Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

acha jazba mkuu. mimi kilichonishtua muhariri kumtukana mlalamikaji

Unauhakika gani mharir alimtukana huyo bwana? Tusubri tuone, nami nitatafuta watu tulifungulie kesi AL NNUR turejee mambo ya msingi waliyoambiwa kuzingatia wakati wanapewa kibali cha kuchapisha hilo GAZETI OVYO!
 
Nchi hii haina waandishi ndo maana unaona madudu kila siku. Watu wanaweka mbele hisia zao badala ya ukweli matokeo yake hata mtoto mdogo anatambua upuuzi wanaoandika. Safi sana Sheikh waburuze mahakamani ili wakome kuandika uzushi na upotoshaji.
Wapo wengi. lkn wanajifanya chongo. likija swala la Padri. stori na picha inapitiwa na waaandishi zaidi ya 10. likija swala la Sheikh wanakurupuka
 
Unauhakika gani mharir alimtukana huyo bwana? Tusubri tuone, nami nitatafuta watu tulifungulie kesi AL NNUR turejee mambo ya msingi waliyoambiwa kuzingatia wakati wanapewa kibali cha kuchapisha hilo GAZETI OVYO!
hapo kwenye gazeti mkuu kasema wazi.
 
niliwasikia kwnye ile radio yao ya morogoro...jamaa hawajui uchambuzi kabisa, wamejazwa na hila na fikra za kibaguzi, yani wao moja kwa moja walienda kuwalaumu wamiliki wa magazeti(mengi and mbowe) na kusema hiyo habari imechapishwa kwa sababu wamiliki wao ni wakristo....yani hewa kabisa, inamaana kila kitu anchomiliki mengi anahusika nacho kuhariri kuchapisha kureport???? yani hope less kabisa hawa maustaz...ndio hao hao wanasema watoto wa kiislam wanafelishwa na baraza la mitihani kisa mkurugenzi wa baraza la mitihani ni mkristo(joyce ndelichako) yani hope less kabisa...mnajaza ***** kichwani af mnaongea kwenye public mnasahau maadili ya utangazaji...kama wale walikosea kuchapisha zile picha mlitakiwa kuanza kufikiria positvely kabla ya kurukia kwenye udini...shame on you radio iman
 
Usiangalie nyuma, yai bovu linapita

554644_459444964084831_587583244_n.jpg

Jamaa alikua anapiga chafya au anakagua plate namba ya Lundenga?
 
niliwasikia kwnye ile radio yao ya morogoro...jamaa hawajui uchambuzi kabisa, wamejazwa na hila na fikra za kibaguzi, yani wao moja kwa moja walienda kuwalaumu wamiliki wa magazeti(mengi and mbowe) na kusema hiyo habari imechapishwa kwa sababu wamiliki wao ni wakristo....yani hewa kabisa, inamaana kila kitu anchomiliki mengi anahusika nacho kuhariri kuchapisha kureport???? yani hope less kabisa hawa maustaz...ndio hao hao wanasema watoto wa kiislam wanafelishwa na baraza la mitihani kisa mkurugenzi wa baraza la mitihani ni mkristo(joyce ndelichako) yani hope less kabisa...mnajaza ***** kichwani af mnaongea kwenye public mnasahau maadili ya utangazaji...kama wale walikosea kuchapisha zile picha mlitakiwa kuanza kufikiria positvely kabla ya kurukia kwenye udini...shame on you radio iman
inawezekana yanaukweli, washafanya utafiti wa kina wakagundua hayo. mbona hawakosei linapokuja swala dini nyengine? huwa makini kupita kiasi
 
Teh teh teh teh! Ustaadh Juma ndani ya Annur anawatuhumu wengine kuwa "wadini wakubwa". "Natabiri" neno "dini" na "viambatanisho" vyake - mdini, wadini, n.k. huenda likawa neno kuu la Mwaka 2012. Safi sana. Ole wake aliyeasisi upumbavu huu.

Hebu nimuulize Ustaadh Juma, si kweli kwamba tukio la Zanzibar halikutokea au habari ni ya uongo? Si kweli kwamba tukio la Morogoro halikutokea? Uzuri ni kwamba kwenye habari (ya Annur) Ustaadh anakiri matukio yote mawili kutokea! Haya bana ndio yale yale ya "hapana Mh. Hakimu, chikuvuta chigala nilivuta bange"!
 
[/QUOT
wahahariri bana. inaonyesha wamesave picha nyingi kwenye komputa zao za waislam kwa nia mbaya. Mungu awalaani wahahariri kama hawa. ni Adui wakubwa wa taifa letu
 
jamani nipo dar naombeni frequency za redio imaan na mie nipate kujisikilzia viroja na malalamishi yao, sijawahi kuisikliza.
 
wahahariri bana. inaonyesha wamesave picha nyingi kwenye komputa zao za waislam kwa nia mbaya. Mungu awalaani wahahariri kama hawa. ni Adui wakubwa wa taifa letu

Mkuu hapo kwenye red sijakupata vizuri. Kompyuta za waislamu ndio zipi hizo?
 
Habari leo na uhuru pia yawekwe humo
haya inawezakana yameomba radhi kwa muhusika. lkn hawa akina MBASHA ASENGA wamemtukana muhusika na kumkejeli. huu ni uhuni na UDINI mkubwa. angalikuwa PADRI si wangalimlamba nyayo
 
Kuna habari katika Annur ya jana, inayosema kwamba magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe yatapandishwa kizimbani kwa uchochezi
Hii ni kutokana kutoa picha ya tukio la Morogoro la Ustadh Juma na kudai ni tukio la Zanzibar.

lakini ustadh huyo alipoomba ufafanuzi kwa Muhariri wa Nipashe anadai alitukanwa matusi ya nguoni na Muhahariri huyo jambo ambalo amedai linaonyesha UDINI WA WAZIWAZI WALIONAO BAADHI YA WAHARIRI WA MAGAZETI NCHINI na amesema anaandaa mashataka dhidi ya magazeti hayo iwe funzo kwa wahahariri wengine wenye kutothamini imani za wengine.
Naona umeamua kilipa promo gazeti lako......
 
Mkuu hapo kwenye red sijakupata vizuri. Kompyuta za waislamu ndio zipi hizo?
ushajua. inamaana Komputa za wahahariri wa tzdaima na Nipashe wamesave picha za waislam kwa nia mbaya. hii hatari kwa taifa letu changa
 
Masikitiko yangu ni jinsi waTZ tunakoelekea, tangia jk aidhinishe udini kwenye kampein za uchaguzi yamebaki mapanga tuu
 
Back
Top Bottom