Tanzania haiuziki tena

Zemu

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
518
80
Sababu kuu ambazo hakuna mteja anaweza kuja kuinunua Tanzania angalau hata tugawane hela zitakazo patika kila mtu aishi maisha anayotaka hapa hapa au nchi za nje ni NCHI KUUZWA VIPANDE VIPANDE.

1. Madini yameisha kumebaki mahandaki.
2. Pwani yote imetolewa kwa wawekezaji kwa mikataba ya zaidi ya miaka 35 ili wajenge mahoteli.
3. Kiwanja cha ndege kimetolewa kwa wadhungu nao wanatulipa dola 1000 kwa mwezi.
4.Umeme kwa mgao
5.Mafuta kwa mgao
6.Wanyama pori na mbuga za wanyama zimepewa kwa waarabu kwa mikataba mirefu.

nk nk nk

Je ni mteja yupi atakae kuja kununua nchi ya aina hii ambayo hata uongozi hakuna, imepoteza muelekeo na mbele ni giza la maendeleo ya jamii.
 
Back
Top Bottom