Tanzania Daima ni Gazeti la uzushi.

Hivi Tanzania Daima na mtoa hoja nani mzushi? Naona kama welewa kidogo umechangia kwenye hitimisho la mtoa hoja.
 
Ndiyi shida ya kusoma heading halafu unaachia hapo hapo. Kama angesoma lote asingekuja kuanzisha utumbo hapa na kutujazia nzi kibao unnecessarly.
 
Gazeti linatudanganya eti Lipumba atakuwa waziri katika baraza linalotarajiwa kutangazwa.Nimeishangaa sana habari hii ya gazeti ambalo nililiheshimu lakini sasa limepoteza sifa kwenye macho yangu.Nibora habari hiyo isingekuwa front page,kwa mtaji huu gazeti hili linaeneza siasa chafu za majitaka.Lengo lilikuwa kuichafua CUF tu.

Maelezo yako plus ID yako hiyo inafaa kuwa chachu ya kuwasukuma Uhamiaji kuanza kukutafuta, mgeni usiwe na idhini ya kuishi ugenini au mjamaa wa msikiti wa kwa mtogole, full udini.
 
Gazeti linatudanganya eti Lipumba atakuwa waziri katika baraza linalotarajiwa kutangazwa.Nimeishangaa sana habari hii ya gazeti ambalo nililiheshimu lakini sasa limepoteza sifa kwenye macho yangu.Nibora habari hiyo isingekuwa front page,kwa mtaji huu gazeti hili linaeneza siasa chafu za majitaka.Lengo lilikuwa kuichafua CUF tu.

Nadhani Mbowe atakuwa ameajiri watu kutoka kwa Shigongo this tyme.
 
Back
Top Bottom