia ambazo zinazungumzika.
 
Lakini hawa viongozi wetu kweli hamnazo. Tangu lini Amani ikatafutwa kwa vitisho!!!!!. Wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga au waoga kiasi gani!!.

JK ajiuzuru sasa.
 
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........

Hakuna Amani tena!!

Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!

BABATI hali ni mbaya sana leo.
 
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........

Hakuna Amani tena!!

Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE!
 
Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE!

Si kila siku magamba wanajitamba wanaleta Amani tanzania. Sasa leo imekuwa kwa vitendo Nchi nzima.

Juzi tu ilikuwa mwanza, karatu sec, Arusha etc.........
 
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........

Hakuna Amani tena!!

Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!

Mkuu, tatizo la viongozi wabovu na wachoyo ni kuamini kuwa matumbo yao, familia zao na jamaa zao wa karibu ni bora kuliko umma wa Watanzania. Matokeo yake hawasikilizi mawazo na shida za watu. Haya yataendelea kutokea sana, endelea kuyashuhudia.
 
jamani mnatutisha kimenuka katika miji hiyo tatizo nini? na kunuka huko ni katika maeneo gani ya miji? naomba kujuzwa.Nalog off
 
Back
Top Bottom