Tanzania haina udhuru kuwa maskini; haielewi - Balozi wa Ujerumani

Inamaana hata we hujui!! ................ au ndo unafiki wenyewe!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hebu tujadiliane inakuwaje tanzania nchi yenye rasilimali nyingi za kipekee lakini bado ni masikini na wananchi wake wanaishi maisha duni?

Poor Leadership Chini ya CCM. However, resources are not, they become. Vingozi wa CCM wameshindwa kuntransform the natural resources available into opportunities to improve the social economic well being of Tanzanians.
 
Fedha tunazopata kutoka katika Rasilimali za nchi hii kutumika Kulipana Posho na Kusafiria nchi za nje badala ya fedha hizo kuwekezwa kwenye viwanda ili watanzania wengi wapate ajira na vipato vyao kuongezeka ili waondokane na Umasikini.
 
Nan kasema tanzania ni nchi maskini? Tanzania ni nchi ya 8 kwa utajiri duniani.......sema kwa bahati mbaya watu wake ndio maskini
 
1.Tumemuas Mungu. 2. uvivu. 3. Mawazo mgando. 4. Siasa chafu. 5. Roho mbaya.
 
We are poor because we are poor (inaanza hivi; poor dad, poor mom, poor familly, poor street, poor ward, then poor district and finally poor Nation).

My take, Mabadiliko yana anza na wewe....
 
CHADEMA ndo tatizo kuwajaza watu kama wewe ujinga huo

kikwete+cheu.jpg


dole tupu bila ukucha
 
Back
Top Bottom