Tanzania finance act 2013

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,269
4,569
Ndugu wana JF, wakati wa kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Tanzania sikuweza kufuatilia hivyo sifahamu kama mapendekezo yote yaliyokuwa kwenye hotuba ya bajeti yalipitishwa kuwa sheria. Naomba sana mwenye nakala ya Finance Act 2013 (final version) anipatie nakala
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Watu bado wako kwenye hangover ya sikukuu ya ujio wa obama.kuwa mvumilivu kidogo
 
Back
Top Bottom