Tanzania haina mshiriki - IAAF world junior championships

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Jamani, I stand to be corrected, lakini sijaona Mtanzania yeyote kwenye haya mashindano.

haya mashindano ndo yanatoa platform for future athletees ulimwenguni.

Nimeona nchi karibia zote za africa kasoro Tanzania na ofcourse South Sudan.

Hatuna wanariadha wajameni??

Bado tuko kwenye :sleepy: .

Wizara ya michezo wapi???
 
Kuna kisa kimenitokea siku mbili zilizopita....Nilikuwa park,sasa kuna mama mmoja wa kigeni mume wake ni m-Tanzania na ana watoto wawili sasa yule wakiume ana kama miaka minne muda wote yeye anakimbia kuzunguka park,nilimwambia yule mama hebu mwambie huyu mtoto akae chini kidogo,akanijibu huyu mtoto wa ajabu naona Baba yake kanidanganya atakuwa ni m-Kenya au mu-Ethiopia baiskeli yake pia anaridhia aendeshe mtoto mwingine yeye awe ana mkimbiza.

Narudi kwenye mada sio tu kuwa tumejisahau bali ulimwengu pia umetusahau,Tunasubiri muujiza atokee "Hasheem Thabeet" mwingine.
 
KAZI TUNAYO!!
Lakini najiuliza ni lipi twaweza kujivunia kama waTZ?
 
Kwa hili naanza kuona umuhimu wa uraia wa nchi mbili (hata kumi). Tutaweza kuwakodisha WaKenya, Waethiopia, WaSerbia, n.k. ili watuwakilishe kwenye mashindano. Nadhani hata kwenye international conferences na professional forums tunahitaji wageni watuwakilishe kwa sababu mara nyingi wanaotuwakilisha wakifika huko wanakuwa mabubu. Ufanisi wao pekee ni shopping zao. Hata machapisho wanayokuja nayo wakifika yanatupwa. Hayana maana tena. Ugonjwa unaanzia kwa Mkuu wa Kaya. Ingekuwa kutembea ndiyo mafanikio tungekuwa kileleni.
 
Back
Top Bottom