Tanzania haijawahi kutawaliwa na mkoloni

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Jamani nadhani tunakosea sana kuua dhaana halisi ya maadhimisho ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru. Utakuta kuongozi wa ngazi ya juu anautoa matamko yasiyo sahihi kuwa eti mwaka huu tutaadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Nakataa Tanzania haijawahi kutawaliwa na mkoloni miaka 50 iliyopita. Ila kwa sasa Tanzania ndiyo kwanza iko katika mchakato wa KUTAWALIWA NA WAKOLONI TOKA NCHI MBALIMBALI KILA MMOJA AKILENGA MASLAHI YAKE KIUCHUMI. Wapigania uhuru wapo tunao akina Zitto Kabwe, Dr Thlaa (Slaa) Freeman Mbowe,na wengine wengi.
 
Samahani kwa kutoka nje ya topic. Ulipotea sana hapa jamvini nikadhani umetupa jongoo na mti wake. Nafurahi kukuona tena.
 
Mkuu kwa hiyo tukisema tunasherehekea Uhuru wa Tanganyika itakuwa sawa au bado hata huo wa Tanganyika haukuwa uhuru?
 
Back
Top Bottom