Tanzania earning 1.9 in mines!

Na wageni bado wanaendelea kukwapua madini yetu bila Watanzania kunufaika na lolote kutokana na rasilimali kubwa tulizojaliwa na Muumba.
hicho tunachopoteza kinakwenda mifukoni mwa watu tena watanzania. usifikiri walisaini huku hajui wanacho saini, hiyo lugha ni ya kutudanganya sisi.
 
hicho tunachopoteza kinakwenda mifukoni mwa watu tena watanzania. usifikiri walisaini huku hajui wanacho saini, hiyo lugha ni ya kutudanganya sisi.
Pamoja na kujua au kutojua wanachosaini kwenye hiyo mikataba, ushawahi kujua modality ya kusaini mikataba ya kimataifa na minono kama hiyo? hebu uliza waliowahi kushiriki............. in short mnaweza toka hapa kwenda USA kujadili mkataba na baaadaye kusaini,lakini mkifika huko kwanza mnapewa lodge nzuri sana huduma bora na aina zote za anasa,mkishakuwa mmechoka sasa ndio mambo ya mikataba yanakuja,definetely kwa wakati huo akili zimechoka,baadhi yenu washalewa au ni tayari saa tano tano sita usiku wengine wanasinzia document yenyewe page 25-30 atasoma mtu kweli hapo?

wengine walishawahi kwenda kujadili wakafika pale wakaambiwa hapa hakuna cha kuadili ni kusaini tu, kwani US president anasubiri kusikia mkataba umesainiwa wengine waliambiwa mwana mfalme wa uarabuni anakuja kusaini na huwa habishiwi kwa hiyo wasaini tu.

These people hawana confidence at all, na mbaya zaidi wakuu wa misafara ndo wabovu kabisa maana hawa ndio huwa wanawekwa sawa ili wengine wasiwe na kauli na kwa kuwa kiprotocol ukitaka kuongea lazima upitie kwa mwenyekiti,sometimes hiyo nayo inachangia mianya ya mikataba mibovu,na tukirudi hapa home duh,wakuu nao wana interest zao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom