Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
- Thread starter
- #21
sijasikia serikali yetu ikilaani Korea ya Kaskazini.. baada ya kulipua nyambizi ya Korea ya Kusini.. ama..
tuballaya.. ulitaka hizo meli zivunje naval blockade iliyowekwa na sovereign state kulinda usalama wake ili kiwe nini? ulitaka Israel wapishe tu kwa sababu ni "humanitarian aid"..hivi kweli unafikiri hakukuwa nanjia nyingine yoyote ya kupitisha misaada? Kwanini hawakulazimisha kupitisha misaada kwenye mpaka wa Misri na Gaza kwa kupiitisha magari kwa nguvu na tuone kama Misri wangeacha tu wapite kwa sababu hiyo hiyo.
Hivi kulikuwa na haja ya ka nchi kama Tanzania kutoa hilo tamko?
Au Membe aliona thread ya mtu mmoja aliuliza humu kwa nini serikali haijatoa tamko au inasubiri msimamo wa Marekani ndio wakakurupuka?
tuballaya.. ulitaka hizo meli zivunje naval blockade iliyowekwa na sovereign state kulinda usalama wake ili kiwe nini? ulitaka Israel wapishe tu kwa sababu ni "humanitarian aid"..hivi kweli unafikiri hakukuwa nanjia nyingine yoyote ya kupitisha misaada? Kwanini hawakulazimisha kupitisha misaada kwenye mpaka wa Misri na Gaza kwa kupiitisha magari kwa nguvu na tuone kama Misri wangeacha tu wapite kwa sababu hiyo hiyo.
Huu udini utatupeleka pabaya sana. Kama kitendo cha wazi cha kiharamia kama hiki kinajaribiwa kuwa 'justified' sijui kuna kitu gani ambacho Israel inaweza kukifanya kiwe makosa!
Sipendi kurudia point kadhaa hapo juu lakini napenda kukumbusha kwamba lengo la meli hizi lilielezewa tagu mwanzo kuwa ni kupeleka chakula, madawa na vifaa vya ujenzi ambavyo vimezuiliwa. Labda tuzungumzie uhalali wa Israel kuzingira Gazza. Israel ilianza kuizingira Gaza pale Wapalestina, kwa uhuru wao wa kidemokrasia, na kwa uchaguzi huru, walipokichagua chama cha Hamas. Hamas inasisitiza kuwa haikubali maafikiano yeyote na Israel chini ya kurudisha ardhi waliyoiteka mwaka 1967 (Na hivyo ndivyo yanavyosema maazimio 13 ya Umoja wa Mataifa). Kwa hiyo, hata Israel kuweka siege Gaza ni haramu kwa International law. haya, makosa ya hawa International humanitarians yanatokea wapi?
Imagine, wakai baada ya vita vya pili Soviet ilipoweka siege juu ya Berlin, unataka kusema Marekani ilikuwa inafanya makosa kupeleka chakula huko kwa njia ya anga? Na kwamba Soviet ingeangusha ndege hizo wangekuwa na haki kwa vile wamesema wameweka 'siege'? Jamani, hivi haki siku hizi imekuwa haijulikani hata kwa wale wanaojitia 'wasomi'?
lets talk about humanitarian 'aid'... hivi hawa wenye hii misaada mbona hawailazimishi kupeleka Darfur au Somalia? au wenye shida hasa za kibinadamu ni wa Gaza tu?
My Take:
Really? Unprovoked?
Nadhani Tz should keep low profile kwene issue nyingine. Sio kifront kwene kila issue.