Tanzania Daima wamegwaya?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Toleo la kwenye mtandao la Tanzania la Siku ya Jumapili lilikuwepo hewani kwa muda lakini baadaye leo baada ya kuingia la Jumatatu la Jumapili limetoweka. Sasa hivi ukiendana kurudi nyuma kutoka toleo la Jumatatu na kusema unataka toleo la jana (Jumapili) linakupeleka toleo la Jumamosi.

Toleo la Jumapili lilikuwa na makala ya "Hawa wawajibike vifo vya watoto Tabora!"

Well, inawezekana ni tatizo la kiufundi au wamepata muda wa kunywa chai na mtu aliyekuwa 'activated"!!!

Nilidhani kuna uhuru wa mawazo na maoni. Natumaini ni suala la kiufundi tu.
 
dont worry mwanakijiji nimenunua nakala ya tanzania daima ya jumapili, kwa ajili ya makala hiyo, so kama haitapatikana mtandaoni tunaweza tukaiscan na kuhifadhi kwa ajili ya matumizi ya mbeleni.
 
Hata mie nimelipata toleo na jana na hiyo makala ya vifo vya watoto Tabora,na link ni HII
 
Back
Top Bottom