''...Tanzania haitakalika''

Kama hamtaki kufananisha Tanzania na USA basi ifananisheni na Rwanda au Msumbiji, yote chagueni nyinyi. Tafuteni mfano wa nchi hata moja tu ambayo serikali yake inawakopesha wanafunzi wote asilimia 100 ya mahitaji yao.

Mimi sijakataa ugumu wa hali ya maisha Tanzania, na hii si kwa wanafunzi peke yao. Ila ninachopinga, narudia tena, ni hii notion kwamba wanafunzi wote hawajiwezi na hivyo serikali iwakopeshe asilimia 100 za mahitaji yao. Hili niaendelea kurudia tena na tena.
 
ZeMar,

......kinachoumiza vichwa watu hapa ni kuwa serikali yetu imeshindwa kuwa focused na mambo muhimu ambayo ni obvious kama elimu, afya na miundombinu............

.....kwa hali ya kawaida kiuchumi hapa nyumbani Tanzania kutompa kijana 100% scholarship ni kumnyima elimu.......pengine serikali yetu inatakiwa iweke targets with time kabla ya kuanza ku-portion hizi scholarships........

Taifa letu bado ni changa kielimu....ningekuwa na muda ningekuwekea statistics zinazo-onyesha hilo.........unapojenga Taifa lisilo na watu wenye elimu...ni unatengeneza bomu litakalotuua sisi wenyewe.........i.e. kuwa watumwa ndani ya nchi yetu........kama inavoelekea hivi sasa e.g Tazama karibu kila sehemu yenye utajiri tumeuza.......halafu eti ona BWM...eti anasikitika uchumi kuhodhiwa na wageni!!!!!.....Damn!....ukiwa na Taifa la wapumbavu matokeo uchumi wake utahodhiwa na wageni....period!

........huyu bwana mnaedai ametoa kauli hiyo......na iwe kweli alisema hivyo otherwise.....mmejengea mazingira ya matatizo....na serikali.........ni serikali chache sana zinapenda kuambiwa ukweli.....i.e. huko kwenye demokrasia iliyokomaa.......you tell them the truth......they wil acknowledge you......huku kwetu........Riafande Rinakuweka kizuizini/rumande.......ohh help me God.....Gold Help Tanzania.........kama ni blessings tayari tunazo........ila tunahitaji msaada wa hekima/busara kutoka kwa Mwenyezi.......ili wananchi sote kwa ujumla tufaidike na "blessings" tulizojaaliwa.............
 
ZeMar,

......kinachoumiza vichwa watu hapa ni kuwa serikali yetu imeshindwa kuwa focused na mambo muhimu ambayo ni obvious kama elimu, afya na miundombinu............

.....kwa hali ya kawaida kiuchumi hapa nyumbani Tanzania kutompa kijana 100% scholarship ni kumnyima elimu.......pengine serikali yetu inatakiwa iweke targets with time kabla ya kuanza ku-portion hizi scholarships....................

Asante kaka, I liked that sentensi, kuweka target, kujitayarisha, sio kukurupuka; da hii aibu kwa viongozi tulio nao wasiojali uzalendo, na ni aibu kubwa sana kwa watu vipofu kama Zemarcopolo, ambaye hajasoma Tz au kaishia form six!
 
The “casus beli” (literally: cause of war) here is the inability of large numbers of students in government universities to cough up 2.7 mil/=. ZeMarcopolo is wrong in trying to include students in private colleges. Parents who send their offspring to private schools are able to pay the appropriate fees.

It is a ministerial fact that we have 66,000 students in government owned universities and colleges. This can be seen in the education budget speech of 2008 – 2009. As explained previously, it requires 178 bn/= to pay this 2.7 mil/= for 66,000 souls. ZeMarcopolo lies badly when he claims that it would take 1.2 tr/= to solve the problem at hand.

We stress that we are talking about giving student loans. This is normal. We all know that even well to do economies find that they need to give loans to their college students.

We have under funded education for far too long. At independence, 20% of the national budget was spent on education. We let this proportion fall gradually, and by 1985 only 4.9% of the budget went to education. In contrast, Kenya has spent about 20% of its budget every year, on Education. Zimbabwe spent as much as 40% of its budget on Education throughout the eighties and nineties.

Kutaka kuacha theluthi mbili ya wanafunzi wa UDSM wasisome kwa kushindwa kulipa ni ujinga usio na kifani.
 
Asante kaka, I liked that sentensi, kuweka target, kujitayarisha, sio kukurupuka; da hii aibu kwa viongozi tulio nao wasiojali uzalendo, na ni aibu kubwa sana kwa watu vipofu kama Zemarcopolo, ambaye hajasoma Tz au kaishia form six!

Naona sasa umeamua kutumia hoja ya nguvu au umekuwa optometrist!?
Au hii ndio ile uliyoita ''kulazimisha kuelewa''?
 
The "casus beli" (literally: cause of war) here is the inability of large numbers of students in government universities to cough up 2.7 mil/=.[ ZeMarcopolo is wrong in trying to include students in private colleges. Parents who send their offspring to private schools are able to pay the appropriate fees.

It is a ministerial fact that we have 66,000 students in government owned universities and colleges. This can be seen in the education budget speech of 2008 – 2009. As explained previously, it requires 178 bn/= to pay this 2.7 mil/= for 66,000 souls. ZeMarcopolo lies badly when he claims that it would take 1.2 tr/= to solve the problem at hand.

We stress that we are talking about giving student loans. This is normal. We all know that even well to do economies find that they need to give loans to their college students.

We have under funded education for far too long. At independence, 20% of the national budget was spent on education. We let this proportion fall gradually, and by 1985 only 4.9% of the budget went to education. In contrast, Kenya has spent about 20% of its budget every year, on Education. Zimbabwe spent as much as 40% of its budget on Education throughout the eighties and nineties.

Kutaka kuacha theluthi mbili ya wanafunzi wa UDSM wasisome kwa kushindwa kulipa ni ujinga usio na kifani.

Nadhani hapa nilipohighlight ndiopo tunapotofautiana Mr. Moshi.

1.Kama uko Tanzania tembelea chuo kikuu kimoja kiko Morogoro kinaitwa Morogoro Muslim University, hii itakusaidia kuona another side of Tanzanian private university students.

2.Naona hesabu zako hazijagusa watanzania wanaosomeshwa na serikali nje ya nchi, kama wale wa Ukraine waliokuja hapa JF mara kadhaa kuhitaji wasaidiwe kuipush serikali iwawezesha. Je,wanafunzi wa nje wasijumuishwe kwenye hiyo asilimia 100 inayoombwa itolewe na serikali?
 
Ze Marco

Viongozi wetu ndio mwanzo na mwisho wa matatizo haya yote. UCHUMI HAFIFU NI CHANZO CHA MATATIZO HAYA YOTE, mipango ya uchumi inasimamiwa na nani, matumizi mabaya ya pesa KIDOGO inayopatikana serikalini nani anapanga hayo (nilkuwa Japani mwaka fulani, akaja Waziri mkuu kuomba msaada kule Japani, kaja na msafara wa watu hamsini (50) KUFANYA NINI WOTE HAO, wakaka hoteli ya bei mbaya kuliko zote TOKYO, Japan ikamnyima. Wa Tz waliokuwa kule walimshambulia sana yule waziri mkuu wakati wa cocktail iliyofanywa kwa heshima yake. Sasa yako mambo mengi yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu, yanayosababisha wapanga matumizi wakose pesa za kusomesha watoto wa kitanzania, haya Ma Richmonds/Dowans, Radar, Ndege, Mashangingi kila kukicha, yaani kila upande kuna hili au lile.

BILA YA UCHUMI MZURI - HATUNA KITU
BILA YA MATUMIZI SAHIHI - HATUNA KITU
BILA YA MIKATABA SAHIHI - HATUNA KITU
BILA YA UTAALAMU WA UENDESHAJI - HAMNA KITU
Maamuzi ya kufukuza wanachuo yanafanywa haraka, lakini maamuzi ya kufufua uchumi yanaahirishwa kila siku, Mimi sijui............

Nashukuru hukukataa hizo takwimu za Moshi, ila kwamba wote wanahitaji mikopo, ndio lakini wako walio afadhali ndio maana hata hospitali kuna ICU na kwingineko, tupange kwa umakini, isije ikawa wale wanopewa mikopo ni wale ambao wikiendi wanakwenda kwao ostabei, masaki, mikocheni tukaacha wale ambao wwakipewa mikopo wanabana matumizi ili likizo wapeleke hata sabuni nyumbani kwao, KUPANGA NI KUCHAGUA, NI UMAKINI KATIKA KUWACHAGUA HAO, kusiwe na ufisadi tena, labda wengine hatujui kwamba kuna upendeleo sana pale kwenye mikopo. Nandio maana wengine wanalalamika kwani wanaona.
Labda kwa mawazo yangu finyu tungeangalia hivi;
Namba 1: Tunaanza na hawa walioko vyuo vikuu vya serikali kwa sababu wengi wao hawakuonyesha kwamba wanaweza wasiomesha watoto wao kwingine (jaribu kuchukua takwimu ni wanafunzi wangapi wanapangwa sekondari za serikali wanaacha wanakwenda private, wanaoacha vyuo hivyo wakapelekwa nje) hao wanaonyesha kwamba uwezo upo japo wa kujikimu, sasa huwezi kulinganisha hawa na wale ambao wakikosa hapa wanarudi nyumbani kwao kwa sababu hawana mtu wa kuwalipia kwingineko.

Mbili :tunachukua wale waliokwenda vyuo binafsi lakini pia tuna wataalamu wachache katika fani hizo.

Tatu:wale wengine wote japokuwa kwa mchujo muafaka, si kila anayetaka basi anapelekwa hata kama hana uwezo, maana kunakaulimbukeni ka kuchukua hata mtu aliyepata div 4 mbovu tumpeleke chuo kwa vile tu mzazi wake naye anahaki ya kuomba.
 
Ze Marco

Viongozi wetu ndio mwanzo na mwisho wa matatizo haya yote. UCHUMI HAFIFU NI CHANZO CHA MATATIZO HAYA YOTE, mipango ya uchumi inasimamiwa na nani, matumizi mabaya ya pesa KIDOGO inayopatikana serikalini nani anapanga hayo....

Hapo utagundua kuwa wenye matatizo si viongozi, bali watanzania wenyewe ambao kwanza ndio wanachagua viongozi; pili wanawaacha waharibu nchi bila kuwawajibisha; tatu wanajichelewesha kwa kuaanza kuwalilia viongozi hao hao ambao wameshathibitisha kuwa wapo kwa maslahi yao binafsi. Watanzania ni kama tumerogwa, tunaacha kusomesha watoto wetu kwa juhudi zetu, tunailalamikia serikali tukijiaminisha wenyewe kuwa ina uwezo wa kyugharamia mikiopo kwa asilimia 100. Mbona tunaoa, tunakunywa pombe, tunafanya starehe zote bila kuomba mikopo toka serikalini?
 
Naona sasa umeamua kutumia hoja ya nguvu au umekuwa optometrist!?
Au hii ndio ile uliyoita ''kulazimisha kuelewa''?

Kuulizwa umesoma chuo gani Tz, ni hoja ya nguvu? hivi huoni kuwa uko peke yako kwenye hii maada? au umekuwa Galileo??
 
Waziri wa Elimu anapotangaza Bungeni kwamba Tanzania ina wanafunzi elfu 66 kwenye vyuo vya elimu ya juu, na akawaombea fedha za bajeti, lazima anakuwa amejumuisha wote wanohusika.

Serikali inaposomesha vijana wetu nje ya nchi inawalipia kwa asilimia 100. Kuna wakati wanachelewesha malipo, lakini haiwaambii wachangie. Hao unaozumgumzia wewe ZeMarcopolo ni wanaosoma nje privately.

Hoja iliyoko mbele yetu inahusu kuwapa mikopo kwa asilimia 100 wanafunzi wanaosomeshwa na serikali. Haihusu kuwalipia wanafunzi kwenye shule za private.

Pale inapowezekana, ni sahihi kila mtu abebe Msalaba wake. Lakini, katika uchumi ambao wastani wa kipato cha mtu kwa mwaka ni kama shilingi nusu milioni, itawezekananje watoto wa watu wa kawaida kulipa 2.7 mil./=? Na bado matumizi mengine kama ya nguo!

Itakuwa vibaya sana kama tutaamua kuwanyima elimu ya vyuo vikuu watoto wote wa masikini Tanzania. Na zaidi ya nusu ya Watanzania ni masikini ambao hawawezi hata kidogo kuwalipia watoto wao 2.7mil./= kwa mwaka.
 
Asante Augustine na kwa kuongezea - huyo ZeMarcopolo kwa kuwa anasema gharama ya kuwasomesha vijana wetu ni kubwa, anaweza kutaja hata kwa kukisia gharama ya kutowasomesha. Hakuna kitu ghali kama ujinga ila kiboko chake ni kupata elimu.
 
`Loans Board wrongly paid 128m/- to Muhas students`

2009-01-26 10:32:23
By Felister Peter

The Higher Learning Student Loans Board (HESLB) in 2007/08 disbursed erroneously 128m/- to the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (Muhas) for students who receive government grants and are therefore not legible for loans, `The Guardian` has learnt.

Reliable information availed to this paper show that the money was sent by mistake to Muhas for Doctor of Medicine (DM) and Doctor of Dental Surgery (DDS) students, who were not in need of it.

Muhas students` organisation administration President Godbless Charles said that DDS and DM students are allowed to request for loans from the board for meals and accommodation only.

He noted that tuition fees, stationery, faculty equipment and practical allowances for DDS and DM students are provided by the ministry, as a grant.

Charles said that records show that in the 2007/2008 academic year, the Loans board disbursed a total of 166,454,771/- to Muhas, out of which 128,442,371/- was erroneously sent to the university.

He said Doctor of Medicines and Doctor of Dental Surgery accounts for 80 per cent of all students registered at the university. The tuition fees per person, per year are 1.5m/-.

``These people at the loans board are not serious and sometimes they are a source of problems in the universities.

How can they disburse such an amount of money to students who are not entitled, while hundreds of students from other universities have missed the loans?" he queried.

He accused the Muhas administration of deliberately cheating the loans board by sending a list of names of students who they knew were getting a grant from the government, as the board relies on data from the university.

Charles said the board has asked the student`s government to help scrutinise a total of 42 students, if they were really entitled to get loans from the board because there had been complaints that they are from rich families.

He said the mentioned students have already received the loan for 2008/09 academic year.

Out of them, 16 are First Year students and 26 Second Year students.

One of the graduates, Daniel Byamungu, who is currently working at Amana Municipal Hospital in Dar es Salaam, said that during the graduation ceremony last year they were provided with their loan statements showing that they were required to pay back the tuition fees, which as far as they know was covered by the government grant.

``We are not supposed to repay the tuition fees because it is a grant from the ministry. This is unfair, the Loans board and the university must know what is going on,`` he said.

The Muhas Deputy Vice Chancellor for Planning, Finance and Administration Prof Bakari Lembariti admitted to have received the money from the HELSB, saying that after realising that it was sent by mistake, they sent it back.

He said that it was the task of the Loans board to identify the names of the students who were not supposed to get the loan.

``We expected the board to identify the names of students who are entitled for stationery, faculty requirements and practical allowances and the few who are supposed to receive tuition fees,`` he said.

He advised Doctor of Medicines and Doctor of Dental Surgery students whose loan statements include tuition fees to contact the university administration.

``If there are students who are asked to repay the tuition fees while they are on a grant system, they should be refunded,`` said Prof Bakari.

When contacted for comment, the HELSB Director of Loan Allocation and Disbursement Lubambula Lubambula said that he was not sure whether the money was mistakenly disbursed.

He said they are now tracing Muhas student loan files.

Lubambula also promised to give detailed information on Muhas student loans for the past four years this week.

SOURCE: Guardian
 
Asante Augustine na kwa kuongezea - huyo ZeMarcopolo kwa kuwa anasema gharama ya kuwasomesha vijana wetu ni kubwa, anaweza kutaja hata kwa kukisia gharama ya kutowasomesha. Hakuna kitu ghali kama ujinga ila kiboko chake ni kupata elimu.

Mkuu kula tano!, this is notable.

waberoya
 
Mikopo elimu ya Juu: Madaraja kuondolewa, Sayansi kupata mkopo asilimia 100

--------------------------------------------------------------------------------

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), itafanya mabadiliko makubwa ya utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu nchini kwa mwaka ujao wa fedha kama hatua mojawapo ya kupunguza matatizo yaliyokuwa yakiikumba bodi hiyo katika utendaji kazi wake.

Uamuzi huo wa Bodi ulitangazwa jana jijini hapa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Profesa Nicholaus Mbwanji wakati alipozungumza na waandishi wa habari. "Nia yetu kama Bodi ni kufungua ukurasa mpya wa utendaji wetu na zaidi kuweka utaratibu wa utoaji mikopo na vigezo vyake na pia kuishauri serikali katika utoaji mikopo na urejeshaji wake," alisema Profesa Mbwanji.

Alisema chini ya mabadiliko hayo, kuanzia mwaka ujao wa fedha maombi yote ya mikopo yatakuwa yakijadiliwa na kupitishwa na kamati za elimu katika ngazi ya kijiji, kata ama tarafa na baadaye kupitishwa kwa ofisi ya Mkuu wa Wilaya husika. Alisema lengo likiwa ni kuwabaini zaidi ni wanafunzi gani walio na uwezo na ambao hawana uwezo ili wakati wa utoaji wa mikopo iwe ni rahisi kwa Bodi kuyashughulikia maombi yao.

"Lengo la mabadiliko haya ni kuzuia udanganyifu na kuwasilishwa kwa taarifa zisizo sahihi kwetu na maombi ambayo hayakupitishwa katika kamati hizo hayatapokelewa na Bodi," alisisitiza na kuongeza kuwa katika mwaka ujao wa fedha, Bodi pia itaendelea kutumia vigezo sita katika kutambua uwezo wa kiuchumi kwa waombaji wa mikopo inayotolewa na bodi yake.

Kwa mujibu wake, vigezo hivyo ni historia ya elimu ya mwombaji ili kumbaini mwombaji anayeghushi nyaraka za kujiunga na chuo; kiwango cha elimu ya wazazi wake; shughuli zake za kiuchumi; mali za mwombaji na za wazazi wake; hifadhi yake ya maisha na hali yake ya kijamii kwa ujumla.

Kuhusu sifa kwa wale wanaopatiwa mikopo, alisema sifa za ufaulu kwa viwango vya daraja la kwanza na la pili havitatumika tena kuanzia mwaka ujao wa fedha na badala yake, Bodi itazingatia udahili unaofanywa na vyuo vya elimu ya juu nchini. "Nawaomba Watanzania watambue kuwa katika kuzingatia mpango huu, wanafunzi watakaopata udahili katika kozi za sayansi kwa mwaka 2009/10 watapewa mikopo yao kwa asilimia mia, hii imetokana na kubainika kuwa wanafunzi wa sayansi wanaonufaika na mikopo hiyo imekuwa ni pungufu ya asilimia 35 tu, hali hii sio nzuri kwa taifa letu," aliongeza.

Chanzo: Habari Leo
 
Ya,uamuzi mzuri kwa upande wa bodi/serikali.Lakini naona hapa pia kuna changamoto kwa serikali kuhakikisha kuwa inainua/inaboresha kiwango cha elimu katika hizi shule 'za serikali'.Kwani ni dhahiri kuwa kuna tofauti kubwa katika mazingira ya upatikanaji wa elimu ktk shule hizo.Mambo kama walimu walio na uwezo,vitabu vinavyokidhi katika maktaba(if any),maabara na mengineyo yanabidi kuangaliwa kwa kina.Vinginevyo nadhani uamuzi huu unaweza ukawa unawapa nafasi wale wapatao elimu ktk mazingira bora(shule za st. Something).Na hili likitokea tutajikuta tukiwaacha solemba wale waliopata elimu katika mazingira duni ambao naamini kuwa wengi ni watoto kutoka ktk familia maskini.
 
Jama eee achaneni na huyu Ze Marcopolo. Huyu ni sawa na watawala wetu waliosomeshwa bure kabisa lakini leo watu hawataki kusoma bure bali kwa mkopo lakini leo hii utawasikia eti hakuna elimu ya bure siku hizi. Huyu Ze Marcopolo amesoma U-Czec (Chekslovakia) kwa pesa ya walipa kodi wa Tanzania na hawa walikuwa wanapewa pesa siyo mkopo kwa aslimia elfu moja na moja hadi pesa za kununulia nguo zao za ndani leo eti anasema Watanzania wajisomeshe. Yeye pesa aliyotumia miaka yote huko tukimwambia alipe ataweza. Ubinafsi mtupu and very disgusting.
 
Back
Top Bottom