Tanzania government condemns Israel

But sisimizi akisema ukweli ni ukweli tuu.. It is against international law to attack a ship in international waters and kill civilians... In fact Turkey ought to have responded by declaring war on Israel because that is what that act amounts to. Infact their EU bid is probably the only reason that they have not declared war. It would have been completely fair if they did.
 
The Israel Defense Forces military advocate general said Israel's interception of the flotilla was legal because international law allows a country to stop a vessel in international waters if it attempts to breach a naval blockade
 
international law ipi unayoijua wewe msomi wa sociology unaleta kujifanya unajua sheria hapa? nenda soma israel walivojibu iyo post yenu kuwa ship ikiwa kwenye international water haitakiwi kuvamiwa, kwasababu mmesikia kwa human rights lawyers ndo mnafikiri hao nao ni wanasheria?, kama meli iko kwenye international water inaweza kuvamiwa kama kawaida kama inataka kuviolate blockade..go back to school

"The Israel Defense Forces military advocate general said Israel's interception of the flotilla was legal because international law allows a country to stop a vessel in international waters if it attempts to breach a naval blockade"
 
UbungoUbungo,
Wewe uliyeenda shule unaweza kutuambia ni kifungu gani cha sheria za Kimataifa kinaruhusu nchi kuvamia meli ndani ya International water.. vizuri pia ukitueleza sheria ya kimataifa iliyoruhusu sasa hivi naval blockade kwa Gaza. Utatusaidia sana sisi wengine kuelewa...
 
In fact Turkey ought to have responded by declaring war on Israel because that is what that act amounts to

Turkey can't by any means fight Israel. Likewise there is none in the middle East with such a might military capability to fight Israel. The fact remains, you can't use international waters rules to instabilise any nation, and likewise, there is no stupid nation that can fight innocent flotilla passingby its borders without any concrete reasons. We will soon know of what transpired prior to the attack.
 
The Israel Defense Forces military advocate general said Israel's interception of the flotilla was legal because international law allows a country to stop a vessel in international waters if it attempts to breach a naval blockade

C'mon Ubungoubungo dont be slippery like MS. Ehee tuambie hiyo naval blockade (in this case on Gaza) iliwekwa chini ya mamlaka gani ya kimataifa na sheria gani ya kimataifa inayoruhusu nchi kuweka naval blockade dhidi ya nchi nyingine. Tuambie. kama ni UN, sema. kama ni EU sema. Kama ni Israewl yenyewe (yaani unilatreal action) usisite kusema.

Mimi ntakubali meli za wanaharakati zilibreach hiyo naval blockade on Gaza na hivyo kubreach international law iwapo tu kama hiyo blockade iliwekwa kihalali na UN. Vinginevyo ni ubabe tu -- law of thge jungle.

Harakisha jibu na usiwe slippery.
 
Mzee, achana na huyo -- hupati kitu hapo kabisa -- hana hoja kabisa, anazungushazungusha tu kwa kung'ang'ania kwamba kuweka naval blockade dhidi ya nchi nyingine kwa lengo la kuiumiza ni haki ya nchi yoyote na kwamba inaruhusiwa kisheria!. Ingekuwa hivyo sijui dunia ingekuwaje.
 
Turkey can't by any means fight Israel. Likewise there is none in the middle East with such a might military capability to fight Israel. The fact remains, you can't use international waters rules to instabilise any nation, and likewise, there is no stupid nation that can fight innocent flotilla passingby its borders without any concrete reasons. We will soon know of what transpired prior to the attack.

U need to understand Israel politics especially the military and intelligence establishment to understand why Israel did what they did as foolishly as it looks like.

The goal was not risking declaring war against the only capable middle east nation to stand against it militarily and economically, but it was to stop the Master Spoiler Netanyahu from kitimoto cha Obama which was to take place in few hours before the cowardly attack. If they were to wait for the flotilla to reach Occupied Palestine waters - an intentional recognized Palestine territory, Netanyahu would have already meet Obama na forced to make concession particularly halting the illegal settlements constructions in East Jerusalem. Remember, Natanyahu click is as extremist and militaristic as Hamas. They all believe in destroying each other however long and horribly it will take.

Omarilyas
 
Inashangaza, inaumiza na inatisha kuona kuwa kuna watanzania ambao wamebahatika kuona madarasa na kujua kujisomea wanaamini kuwa msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu ubabe wa Israeil unatokana na ama kwa kuwa Rais wetu ni Muislamu ama waziri Membe alitaka kuwafurahisha Waislamu ambao ni watanzania pia na sio kufuata misingi ya Siasa zetu hasa katika Masuala Ushirikiano wa Kimataifa. Hii inaonyesha ni jinsi gani UTANZANIA umeweza kuondoka miongoni mwetu na kubakiwa na umimi na uwao. Cha ajabu ni kuwa haohao wanaolalamika kuwa msimamo wa serikali unatokana na kuwafurahisha watanzania wa aina fulani hawachoki kulalama kuwa serikali yetu hufanya karibuni yote ili kufurahisha wafadhili/wakoloni mambo leo/mataifa ya magharibi.

Jamani yawezekana Tanzania imeondokana na Activist orientation of our foreign policy for pragmatic/economic diplomacy but as long as we still have the few people who whatever their mapungufu bado wanaamini kuwa historia yetu na misingi yetu ina umuhimu katika utaifa wetu hata kama kiujanjaujanja, misingi ya nchi hii itaendela kukumbukwa. Labda tusubiri kina CCJ waingie kuwakomba watanganyika.....

Na kama hujui misingi ya siasa zetu za mambo ya nje tafuta Tanzania's New Foreign Policy 2002.

Kwa hiyo jamani hata kama unaona madhila ya wapalestina/waarabu/waislamu hayakuhusu basi jitahid hata kuthamini misingi ya nchi yako inayokufanya wewe ujitanabaishe kama MTANZANIA.

omarilyas
 
Bwana mdogo, nakupa fanya experiment moja, chukua jambia moja, kaa barabarani, ukiona kuna gari ya wanajeshi inakuja kwako, chukua jambia anza kuwakata wanajeshi, chukua nyundo na marungu wapige wale wanajeshi, kamata wengine weka katikati ya barabara ili wafe kwa kugongwa, alafu utasikilizia wale wanajeshi wenye silaha kama watasema wewe huna silaha nzito....utapata cha mtema kuni...

video inaonyesha wazi kuwa activists walikuwa violent, waliwapiga wanajeshi wa israel waziwazi mwenyewe umeona, walianza kurusha risasi baada ya kuona wale makomandoo walioshukia kwenye meli wamepigwa na wanarushwa baharini na hao unaowatetea...ulitegemea israel watulie tu wakati wana silaha nzito kuwaacha makomandoo wao kutumbukizwa kwenye maji? mnatoa povu bure bila kufikiri akili kumkichwa..

Nadhani huyu jamaa yetu alitaka israeli nao warudi nyumbani wakachukue nyundo,beleshi na jambia
 
Inashangaza, inaumiza na inatisha kuona kuwa kuna watanzania ambao wamebahatika kuona madarasa na kujua kujisomea wanaamini kuwa msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu ubabe wa Israeil unatokana na ama kwa kuwa Rais wetu ni Muislamu ama waziri Membe alitaka kuwafurahisha Waislamu ambao ni watanzania pia na sio kufuata misingi ya Siasa zetu hasa katika Masuala Ushirikiano wa Kimataifa. Hii inaonyesha ni jinsi gani UTANZANIA umeweza kuondoka miongoni mwetu na kubakiwa na umimi na uwao. Cha ajabu ni kuwa haohao wanaolalamika kuwa msimamo wa serikali unatokana na kuwafurahisha watanzania wa aina fulani hawachoki kulalama kuwa serikali yetu hufanya karibuni yote ili kufurahisha wafadhili/wakoloni mambo leo/mataifa ya magharibi.

Jamani yawezekana Tanzania imeondokana na Activist orientation of our foreign policy for pragmatic/economic diplomacy but as long as we still have the few people who whatever their mapungufu bado wanaamini kuwa historia yetu na misingi yetu ina umuhimu katika utaifa wetu hata kama kiujanjaujanja, misingi ya nchi hii itaendela kukumbukwa. Labda tusubiri kina CCJ waingie kuwakomba watanganyika.....

Na kama hujui misingi ya siasa zetu za mambo ya nje tafuta Tanzania's New Foreign Policy 2002.

Kwa hiyo jamani hata kama unaona madhila ya wapalestina/waarabu/waislamu hayakuhusu basi jitahid hata kuthamini misingi ya nchi yako inayokufanya wewe ujitanabaishe kama MTANZANIA.

omarilyas

Hapo kwenye nyekundu....."wewe wasema" na inawezekana ulichokisema kuhusu mawazo ya hao wasomi juu la hili tamko kina ukweli MKUBWA ..... omari unajua kwanini wasomi hao wanaamini hivyo? hakuna jambo lisilo na sababu......!!!!! maskini membe!
Mix with yours
 
C'mon Ubungoubungo dont be slippery like MS. Ehee tuambie hiyo naval blockade (in this case on Gaza) iliwekwa chini ya mamlaka gani ya kimataifa na sheria gani ya kimataifa inayoruhusu nchi kuweka naval blockade dhidi ya nchi nyingine. Tuambie. kama ni UN, sema. kama ni EU sema. Kama ni Israewl yenyewe (yaani unilatreal action) usisite kusema.

Mimi ntakubali meli za wanaharakati zilibreach hiyo naval blockade on Gaza na hivyo kubreach international law iwapo tu kama hiyo blockade iliwekwa kihalali na UN. Vinginevyo ni ubabe tu -- law of thge jungle.

Harakisha jibu na usiwe slippery.

The Legal Doctrine of Blockades

Under the San Remo Manual and the laws that it codifies, blockades are a legitimate tool in armed conflicts. Of particular relevance here, paragraph 98 states that merchant vessels that attempt to run a blockade can be not just boarded but actually attacked, ie fired upon:

98. Merchant vessels believed on reasonable grounds to be breaching a blockade may be captured. Merchant vessels which, after prior warning, clearly resist capture may be attacked.

SECTION II : METHODS OF WARFARE

Blockade

93. A blockade shall be declared and notified to all belligerents and neutral States.

94. The declaration shall specify the commencement, duration, location, and extent of the blockade and the period within which vessels of neutral States may leave the blockaded coastline.

95. A blockade must be effective. The question whether a blockade is effective is a question of fact.

96. The force maintaining the blockade may be stationed at a distance determined by military requirements.

97. A blockade may be enforced and maintained by a combination of legitimate methods and means of warfare provided this combination does not result in acts inconsistent with the rules set out in this document.

98. Merchant vessels believed on reasonable grounds to be breaching a blockade may be captured. Merchant vessels which, after prior warning, clearly resist capture may be attacked.

99. A blockade must not bar access to the ports and coasts of neutral States.

100. A blockade must be applied impartially to the vessels of all States.

101. The cessation, temporary lifting, re-establishment, extension or other alteration of a blockade must be declared and notified as in paragraphs 93 and 94.

102. The declaration or establishment of a blockade is prohibited if:

In addition, under Section IV, paragraph 60 (e) enemy merchant vessels become a legitimate military target after

refusing an order to stop or actively resisting visit, search or capture;

This is exactly what the Gaza-bound vessels did, thereby rendering themselves military targets.

If one argues that they were not enemy vessels since they were not flying the Hamas flag, they would still be covered under the sections of San Remo regarding neutral vessels:

SECTION V : NEUTRAL MERCHANT VESSELS AND CIVIL AIRCRAFT

Neutral merchant vessels

67. Merchant vessels flying the flag of neutral States may not be attacked unless they:

(a) are believed on reasonable grounds to be carrying contraband or breaching a blockade, and after prior warning they intentionally and clearly refuse to stop, or intentionally and clearly resist visit, search or capture;

(b) engage in belligerent acts on behalf of the enemy;

There is therefore no doubt that Israel was well within its rights to establish and enforce the blockade, including boarding and taking over the Gaza-bound ships in international waters. Israel would even be within its rights to attack such ships if they refused orders to change course away from Gaza. I HOPE THIS HELPS MKANDARA, AND THAT PERSON SMOKING WEED! ZAK MALANG IS MAD KWASABABU YOU ARE EMPTY! ZAK MALANG, THE SAM REMO MANUAL IS THE MANUAL CONTAINING CUSTOMARY INTERNATIONAL HUMANITARIAN LAW APPLICABLE TO ALL STATES, ITS THE MAJOR GUIDING INSTRUMENT FOR BELLIGERENT PARTIES...
 
UbungoUbungo,
Mkuu mbona unajichanganya?

Kwanza, inatakiwa sheria ya Blockade kusimamishwa ili adhabu ya kuzuia meli itumike. Hakuna ruhusu ya kuvamia meli kama hakuna declaration of BLOCKADE...Soma kifungu 101. The cessation, temporary lifting, re-establishment, extension or other alteration of a blockade must be declared and notified as in paragraphs 93 and 94. Haikufanyika hivyo!

Pili, huwezi kuweka Blockade ndani ya international water...yoote uloandika haya apply ktk sakata hili.

Tafuta sheria nyingine kuhalalisha uvamizi huu..
 
mkandara, nimeandika kwa kifupi sana hapa kwasaababu ningeandika nakukoti kila kinachohitajika kwenye san remo manual, ningejaza ukurasa na niliona watu watapoteza appetite kusoma kitu kirefu, hivyo nimeandika kwa kifupi sana, ila kwa kukusaidia tu, blockade ilikuwa declared na hiyo meli ilikaidi, walipewa warning na walikaidi...walikuwa legitimate target kabisa na ndio maana hawana hata basis ya kuwafanya viongozi wa jeshi la israel kuwa responsible katika mahakama ya jinai ya kimataifa icc kwenye command responsibility...na viongozi wa jeshi wa israel walilijua hili hata kabla hawajavamia ile meli...unatakiwa kujua ya kuwa, pamoja na kwamba nimehangaika kukuletea sheria inayoipa state haki ya kuweka blockade, HAKUNA SHERIA INAYOIKATAZA NCHI kuivamia meli iliyoko kwenye international water kama kutakuwa na sababu inayoridhisha kwa nchi hiyo kufanya hivyo......kama ipo ilete, na kwasababu haiko sheria inayozuia kitu kama icho, basi hakuna violation iliyotokea...mlichoshikilia nyie ni general rule bila kujua ya kuwa kuna exception yake..

all in all, nafikiri tufunge ukurasa huu wa israel ili tujadili mambo mengine, kwasababu hadi uje uelewe mkandara unahitaji uende chuo cha jeshi kabisa, mtu akikuambia hivihivi kama ninavyokwambia mimi, huwezi amini kwasababu tayari unayo yale unayoyaamini wewe pamoja na kwamba wewe si mwanasheria za kimataifa...so ni sawa na mtu kuanza kumbishia doctor wa medicine wakati yeye hajui kabisa kuhusu profession hiyo....bye bwana, sisi ni watz ngoja tujadili mambo mengine ya maana...
 
Mkuu UbungoUbungo,
Nakuomba andika kidogo tu kifungu kinachoruhusu nchi kuvamia meli pasipo declaration of blockade na under international water. ONLY that kitafute kifungu hicho peke yake na kiweke hapa. Ooooh by the way, ebu nionyeshe hiyo blockade iliyokuwa declared na Israel maadam umesema ilikuwepo, nina hakika kisheria ni lazima mashirika yote ya meli yalikuwa notified. Again hakuna sheria yoyote ya kimataifa inayoruhusu blockade kwa meli au ndege ktk international water - HAKUNA. Unless unatumia imani yako kuwa Israel wanakuwa answerable only to God.
 
For how long the occupier regime Israel will be above the international law ???
 
Ubungo Ubungo,
Mkuu sasa huu ujinga....Majuzi tu North Korea waliizamisha meli ya South Korea katika International water tenameli ya kivita na imekuwa kasheshe kubwa kisheria. Afadhali hao North Korea wamedai hawakufanya hivyo, ikiwa na maana kuna mtu mwingine sio wao. Au unaunga pia mkono walichokifanya Korea kaskazini?

Leo wewe unakuja hapa na kutetea Uozo huu kwa madai yasiyokuwa na sheria isipokuwa kwa Israel. Mapenzi gani haya hata kidini hayafai kabisa, kwa sababu ya misaada mingi kama hii huko Gaza hunatolewa na taasisi za Kikristu..Sasa sielewi tofauti yako wewe na wao kiimani ni ipi?
 
Mkuu UbungoUbungo,
Nakuomba andika kidogo tu kifungu kinachoruhusu nchi kuvamia meli pasipo declaration of blockade na under international water. ONLY that kitafute kifungu hicho peke yake na kiweke hapa. Ooooh by the way, ebu nionyeshe hiyo blockade iliyokuwa declared na Israel maadam umesema ilikuwepo, nina hakika kisheria ni lazima mashirika yote ya meli yalikuwa notified. Again hakuna sheria yoyote ya kimataifa inayoruhusu blockade kwa meli au ndege ktk international water - HAKUNA. Unless unatumia imani yako kuwa Israel wanakuwa answerable only to God.

usiongelee bockade kwenye international water kwa habari ya issue hii, kwasababu kitu icho hakipo...ongelea israel kwenda kuteka meli iliyoko kwenye international water, ndo disputing issue hapa...hakuna mtu amesema blockade kwenye international water inaruhusiwa...ila uvamizi wa meli iliyopewa onyo ikakaidi, meli inayohisiwa kuwa na vitu vibaya, meli inayohisiwa reasonably kuwa inahatarisha maisha ya nchi hiyo...you seem not to understand something, tangu mwaka 2007 hata umoja wa mataifa na mataifa yote yanajua kuwa israel ilideclare blockade Gaza, goldstone report ilikuwa inalalamikia hilohilo, imefika mwaka 2010 unaniambia nikuonyesha wapi israel ilitoa declaration of blockade, uko dunia gani wewe? hiyo meli ilikuwa inajua kuwa kuna blockade ya miaka mingi, na safari zooote za ile meli ilikuwa ni kwasababu ya ile blockade inayozuia vitu kuingia gaza, walikuwa wanataka publicity ili kuyafanya mataifa yaishambulie israel kwa maneno etc ili ifungue hiyo blockade, sasa unataka nini ndugu yangu?

nakubali kuwa hakuna sheria inayoruhusu blockade kwenye international water, na hii sio disputing issue hapa so umeongea pointless, hapa tunaongelea uhalali wa israel kuvamia meli ilioko kwenye international water hatuongelei uhalali wa blockade kwenye international water kwasababu israel hawajafanya hivyo...labda ungeenda kama wenzio waliokuwa wanataka kuelekea kwenye piracy, hapo ndo ningeona una uelewa fulani na issue inayosumbua hapa....nashindwa nikujibu nini kwasababu hauamini kuwa kulikuwa na declaration ya blockade inayotambuliwa na mataifa yote...na kwasababu umekosea njia kwenye uulizaji swali wako, sielewi, labda ulete swali lingine...

nitakujibu maswali mengi tu, hapa niko safarini, nikitulia nitakuandikia lecture nzima na vifungu vyote full muziki usome hadi uchoke mwenyewe pengine utasaidia na watu wengine kama wewe, wanaoongozwa na chuki dhini ya wayahudi.
 
Ubungo Ubungo,
Mkuu sasa huu ujinga....Majuzi tu North Korea waliizamisha meli ya South Korea katika International water tenameli ya kivita na imekuwa kasheshe kubwa kisheria. Afadhali hao North Korea wamedai hawakufanya hivyo, ikiwa na maana kuna mtu mwingine sio wao. Au unaunga pia mkono walichokifanya Korea kaskazini?

Leo wewe unakuja hapa na kutetea Uozo huu kwa madai yasiyokuwa na sheria isipokuwa kwa Israel. Mapenzi gani haya hata kidini hayafai kabisa, kwa sababu ya misaada mingi kama hii huko Gaza hunatolewa na taasisi za Kikristu..Sasa sielewi tofauti yako wewe na wao kiimani ni ipi?

mkandara, issue ya north korea ni tofauti ya issue ya israel,,,,hakukuwa na sababu yoyote kwa north korea kuizamisha meli ya south korea, lakini kulikuwa na sababu ya kuivamia meli ya wanaharakati kule mido isti. hii ya middle east, walijua kabisa kuna blockade, wakawa wakaonywa kuwa wasije kama vile meli zingine kibao ambazo ziko njiani sasa hivi kwenda pamoja na kwamba wanajua kuna blockade na wenzao juzi walitunguliwa, ...wanafanya hivyo kwa kiburi na kutaka publicity tu, ni vita ya aina yake dhidi ya israel, wanataka kuonewa huruma na international community....unaona?...n.korea haikuwa na sababu yoyote kuivamia meli ya south, lakini israel ilikuwa na sababu..hauoni iko wazikabisa hiyo? kwani kikao cha security council kilichokaa majuzi kimesemaje? hawana la kusema, huruma kwa wapalestina wanaiona, lakini pia hawaoni kosa la israel kwasababu hao wanaharakati walijua na walifanya makusudi..

issue hii ni tofauti kabisa na issue ya meli hii na israel, lete mfano mwingine..umeenda mbali mno umepotea kabisa..
 
Back
Top Bottom