Tanzania Daima, "Maintanance Mode" ni endless?

Mantombazane

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
572
356
Kwa muda mrefu sasa nikifungua gazeti la Tanzania Daima mtandanoni nakutana na maneno "Maintanance Mode" Hii hali itaendelea mpaka lini maana wengine kwa mazingira tuliyopo hatuwezi kupata "Hard Copy" tunaategemea kusoma mtandaoni.

Hiyo Maintanance Mode mbona haiishi? Hakuna wataalamu tuwasaidie kufanya maintanance haraka?
 
.
Ni kweli kabisa management ya hili gazeti ni kama wamelala usingizi wa pono. huwezi kamwe ukafananisha umahiri wa wafanyakazi wa gazeti la Tanzania daima na wengine hasa gazeti la Mwananchi.
kuna mpaka magazeti ya udaku yaliyo up todate mtandaoni tofauti na Tanzania daima. Najiuliza ikiwa wamekosa wataalamu wa kidigital sii wafanye mpango wa kuajiri baadhi kutoka media zingine?
 
Taratibu tunaanza kuwasahau, wajiangalie, au wanafanya 'rehabilitation'?
 
Mkuu hilo tatizo halijaanza leo nina miezi takriban 3 ninashindwa kulisoma mtandaoni.
Sio kila mtu anaweza kununua magazeti, wengine huku gazeti la Jumatano ndiyo tunalipata leo.
 
Back
Top Bottom