Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Tafadhali nifafanulie hiyo tofauti iliyopo kati ya UGs na PGs wa UDSM.
- Kwanza kabisa PG's wanadhaminiwa mostly na waajiri wao wachache sana wanaojilipia wenyewe, hawa ni wenye makampuni, biashara, makanisa etc. Hivyo basi wakati focus ya UG's ni serikali kupitia bodi ya mikopo ktk PG's 50 kunaweza kuwa na wadhamini 40 tofauti tofauti (responsible sponsors).
- PG's wengi wanaishi manyumbani kwao na wachache waliobaki wana mabweni special na kila mtu na kitanda chake. UG's sasa karibu asilimia 99% pale chuo wanalala mzungu wa nne maarufu kama kubebana.
- Wakati UG's wanakaa kenye lecture theters zingine mpaka 1000, PG's wengi wanakuwa ni less than 100.
- PG's karibu wote wanamudu maisha ya chuo, UG's kibao wamepinda na wengine hela hiyo hiyo ya boom wanalipia ada wadogo zao.
- PG's wengi wana familia na a life to lead (kibongo bongo mtu wa namna hii lazima anakuwa na kauoga fulani hivi lol!!!!!), wkt UG's ndio kwaanza wanakuwa wanatafuta ujuzi wakaanze maisha.
Nadhani tht gives u the highlight!!!!!!