Matokeo kama yalivyotangazwa na NEC muda mfupi uliopita
so far:
nitaendelea kuwapa za uhakika kadri zinavyotangazwa na Tume na kuwa updated kwenye mtandao wa mwananchi link: Mwananchi Election Editions
- Kikwete 64% 105,940
- Slaa 25% 41,198
- Lipumba 8% 13,812
hii ina issue yote as it is confirmed by NEC.
man i was expecting more votes for Slaa but havent give up yet
Hope upepo utabadilika wakishatoka kwenye hizo ngome za CCM na CUF
ila jamani kwenye hayo majimbo ambayo yameshatangazwa mbona naona kama vile kura alizopata slaa haziendani wala kulingana na enthusiasm iliyokuwepo. Au ni mimi tu nionaye hivyo?
Katika hizo ngome za CCM usiiweke Babati. Watu wa kule walikuwa na sababu zote za kumpa ushindi wa kishindo Slaa.
JK atashinda tena kwa margin kubwa tu. Hii haisemi kwamba ni raisi bora. Nadhani ni matatizo ya wapiga kura.
Sio kwamba ni matatizo ya tume ya uchaguzi.... call me anything but mimi sijazikubali hizi kura zinachukua masaa kibao kutangazwa
wanabodi,
niko katika ukumbi huu wa paradise city hotel, ambapo kwa mara ya kwanza tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu ile jana, tume ya taifa ya uchaguzi, nec, ndio inatangaza rasmi matokeo ya urais.
Chumba kimefurika wanahabari wa kitaifa na kimataifa, pia tv ziko live kutoka ukumbini hapa, nitawaletea kinachojiri, ile wale wenye access na tv fuatilieni na kutupa updates
Mwelekeo ni ushindi wa kuridhisha wa ccm!
May your the one how is poor.are you poor in mathematics or what? hizo perentage mbona ni 113?